weehmzeee Profile Banner
Weeh Mzee™ Profile
Weeh Mzee™

@weehmzeee

Followers
18K
Following
257K
Media
2K
Statuses
160K

I share Memes || Random Thoughts👽

Nairobi, Kenya
Joined June 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Ukiwa house hunting alafu upate hakuna watoto wanacheza hapo nje jua hio ploti hainanga maji. na sitawafunza kila kitu😂😂.
123
1K
7K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Highschool kuna hii period prefects walikuwa wanaenda trip, shule inaachiwa peaky blinders💀😂💔.
175
1K
7K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Form Fours bado wananiuliza Marketable courses hawajui Kenya mzima hakuna fundi wa thamos.
56
1K
7K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Utakuja graduation Ya PP2
Tweet media one
116
1K
6K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
10 days
Wachana na transaction cost, ushawai nunua carrier bag wewe?😂😭.
99
1K
6K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Highschool ulikuwa unatoka funkie jioni unapata paper yako ya Chem ilishinda huko mbele siku mzima😂💔.
182
1K
6K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Sahiii ukipatana na Tent ingia, relatives hawajuani wote😂.
56
1K
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Hapa ukipatikana na Tissue utatii😂😅
Tweet media one
149
904
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Wakishajua si warembo wanakuchanganya na hizi miwani
Tweet media one
134
755
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Mliacha Chiwawa huku Nairobi zinalia kama Tokens.
65
1K
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
6 days
Zetech ukipoesha chai moto unapewa degree in firefighting.
64
1K
6K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
10 days
Nangoja numberplates zifike KEG nishike yangu ya black.
68
917
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
The fastest way to become poor is buying airtime from Mpesa.
70
721
5K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
8 days
Those who said kuingia Mombasa ni rahisi lakini kutoka ni ngumu have never been into Roysambu.
108
731
4K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Ukienda house party alafu uskie "I believe we are all mature here"we enda home!.
105
572
4K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
8 days
Unatoka exam room ukiwa more knowledgeable kuliko vile uliingia.
27
777
4K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Saying "si ulinikataa" to a person you have zero interest in>>>>>>>>>.
91
703
4K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Highschool kulikuwa na ile mbogi hainanga notes. kazi ilikuwa kusoma textbooks 😂😂.
156
588
4K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Kujiaminia is very important vitu zingine utajulia mbele.
118
958
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Ukimaliza msharara yako mapema unaanza kuona ni kama mdosi anakutumia vibaya😂💔.
118
664
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Sipati ngwai yangu mahali nilificha usiku alafu cuzo anasema anaenda kutafuta kuni, watu si wajinga buanaah😂😂.
52
515
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Oneni wangeci na alininyima
Tweet media one
76
521
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
7 days
Usiwai pangia pesa ya deal haijaivana. no school will teach you this.
56
604
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
In Nairobi most weed smokers are ladies, kwanza utu tupole , turembo, tudogo twenye tunakaa tu innocent.
128
436
3K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
26 days
Hakuna kituu huuma kama kujua she was interested wewe ndie uliogopa.
67
423
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
21 days
Ukiwa gikomba unabeba mizigo alafu uone classmate
Tweet media one
41
289
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
9 days
Mtu anachungulia simu yako mkiwa kwa matt alafua anakuambia umuadd hio group.
48
365
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Hata sijawaambia. Si leo niliangukiwa na gecko nikioga. Kumbe nduru si ya wanawake pekee😂.
111
337
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
8 days
Unakuja bila jacket exam room kwani hutaki kugraduate.
29
393
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
11 days
Unasalimia dame mkikuyu "hey cutie" yeye anskia equity.
60
406
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Sahiii couples wa Campus ni kuulizana "wewe unarudi lini"😂😂.
45
385
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Ukiingia exam room alafu upate uliingia na receipt ya Quickmart badala ya Mwakenya
Tweet media one
23
331
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Unastruggle na Computer science alafu ukienda home wanakuita fundi wa lapi😭.
99
399
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Mkilala na dem usiku halafu akuekelee mguu. Amka it's time.😂.
