![Devies_Joh 🌱 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1880201891356766208/kmbbgJ_s_x96.jpg)
Devies_Joh 🌱
@Deviesjoh
Followers
2K
Following
44K
Statuses
11K
@ALHelmsman_14 @HEMED_12 @CandleXtz @Alvingtonhk 😅😅 with due respect, nilikutegemea kama chanzo cha info kuhusu hii. Maana niliskia kwako at first. Sijamaanisha disrespect mkuu. My apologies.
1
0
1
@HEMED_12 @ALHelmsman_14 @CandleXtz @Alvingtonhk 😂 Nilimuuliza anijibu kama system iko down, akakosa majibu. Basi majibu nimepata, na source ya info kubwa nimeipata.
1
0
0
RT @JamiiForums: Shiriki katika Mjadala wa "Kuelekea Uchaguzi, Tunatofautishaje Zawadi na Rushwa?" kupitia X Spaces ya JamiiForums Usikose…
0
4
0
RT @EsirEid: #TajiriLaKihaya Wakuu nahitaji mtu ambae ana constant supply ya DOLLARS! Walau kila mwezi 1m USD ila kwa awamu.. 250k usd k…
0
81
0
@ALHelmsman_14 Najua pengine ilinipasa kumuuliza huyo tweep. Ila wewe kwanza unasemaje kuhusu hili? Kama huwezi nijibu nilivyouliza niambie tu si dhambi kukumbatia majibu.
1
0
1
@songombingo28 Ni dhahiri kabisa recent movies hazina mvuto. Tumebaki na baadhi ya ma-characters kwenye peaks tuliowapenda wayback kuwafatilia tu mwishoni huku.
1
0
1
RT @songombingo28: Jamani why siku hizi there is no more Good movies kama zamani whenever i watch i either have to rewatch au i find old mo…
0
1
0
Hii punch 🙌🏾
VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amejibu juu ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira kumtaka ashiriki mdahalo pamoja naye ambapo Lissu amesema kufanya hivyo ni kupotezea watu muda wao. Lissu ameyasema hayo akizungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatano Februari 12, 2025.
0
0
1