wabukadan Profile Banner
Abuu Juwairiyyah Profile
Abuu Juwairiyyah

@wabukadan

Followers
17K
Following
39K
Statuses
47K

مومياس
Joined December 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
1 month
ALLAH AMHIFADHI SHEIKH ABUL FADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله
27
16
88
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 hours
Kama ilivyo hakuna uhai katika ardhi isipokua ipatikane mvua,basi hivyo hivyo hakuna uhai wa moyo isipokua ipatikane elimu.
0
0
0
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 hours
Tweet media one
0
2
6
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
6 hours
Alhamdulillah kwa Neema ya Uislamu na Sunnah.
0
0
0
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
11 hours
Muislam kuwa makini, Dunia imejaa mabalaa na fitina.
0
0
11
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
11 hours
@oomggggitsme 105k posts
0
0
0
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
3 days
Allah Atujalie tuwe miongoni mwa watakao funga mwezi wa Ramadan na tukafaidika kutokana na Mwezi wa Ramadan.
2
8
53
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 days
Rafiki ambao daima watakuwa nawe kwa hali yoyote,watakao kupa matumaini na kukusaidia kushikamana sawasawa na dini yako na rafiki ambao watakufaa sana katika jambo lolote ni; 1. Kitabu Cha Allah 2. Vitabu vya masheikh wa kisalafi 3. Rafiki wa kisalafi
1
1
9
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 days
If your marriage is scary May Allah make it easy for you. But stop scaring the unmarried about marriage. No one is going to marry your bad partner.
@imaaaaniiii
Imaan
5 days
Subhanallah marriage is so scary. Innalillahi wa inna ilaihi raji’un.
1
0
7
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 days
Ikiwa uko kwa safari ya kuhifadhi Quran basi ni bora uachane na miziki kabisa. Safari yako itakuwa nyepesi insha Allah.
2
4
24
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
4 days
HAIFAI KUWASIKILIZA WATU WA BIDA'A 🎤 SHEIKH ABUU HUDHAYFAH SAALIM [ALLAH AMHIFADHI]
3
6
18
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
5 days
HALI YA JENEZA LA MTU MWEMA NA MUOVU! 🎤 SHEIKH ABUL FADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM - حفظه الله ورعاه
0
12
25
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
5 days
@Asamoh_ the same energy you have towards tackling the car dealer motivates me. Let it be known that siku moja hii tl @evenmaina atalog out forever. It will take years...
@Njoki_Njanja
Kiki
5 days
Siku ya huyo Doktari inakaribia...
0
0
1
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
5 days
Kikubwa zaidi kinachokufanya wewe uchukie na kusema vibaya Manhaj Salafi ni Ujinga kwa dini au Kufuata matamanio yako.
4
3
30
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
5 days
Jee umri umejaa kheri au mambo ya Haram?
0
2
10
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
5 days
@rajabumrisho577 Vipi Hali
1
0
0
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
7 days
Allah Awahifadhi masheikh wetu wa Sunnah kutokana na vitimbi na shari za watu wa bidaah.
9
4
64
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
7 days
@iam_sitty Maanake?
0
0
0
@wabukadan
Abuu Juwairiyyah
7 days
@MwinyiJL assalaam aleykum warahmatullahi wabarakatuh akhi. Kila siku nakereka kuona kwa Timeline yangu ukifanya mjadala na jipumbavu moja kutoka mbeya. Mbona usiache wachana kujadiliana naye ama simple naeza kublock.
1
0
0