![Lt.ππππππ¬ππ’ππ§ ππππππ¬ππ’ππ§ β€ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1879188442321485824/YYKnkJTK_x96.jpg)
Lt.ππππππ¬ππ’ππ§ ππππππ¬ππ’ππ§ β€
@BlackCarlos29
Followers
540
Following
11K
Statuses
12K
@Eric__Bernard Mimi nazima ila nikisikia michakacho siwashi naburuza panga kwenye tiles tu litoe mlio ule wa fyaaaang fyaaaaaaaaaaaaaaaang
0
0
0
@MwananchiNews Ni kweli yupo sahihi kabisa ila kuna wale unakuta juma3 wao ndo wako off au free au mtu ni mlinzi usiku analinda mchana anapumzika ratiba haziwezi kua sawa mh.
0
0
0
@Adventure_36 Si walime sasa
0
0
0
@TanzaniaOneJezi Hawa polisi ukitaka kwenda nao sawa wewe tii venye wanataka sijaona maana ya mabishano kwasababu wakiwataka hata kwa nguvu wanaweza ila sugu kanifurahisha anakwambia kwanini tutoke sasa π
π
0
0
0
Bado unatembea na wallet ? π
π
π
π
Msaada: Nani ana namba za polisi? Zawadi zangu zote za valentine nilizonunua zimeibiwa na wezi jana usiku ππ Wameiba pia na wallet yangu kwahiyo hata siwezi kununua nyingine π‘π‘ Na pia kadi za benki kurenew ni wiki 2
0
0
0
@miss___queen15 @Mrsdaviee Tofauti na utaratibu huo kufika 100% isubiri usiku nikiwa nimelala
0
0
0
@Buberwa_ Cheap alcohol zinatumaliza sana
0
0
1
@munyamambogo Sharkman hii gari ata scania hafwati ina horse power 3000
0
0
0
@maestrowafact Kula mundende acha hayo matumbaku mzee
0
0
0
@munyamambogo Mimi nawakubali M23 hawa Congo hawapo serious hata kwenye uniform tu wameshindwa
0
0
0
@samatimemagari Huyu hii gari ni yake kweli au kanunuliwa ?
0
0
0
RT @prossoff: Miongoni mwetu hatuna tamaduni ya kujitathimini Kadhalika hatufahamu namna sahihi ya kujipongeza katika kila hatua Ni maraβ¦
0
17
0
@prossoff Me saivi nikitaka kulewa naenda shop nanunua chakula ambacho hakiaribiki eg.mchele maharage unga wa ugali naweka ndani nimefanya ili nipime hela ninayotumia kwenye gambe ni nyingi sana ukisema uendeshee life inakupeleka mbali mno
0
0
1
@fbuyobe Uchawi pia upo tena kwenye vita ndo balaaaa
0
0
0
@TanzaniaOneJezi Ajiriwa alafu bajaji mpe mtu kuanae serious asipoleta hesabu siku mbili nyang'anya funguo
0
0
10
@tweetbylegendy Greek
1
0
0
@chapo255 Inakuonesha kwenye mapnzi hata matajiri yanawatesa ila sio kweli matajiri ndo wana yatesa mapenzi
0
0
0
@Big_Nicky01 Nani kakwambia tuna shughuli ?
0
0
0