![Gomeez Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1766706342742446080/-Pr-m_wy_x96.jpg)
Gomeez
@Gomeezmarketer
Followers
2K
Following
6K
Statuses
6K
|Entrepreneur | Investor & Business woman | #MAGA SUPPORTER |Hustler 🍁 | Activist 🇹🇿 | Simba sc| Madrid fan| cool & fine girl❤️🥰💋 |
Canada 🍁 , Tanzania 🇹🇿
Joined August 2023
@HKigwangalla Kigwangala mimi kama Kijana nawashauri vijana wenzangu waielewe vyema point eleven, wajifunze kusema 'hapana'. Ni vema Sasa vijana wadhamilie kwa dhati kusema hapana juu ya Samia na serikali yake ya #CCM. CCM ndo chanzo cha umaskini kwa vijana wa Tz sababu ya sera mbovu. CCM ❌
0
0
2
@CyancutyTz Lmao Kanye West kawa bilionea kwa sababu ya kutunza pesa ambazo hamnunulii mke wake nguo. Damn it!
0
0
0
@kanyewest @Gats_Jr Lmo.. Now I come to understand Kanye is billionaire for serving all the money that he doesn't buy clothes for his wife .
0
0
0
@SirPius15 @MaxTz255_ Kwamba Harrison mwakyembe sio fisadi? Swali la ziada, Unamiliki plant ipi?
2
0
0
@Buberwa_ Ni ushirikiano wa kifisadi tu, hakuna jipya. Ila mwisho wao upo, trust me, they will be prosecuted and get jailed. Wasafi hawana uwezo wa kununua hayo magari 20 at once then waweke rangi za CCM. It's all corruption.
0
1
20
@PMadeleka Mmh ila kiukweli huyu baba ana bichwa kubwa. Yani bonge la bichwa afu linatisha ka bichwa la buffalo 🐃! 😀
0
0
6
Luck that I am an Engineer. Translating this fucking cartoon would ruin my mind. @masoudkipanya you're the master mind in arts.
0
0
0
This bastard isn't serious.
Hili nakubaliana na Mheshimiwa Rais kwa 100%. Nchi nyingine Afrika zije kujifunza kwenye Mahakama ya Tanzania. Naweza kusema ndio mahakama pekee Afrika ambayo haiingiliwi na muhimili wowote ule. #Accountability
0
0
0
@fumbokhanJr We unamuonaje Kendrick? Huu sio mpira kaka. Nenda iTunes, audiomak na apple utazikuta namba!
0
0
3