117
326
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Comrade akona sufuria moja lakini anakuserve ugali Mayai,skuma,chai na zote ni moto😂.
127
426
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Unabet games hadi za Israel. home town ya Yesu, lakini wembe ni ule ule🥲.
123
443
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Kuna through pass nilipewa nimemtext "Morning" akareply "Unanitaka wen" my time to shine!!.
65
307
2K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Indian Dj afro movies after 2hrs."Mtazamaji kumbuka hii yote ni hadithi alikua anahadithia. ".
104
387
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
19 days
Kumbe better days zinanunuliwa na mimi niko hapa nangoja zifike.
28
403
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Kuna highschooler sahiii akona pesa mingi dorm kukuliko😂💔.
80
299
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Leo nimejiita kamkutano and let me tell you, sahii tuko maandamano😂😂.
87
257
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
22 days
Unasomea exams vizuri, kumbe akili imeweka disappearing messages🥲.
50
350
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Kunakuanga na kapeace fulani ukiwa umetulia peke yako not talking to anyone. umetulia tu.
84
389
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
6 days
Pale highschool entertainment ukiwa na flash ikona mix ya hot grabba
Tweet media one
48
296
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Ukifika 20 years story za kupiga luku wachia highschoolers na wasanii.
107
256
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Kumbe hizo novel mnajifanya kusoma ni ngwat! imejaa huko ndaniii!.
102
301
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Eye contact kidogo na pastor "ndugu tupeee ushuhuda".
52
360
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Ushainua mtungi haina maji na nguvu yako yote. baas hivo ndio mtu huskia akipata dame hana akili😂💀.
96
350
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Unashangaa mbona life inakufavor hii design. Kumbe kuna wasichana wanne mahali wanakuombea wakidhani we ni partner yao 😂.
90
234
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Sasa hata graduation ya PP2 unalia? Nani hajui kukunywa uji na kulala saa nane😂.
47
279
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Why does any truth or dare have to deal with sexual questions, can't we ask about government and politics?.
144
273
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Lifestyle ya Campus isifanye usahau effort ya mzazi. wewe ndie unajua kwenu.
50
292
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Akikuuliza "where did you get my number" muambie I'll explain when we meet for coffee. Hii inanasa mpaka mkalee😂😅.
88
296
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
"Niliiingia exam room bila kuoga ndio nichafue hio paper"🎶
Tweet media one
40
281
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Unaenda na tunapika
Tweet media one
38
280
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Next year mambo ya kuwa presentable should be my first priority, hii mambo ya kukaa yakuza naacha.
22
295
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Unakaa chini unakumbuka school id itamaliza shule mbele yako.😂😂.
78
236
1K
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Ukimaliza Course ndio utajua mbona lec aliamua kuwa mwalimu.
37
249
995
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Umepiga vans zako freshi alafu mtu anasema umevaa rabas, kubabake.😂.
85
218
966
@weehmzeee
Weeh Mzee™
23 days
"Nimepata A KCSE nataka kuwa pilot".Mapedi wa Juja:
Tweet media one
42
232
988
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Pale highschool kukula chakula after mwalimu ashapinduka kuandika kwa blackboard was the real squid game💀😂.
86
273
943
@weehmzeee
Weeh Mzee™
9 days
Dame akijifanya keki wee jifanye birthday boy.
28
287
980
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Unaangalia mtu wako vile ameiva unajiambia kimoyomoyo "hapa nayo siwezi kuwa peke yangu"😂.
42
272
975
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Mwambie kuna kele huskii text zake
Tweet media one
78
234
949
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Forex made me realize why women stay in Toxic relationships💔.
112
236
890
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Nimeenda kununua gas nikapata mtungi imebaki ni ya pink. Heri nilale njaa kuliko nipike na gas ya pink.
105
162
887
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Nilikuwa nathani nikiwa na fifty mbili nitakuwa na two fifty lakini after kupiga hesabu vizuri nikaona one fifty plus one fifty ni mia tatu😂.
