![Dain tz✝️ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1691786228142616576/05w8TwaN_x96.jpg)
Dain tz✝️
@Dain_tz
Followers
1K
Following
7K
Statuses
19K
LEGENDARY BORN IN MARCH @DAIN_TZ🇰🇪 YANGA💛MAN UTD❤️ ⚖️ 戴因
Dar es salaam
Joined March 2019
mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla pamoja na mikate isiyotiwa chachu na mboga za uchungu…✍️ Numbers 9:11 @africaneddo @Dain_tz
0
1
2
RT @Dain_tz: Toka EX wangu aukatekate Moyo wangu vipande vipande kila kipande kinataka mtyu wake.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
0
Toka EX wangu aukatekate Moyo wangu vipande vipande kila kipande kinataka mtyu wake.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
3
RT @Dain_tz: Asante mungu 🙏 madeni yangu niliyokua nadaiwa na TRA yameungua.✍️ @dain_tz @africaneddo
0
1
0
RT @Dain_tz: ukichoka pumzika safari ya mafanikio haithamini wachovu.✍️ @Dalaliwacho👀 #dain_tz @mngepa
0
1
0
RT @Dain_tz: Ujana wako ndio utaamua uzeeni utacheza golf au dratf🤣😂…✍️ @Dain_tz @africaneddo @Dalali wa macho👀
0
2
0
RT @Dain_tz: Mzee wa makamo alisema linahitajika tabasamu moja la masikini ili matajiri waseme furaha sio pesa.. #eddo_teller® #dain_tz
0
1
0
Mzee wa makamo alisema linahitajika tabasamu moja la masikini ili matajiri waseme furaha sio pesa.. #eddo_teller® #dain_tz
0
1
1
RT @Dain_tz: mkumbushe mwanao kua hata kama awe nzi wa jikoni hawezi kutengeneza ASALI. sio kila fursa utaimudu.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
0
mkumbushe mwanao kua hata kama awe nzi wa jikoni hawezi kutengeneza ASALI. sio kila fursa utaimudu.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
1
RT @Dain_tz: Mkimuona mwambieni anaweza kuendelea kua mpishi bora kama atatumia mwiko mmoja kwa vyakula vyote.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
0
Mkimuona mwambieni anaweza kuendelea kua mpishi bora kama atatumia mwiko mmoja kwa vyakula vyote.✍️ @africaneddo @Dain_tz
0
1
2