Hamiss Bakiza
@BakizaHamiss
Followers
2K
Following
51K
Statuses
34K
Gm jeshi ๐
Maisha ya dereva wa masafa marefu siyo hoteli kila siku. Asubuhi una amka unatoa kitu cha โugali na samaki unapiga safi kisha๐ฅ๐. Safari ni safari, lakini tumbo lazima liwe na amani! Good morning wadau. #TruckLife #FoodOnTheRoad
1
1
1
RT @CivitoLuxury: ๐ป ๐ฉ๐ถ๐๐ ๐๐๐ธ๐ผ๐ฏ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐ฎ๐ต๐ถ๐น๐ถ! ๐ SAA 7 MCHANA (01:00 PM) ๐ #CivitoLuxury ๐ธ Jimykeke
0
4
0
RT @OriginoZee17: Kama Yupo Hai Bado Kwanini Wamemshikilia Mpaka Sasa Tena Kwa Siri Kubwa? Kwanini Wanafanya Siri? Kwanini Wasimpeleke Maโฆ
0
1
0
@tanpol Kuna umri nilifika nikasema wacha niwaumize watakao fuata ila siyo kuumizwa wala kuwekeza ๐ฏ kama zamani.
0
0
0
RT @IAMartin_: Nchi yote hatuwezi kuleta mageuzi kwa pamoja. Wengine watakuwa Kizimkazi, wengine watakuwa BAR, wengine watakuwa bizee na maโฆ
0
100
0
Kina @Kunde0 igurusi,chimala,igawa, uyole, mbalizi, mlowo,vuawa lazima atashusha vioo tu Unyaki taabu sana Ila hii ikija tanga walah haishuki kioo.
Hii ni sebule na ni marufuku kuvaa viatu na kushusha kioo kutaka kusalimia watu kama wanyakyusa kila kituo lazima asalimie ๐๐
2
1
5
@YoungAfricansSC Mnazinguwa ikibidi na ubingwa tukose ili muone sasa manunuzi ya jezi ya mwakani sasa.
1
0
1