125
295
883
@weehmzeee
Weeh Mzee™
30 days
Vile huruma hukutoka ukiskiliza wakdinali
Tweet media one
12
252
908
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Gari za ushago heri dere aendeshe kichwa ikiwa nje lakini si akuache😂😂.
117
292
864
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Tafuta mtu umueke kwa nyumba uwache kutembea na funguo kama form 1.
85
259
877
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Kenyans be calling their kids all english names but "Murphy" is where they draw the line😂😂.
102
173
868
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
"Naeza kuona lini kabla nirudi Nairobi" hii mistari ni surebet.
28
240
872
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Dame kukuwacha juu umesota ni favour anakufanyia.
74
253
841
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Ndio kumaliza kukula supper, ipo siku kumamaye
Tweet media one
56
215
843
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Kama unaweza lala kwa Dem Hadi uote, unafaa kuwa in the military.😂😂.
28
223
841
@weehmzeee
Weeh Mzee™
13 days
Mimi naye kununua flowers si shida, shida ni mbogi ione.
33
276
861
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
That awkward moments when you expect me to hug you. then pap handshake ya kiyahudi😂💀.
99
270
807
@weehmzeee
Weeh Mzee™
7 days
To all cousins who always have our backs. Mungu awabariki.
24
260
850
@weehmzeee
Weeh Mzee™
21 days
I am proof that a person can survive without good morning or goodnight texts😂.
26
235
841
@weehmzeee
Weeh Mzee™
29 days
The worst thing unaeza fanya Campus ni kulink mzazi na landlord.
13
199
833
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Kama simu yako ikona ile warning ya free up some space you still have a long way to go😂💔.
125
244
788
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Ati food for thought ikiongezewa avocado inakuwa ova thinking?🤔.
105
265
782
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Unaongea na msichana reasoning yake inakupea confidence ya kukaa single.
24
213
799
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Kiherehere ya kujua probability isifanye uipeleke kwa muhindi😂💀.
107
284
755
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
As a man ukigongewa dem you should take that secret to the grave with you. wachana na mambo ya kuopen up.
126
233
770
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
First i was born without my permission, now the Future is in my hands
Tweet media one
83
246
780
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Umetulia na stress zako ukiwa umesota alafu fresher anakuambia umuekee pocket money yake ndio isipotee😂😂.
77
227
759
@weehmzeee
Weeh Mzee™
12 days
Akuna cha butterflies wewe deworm!.
34
237
782
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Ndio kumaliza kuwatch Vikings 😂😂
Tweet media one
118
205
755
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Expensive alcohol and clothing are not an achievement. Black child wake up!.
81
261
753
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Hii semester nataka kuwa very serious nijue hii course inahusu nini.
115
239
747
@weehmzeee
Weeh Mzee™
3 months
Shikilia hii wiki nitakutumia next week
Tweet media one
44
240
760
@weehmzeee
Weeh Mzee™
1 month
Me at 50 because I refused to give women my money
Tweet media one
35
188
758
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Ukienda kuficha Avocado alafu upate zingine zimefichwa hapo
Tweet media one
40
203
748
@weehmzeee
Weeh Mzee™
27 days
Richkid atadhami ni pikipiki imeanguka
Tweet media one
72
182
752
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Pale highschool stima zilikua zinapotea ukizubaa kiasi unalimwa dictionary ya kichwa 😂😂can't forget.
128
261
713
@weehmzeee
Weeh Mzee™
4 months
Sikuhizi ukona 10k M-PESA, alafu ukishanunua Mkate, unga na nyanya 3 ushaingia Fuliza🥲.
75
199
712
@weehmzeee
Weeh Mzee™
2 months
Teachers before they draw something on the board: "I'm not an artist but let me try."😂.
54
220
741
@weehmzeee
Weeh Mzee™
13 days
Hiii ndege itanimaliza bana mnitumie notes za Forex.
45
226
749
@weehmzeee
Weeh Mzee™
5 months
Usikimbie kudate dame wa kanisa kama aliwacha dhambi wewe ni nani😂😂.
91
275
699