:chichi💜🦋 Profile
:chichi💜🦋

@umbwamimi2

Followers
3K
Following
6K
Media
16
Statuses
7K

chichi🇰🇪.astrophile

Joined February 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 hours
Do you prefer tea or coffee?.
50
0
43
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
8 days
Namaliza exam Friday na Monday class ya sem 2 inaanza 7😭😂😂.
86
132
675
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
8 days
How dramatic is your African mom??.
79
77
246
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
10 days
Tuko na mkisii mwengine hapa ananipigia story hadi za kesho ju hatakuwa.
38
70
236
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
19 days
The era when you dropped phone and the battery just flew out is crazy.
69
80
222
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
24 days
Wafuasi wa amerix hiyo licensed gun mnapata lini??😂😂.
14
42
146
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
9 days
Wenye mlisema mnahelp the needy during your leisure time si mnisaidie.
47
53
125
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Msione nmepotea saana huku savannah iko tight sana. Sai ata nmetoka kuleta kondoo sijui imezaa.
7
38
112
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Eeeiy strike iishe sasa huyu ananiua na mechi na hanipei chakula jamani😭😭.
16
39
107
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Ama wakale walifungua mdomo kabla ikauke.
13
38
92
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
9 days
I'm fighting against poverty and people want me to fight for love Lmao😭😂😂.
32
35
95
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
30 days
Wacha sasa niingie matatu mbili tatu nihubiri nione kama ntapata za keg😂😂😭.
13
35
95
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Pia wee kuja eldoret uone kama utarudi home.
9
33
84
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
18 days
Unspoken rules which everyone should know???.
78
40
83
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Mwenye alisema ladies first alitaka kukaa nyuma ndio aone haga.
6
33
71
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Kitambo nlikuwa nadhani supp ni ya watu wajinga.
8
35
69
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Sasa kutest speed ya kuku ya jirani inafanya naitwa mwizi jamani??.
5
29
70
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Kwani watu wa wash wash hamtaki interns.
8
34
72
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Watu wa village wanashangaa naona subaru natoka mbio,hawaezi elewa.
4
19
69
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
A horny girlfriend is better than a beautiful girlfriend.
7
27
67
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
14 days
Hii maisha inahitaji a little bit of delusional ju ukifocus na reality utakuwa chizi.
39
38
69
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Acha nidanganye mzazi kesho naenda choir ya church nkipanga pa kuenda kukunywa hii busaa.
2
28
67
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
28 days
Si hii ubongo kesho ikumbuke vitu jamani😂😭.
14
19
66
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
13 days
Naskia ni break up season😭😂😂.
39
45
65
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
13 days
Flat tummy ukiwa kwa wazazi hukua jaba.
41
47
65
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Ndio kufika ushago mtu anipigie simu nataka kuongea English.
10
18
62
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
15 days
Kenya kuomoka legally ni kama kujaribu kutembea ju ya maji.
42
39
61
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Bathing postponed until further notice.
13
23
57
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Nko nafunza,mathee kufaint gaidi imekula pesa ya chama.
5
20
58
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
12 days
April fools day has been cancelled this year there is no big joke than the men in this generation.
39
37
56
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Hapa kwa ploti naona watu wanaoga na kutoka kwani wanaenda wapi.
4
19
55
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
13 days
Kujoin illuminati mtu akiwa na mashetani zake ni how much😭.
32
33
58
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
15 days
Ntawamiss nkienda california kufanya mjengo.
30
41
57
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
16 days
I love how we are just in the 3rd week of the year and everyone is already at their limit.
34
33
57
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Sasa hamnitaki ju nakunywa busaa.
16
24
51
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
15 days
Sometimes you need to go to some events to see how much you need money.
30
29
53
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Naona babangu telegram, nadhani pia na yeye ameamua kudownload gospel songs.
3
19
48
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
29 days
Shiet kesho ntaamka mapema kupanda maua zangu za valentines nisikuwe na wivu hiyo siku.
2
14
50
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
19 days
Congratulations to me I don't know why but I see it coming.
39
6
47
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Aty shoulders are for legs not tears,sielewi.kwani sikuizi mnatembea aje watu wangu 😂😂.
9
19
49
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
18 days
Being feeling a little moody and rundown lately. I look up my signs .it's adulthood I have adulthood.
30
33
48
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
16 days
Hapo kwa kufumble nmewarepresent nyinyi wote hadi kwa wajukuu.
38
28
48
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Zimeshika nashangaa mbona ugali haiivi kumbe nlipika na maji baridi.
5
17
46
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Twende na nani home tuexplainie wazazi venye ni ngumu kupata mtu.
3
14
45
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Ata hamjali naeza pika hadi weed cookies mnaniwacha tu.
3
18
44
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Anxiety and depression itawamaliza ju ya kujicompare na mates.
3
19
40
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
17 days
What are Saturdays meant for?.
28
18
40
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Zimewahi shika hlafu kiberiti ikaisha nkajaribu kutumia zile emoji za,moto.
5
14
38
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
17 days
Don't open thus thread in public
Tweet media one
29
17
39
