tanroadshq Profile Banner
TANROADS HQ Profile
TANROADS HQ

@tanroadshq

Followers
570
Following
1
Statuses
419

Joined April 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@tanroadshq
TANROADS HQ
11 months
Tweet media one
9
1
11
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
Tweet media one
1
2
6
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
Tweet media one
2
0
10
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
VIDEO: Kwa niaba ya Serikali Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Francis Michael, amekabidhi gari aina ya Land Cruiser Hardtop kwa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) ili kuwawezesha kufika kwa wakati kwenye miradi ya barabara. Gari hili limepokelewa na Meneja wa TANROADS Songwe.
2
0
5
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Francis Michael amewakilisha Serikali kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa TANROADS Mkoa wa Songwe leo tarehe 11 Disemba 2023 ambapo amesema kilichofanyika ni mwendelezo wa Serikali ya Awamu ya Sita katika uboreshaji wa miundombinu hususani ya barabara
0
0
0
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akishirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista J. Mhagama na Waziri wa Madini, Anton Mavunde wakisimamia uzoaji wa tope na kurudisha hali nzuri ya miundombinu katika Mji wa Katesh -Hanang, Dec. 5- 2023
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
7
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
umebebwa na kauli mbio Isemayo " Intermodal Transport for Rapid Socio-Economic Development).
0
0
1
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Mohamed Besta leo tarehe 5 Disemba 2023 ametembelea banda la TANROADS lililopo katika viwanja vya ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC) ambapo unafanyika Mkutano wa 16 wa mwaka wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi
Tweet media one
Tweet media two
1
1
4
@tanroadshq
TANROADS HQ
1 year
ametutengenezea barabara hii imekuwa na ubora sasa hivi na kufika kwenye safari zetu kwa muda mfupi"
0
0
0