Anyisile Profile Banner
Anyisile Obheli Profile
Anyisile Obheli

@Anyisile

Followers
4K
Following
26K
Statuses
38K

I've no fear about anything. Ex Ganja smoker. Street Pastor. Senior Jesus Follower! GOSPEL Preacher! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ forever

Spirit City
Joined June 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Anyisile
Anyisile Obheli
4 years
And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet. Romans 1:27
1
1
9
@Anyisile
Anyisile Obheli
3 hours
This not only in Afghanistan but also takes place in the Islamic State of Pakistan too. Little boys are suffering in abuse
@RadioGenoa
RadioGenoa
14 hours
In Afghanistan and beyond, young boys are sold by their families to richer men. In a practice called "bacha bazi" meaning "child's play", they dance for old Islamic men and then suffer abuse.
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
3 hours
@BinKombo3 @WKazinja84310 @Mwanahalisitz Mbona Mwanangu kama unabishana katika kofia ya Dini au Hamas unadhani ni wapigania DiniπŸ€” kile ni kikundi cha wahuni wenye malengo ya uuaji!
2
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
3 hours
@BinKombo3 @Mwanahalisitz Hamas haiwezi kuwa Sawa na South Africa; Hamas ni wauaji Majangili na mafirauni tu
1
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
3 hours
@dsm2029 @IbRaH_ShEbY @Captainpilo7 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Soya Source
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
3 hours
Kumbe Commerce na Bookkeeping yalikuwa masomo ya kitapeli eh πŸ€”
@MarekaMalili
Lubasha Jr
1 day
So nowadays unaweza kwenda kutoa hela kwa wakala wa bank like 50k, yeye anaandika 500k, cash anakupa 50k, usipoangalia risiti inakula kwako? How do you prove hukupewa laki 5 na risiti ulipokea? Muwe makini aisee πŸ™ŒπŸΌ
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
4 hours
@MarekaMalili πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
5 hours
@TripleASmarter @Labella_Mafia95 Huwezi kuelewa nimesema nini kwa sababu hufahamu kuwa South Africa haina raia wa aina ya Elon musk mbali na uraia wa kilowezi, ambao ni uraia wa Kijangili. Period!
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
12 hours
@Labella_Mafia95 🀣🀣🀣 kabisa shenzy type kavimba macho tu
1
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
12 hours
@hancymachemba Siyo kila siku no Jumatatu ukilufahamu hili basi hat hii twitt yako utaona imekosa lishe. All we need is 3 points and not otherwise
0
0
1
@Anyisile
Anyisile Obheli
19 hours
@WelBeast 🀣🀣🀣🀣🀣 you are dreaming lol
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
19 hours
@Kariakoo_ Khadija Makalio
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
22 hours
Tweet media one
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
22 hours
@jacksonhinklle He was brutally killed by #KingAbdullah The ruler of #SaudiArabia by the help from #USA #France #Qatar #UAE #Egypt #England etc
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
1 day
@bajabiri Pumbavu na asilipwe shenzy type aliyaogopa maisha na kwenda kuwa mmoja vikosi vya watu wanaotufanyia uharamia kulinda Majangili wa Sare za kijani
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
1 day
@millardayo Afu Jina la ubin wake sasa shenzy type
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
1 day
@elonmusk And Malema is our brother we will not allow mischievous from outside to try to downplay him. Musk let me remind you that during apartheid in South Africa your parents weren't there to shout against western crooked and criminal White and Pink noses to stop killing South Africans
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
1 day
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ’―βœ…
@HKigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla
2 days
Leo nataka kuzungumza na boys; wadogo zangu wapiganaji kabisa: 1.) Maisha siyo rahisi sana. Mafanikio siyo rahisi kabisa. Yatakujaribu. Yatakukatisha tamaa. Usikubali. Komaa, pambana! Kukata tamaa ni dhambi. Kurudi nyuma ni mkakati kabisa vitani. Wewe siyo mwepesi kiasi hiiicho! 2.) Wewe ulikuwa mgumu sana ndiyo maana Mungu aliamua uwe wa kiume mwanangu. Komaa kiume dogo. 3.) Kumbuka kuwa una dhamana kwa familia yako, dhamana hii ni kubwa zaidi kama hautoki kwenye familia tajiri, maana familia tajiri inatakiwa kutokana na wewe. 4.) Mtu aliyefanikiwa leo, ujue alianguka mara nyingi sana jana na juzi. 5.) Kufanya biashara ni kitu kigumu sana lakini pia kuwa kuajiriwa mpaka umri wa miaka 60 kila siku kuamka kuwahi kazini ni kazi ngumu pia. Chagua chako kimoja. 6.) Kama mkeo hakutii hasira, basi huyo siyo mkeo. Pole sana kaka. 7.) Kuwa na vyanzo vya pesa ni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na chanzo kimoja. Mkeo akiwa na kazi ama biashara ni nafuu kwako ila usimuulize anatumiaje pesa zake, timu za wajibu wako wa kumhudumia, usipigie hesabu pesa yake. 8.) Pesa haitafutwi kwa kulalamika, inatafutwa kwa ubunifu na juhudi. Ukiwa unalalamika sana badala ya kutafuta suluhisho, utaishia kuangalia wenzako wakifanikiwa. Simama, tafuta njia, usikubali kushindwa. 9.) Heshimu muda wako na muda wa wengine. Usipoteze muda kwa starehe zisizo na tija, badala yake utumie muda wako kujifunza, kufanya kazi, na kujenga mustakabali wako. 10.) Marafiki zako ni taswira ya maisha yako ya baadaye. Ukiwa na marafiki wavivu, wasio na maono, na wanaopenda majungu, basi ujue upo kwenye njia mbaya. Tafuta marafiki wanaokutia moyo, wanaokufundisha, na wanaokuinua. 11.) Jifunze kusema β€˜hapana’. Usikubali kila jambo, kila ombi, na kila fursa kama haina maslahi kwako. Usihadaike na β€˜muda wote uko available’. Jua thamani yako. 12.) Afya ni utajiri. Unaweza kuwa na pesa nyingi lakini bila afya njema, utajiri wako hauna maana. Fanya mazoezi, kula vizuri, na epuka anasa zinazoathiri afya yako. 13.) Siku zote jifunze kitu kipya. Usiwahi kufikiri unajua kila kitu. Dunia inabadilika, biashara zinabadilika, fursa zinabadilika. Mwanaume anayejifunza kila siku ndiye anayeendelea kushinda. 14.) Usiishi kwa kushindana na watu, ishi kwa kushindana na jana yako. Kama leo unafanya vizuri zaidi ya jana, basi unashinda. Weka malengo yako binafsi, usipoteze muda kujilinganisha na wengine. 15.) Jifunze kuvumilia na kustahimili maumivu ya mafanikio. Hakuna aliyefanikiwa bila kupitia mateso, misukosuko, na changamoto. Ukikataa tabu za kujenga, utapitia tabu za maisha kwa kukosa. Chagua tabu zako! #HK #Fighter #NjeYaBox
0
0
0
@Anyisile
Anyisile Obheli
1 day
@suleimankakweb1 @Nyonyoma1 Sana ndugu yangu wala hujakosea speech zinahitaji maarifa na hekima kubwa
0
0
1
@Anyisile
Anyisile Obheli
2 days
@Lomwadsanga @Nyonyoma1 Ufiraji na ufirwaji hawajaona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
0
0
0