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Leo labda nacada wakuje watuokoe.
3
16
39
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Landlord ameweka calender kwa status.
3
16
37
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Acha nibadilishe jina ikuwe egonga nione kama itawanasa kumamaye.
5
20
37
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Kidogo tu nitoke soko. Mungu akakumbuka huwa naruka mwaka bila mtu😭.
2
13
34
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Yaani kesho watu wa private universities wanaamkia class?.
3
11
37
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
17 days
Nmewahi shikwa na mwakenya bahati mzuri nlikuwa nmeandika kwa kimaasai.
22
21
36
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Acha nianze safari sasa ya kuenda Russia na punda nifike next year time ya summer.
5
15
35
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Nkiendelea hivi naona sitatoshea kiti ya plastic.
4
10
36
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
20 days
He said he wanted a girl who can take his breathe away me nkanyamba.
10
8
36
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Wacheni wasichana wapende matajiri maisha ni ngumu.
5
16
34
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
7 days
Na mjue kazi ya wanawake ni mbili tu kukutuliza kama umechanganyikiwa na kukuchanganya kama umetulia 😂.
8
12
34
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Therapist:so the problem is you easily fall in love.Me: yes😭😂😂.
5
15
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Tuko kwa lain ya busaa hlfu mtu ananimbia nakaa mtu nmesoma😂😭.
4
15
32
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Ni mimi pekee yangu natakanga kuchungulia wasee ukojoa kwa njia ama pia nyinyi.
5
12
29
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
28 days
Sasa maua zangu zitamea aje na hizi jua.
7
20
33
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Kumbe nlikuwa nmesahau nmeweka busaa iive.
1
12
31
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
20 days
Valentine gani tena jamani si I thought tunangoja pasaka.
5
10
31
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
20 days
Exam iishe sasa comrades waache kutumia akili.
4
13
29
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
So basically gospel songs are Diss tracks from satan😂😂☠️.
4
10
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Wazazi wamepata Ash tray imebidi niwambie mimi ni mganga.
3
13
32
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
8 days
Me as a kid:unajua hiyo ndege hapo juu ishafika America lakini si bado tunaiona huku.
5
11
32
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Wearing pads ndio mungu anihurumie ninyeshe ju sitawahi rudia tabia mbaya tena😭😂.
7
12
29
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
29 days
Kibet atishow sasa kama ilikuwa inamkaa ama iliqacha.
0
5
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
21 days
Frauds ni mimi pekee ndio sijui dutch eeiy😭😂😂.
1
9
31
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
9 days
What if that person coming for that sleepover doesn't wake up?.
8
9
31
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Mimi ukinifanyia,venye unataka pia mi nakufanyia ivo ivo.
6
5
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
The bag I'm chasing move like a warthog.
3
9
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Conversation with friends with the same mental health is the cheapest therapy.
1
22
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
3rd solfest singing "usiponipenda ntapendwa na nani" to My imaginationship consistency.
0
10
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Mi nkiwa exam nayo naonanga tu mkono ikiandika ufala na siezi fanyia kitu.
3
13
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Kuishi solo ni tamu aje. Sai nmejifunga pampers najikojolea tu kwa rahaa zangu.
6
8
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Eeiy hlfu kuna relationship ya skinny men na thick babes.
2
13
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Lakini kama babayangu alipata mtu, msijali everything will be okey😭😂😂.
3
15
30
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Back to default, narukanga mwaka bila mtu kama kawaida😭😂😂.
4
14
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Mimi huko Spotify yangu ya wrap naona tu mama Wayne, na toby.
2
10
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Ama niende nijaribu kutafuta pearl kwa Indian ocean mtabuy??.
1
10
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Akili mzuri natoa wapi sai??.
3
13
26
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
I really Need women to stop forgiving cheating men.
2
12
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Koroom unaingia pekeyako unatoka na mtu hii mwaka lazima wazazi wajuane.
1
13
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Maisha ya campus nayo ni tamu bana. Dem anaeza kupea ju mko na sup wote.
2
11
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Hapo kwa kuwa romantic nliuma nje ajab.
6
14
26
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
29 days
Ntashow nini huyu mzazi alipata boxes za oris kwa hao😭😂.
4
10
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
1 month
Ni mi pekee yangu naona hawa lecturers wantaka kurudi strike ama pia na nyinyi.
3
9
27
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
27 days
Me to kabej and misheveve-watu hukosa lakini wanaongea na wanaelewana tena.
2
7
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Kumbe ata mtu aneza olewa bado akiwa soko😭😂.
2
15
28
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Nakupikia ugali medium rare unasema sijui kupika.
1
10
26
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
23 days
Nkisema FA mnasema GGMU😂😂😂😂😂.
5
11
26
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Wacha huyu lec aongee imtoke.
3
10
22
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Talking with my demons right now figuring what next.
3
6
24
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
Hizi ni gani naskia aty ukikata mjulus inamea ingine kubwa.
6
6
25
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
2 months
I wannafeel that fresh love again,texting all day, random face time calls,sweet reassuring messages🥺ugh just a lover girl who want love😭😢.
4
10
25
@umbwamimi2
:chichi💜🦋
3 months
Some things are better left alone .like me for instance.
2
12
24