soka360tz Profile Banner
Soka360 Profile
Soka360

@soka360tz

Followers
64K
Following
2K
Statuses
20K

For comprehensive coverage of Tanzanian soccer 🇹🇿 contact [email protected]

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@soka360tz
Soka360
2 days
RT @TzFootballers: TRANSFER UPDATES 🚨 Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Waziri Jr Shentembo Amejiunga na Al-Mina'a SC ya ligi kuu Nch…
0
44
0
@soka360tz
Soka360
3 days
"Kuanzia msimu ujao tunakuja na kanuni ya golikipa mmoja tu wa kigeni kwenye kila timu,Haiwezekani kwenye timu moja kuwe na magolikipa wawili wa kigeni haiwezekani hii" Rais wa TFF,Wallace Karia via wasafi Media.
Tweet media one
0
0
1
@soka360tz
Soka360
3 days
#LigiKuu | Hali ya uwanja wa Lake Tanganyika-Kigoma ambao mchezo Kati ya Mashujaa dhidi ya Coastal Union saa 10:00 jioni. Picha : azam tv
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
19
@soka360tz
Soka360
4 days
Basi la Dodoma Jiji imepata ajali maeneo ya nangurukuru ambapo lilikuwa likitokea Lindi kuelekea jijini Dar es salaam baada ya mchezo dhidi ya Namungo Hakuna taarifa ya kifo lakini Kuna uharibifu wa Mali pamoja na majeraha kwa baadhi ya watumishi wa klabu hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
2
10
@soka360tz
Soka360
6 days
Uwanja wa Dandora jijini Nairobi na KMC jijini Dar es salaam ni miongoni mwa viwanja vyenye matumizi makubwa sana msimu 2024/25 kutokana na wingi wa timu unaovitumia kama viwanja vyake vya nyumbani KMC-Simba,Yanga,KMC Dandora-Ulinzi,Mathare utd,AFC Leopards Vinafanana kiasi 😃
Tweet media one
Tweet media two
1
2
25
@soka360tz
Soka360
6 days
@MoruoKing Raia wa Somalia huyu alitokea Horseed
0
1
1
@soka360tz
Soka360
6 days
Nyota wa KMC Abdulqarim Qubaye amerejea kunako uwanja wa mazoezi hii leo baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi Sita akiuguza majeraha ya got yaliyokuwa yakimkabili. Qubaye alifanyiwa upasuaji ambao ulimuweka nje ya uwanja kwa muda huo.
Tweet media one
0
2
16
@soka360tz
Soka360
6 days
Wanahabari tunaporipoti na kuweka mikazo kwenye changamoto zinazoikumba Simba na yanga pekee si sawa kwani #LigiKuu ina timu 16 hatupaswi kuegemea pande 2 pekee! Ligi inakua basi tukue pamoja na hizi 14 zilizobaki kwenye mazuri na Yale yenye kusemewa hata kwa uchache wake.
Tweet media one
1
3
35
@soka360tz
Soka360
7 days
Hatua ya 32 bora CRDB FEDERATION CUP. Chama lako linatoboa?
Tweet media one
Tweet media two
0
0
5
@soka360tz
Soka360
7 days
Congo Brazaville ndio timu ya taifa ya nyota wa Singida Black Stars Hernest Malonga.
@soka360tz
Soka360
7 days
FIFA imelifungia taifa la Congo Brazaville kushiriki michuano yoyote ya kimataifa ngazi ya klabu na taifa mpaka pale watakapotoa taarifa wakati mwingine. Hatua hiyo imefikiwa baada ya waziri wa michezo nchini humo kuingilia uendeshaji wa shirikisho la soka nchini humo.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
0
@soka360tz
Soka360
7 days
FIFA imelifungia taifa la Congo Brazaville kushiriki michuano yoyote ya kimataifa ngazi ya klabu na taifa mpaka pale watakapotoa taarifa wakati mwingine. Hatua hiyo imefikiwa baada ya waziri wa michezo nchini humo kuingilia uendeshaji wa shirikisho la soka nchini humo.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1
@soka360tz
Soka360
8 days
RT @Tanfootball: Kila la heri Selemani Mwalimu kwenye klabu yako mpya ya @WACofficiel ya Morocco 🇹🇿💪🏾 @TaifaStars_
Tweet media one
0
38
0
@soka360tz
Soka360
8 days
Kutoka jumba la ladha na hekaheka #LigiKuu 🇹🇿 Ale ashibe,Msimuweke benchi tafadhali.
@WACofficiel
Wydad Athletic Club
8 days
Mshambuliaji wetu wa Kitanzania yuko hapa 📸🇹🇿 #DimaWydad
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
13
@soka360tz
Soka360
8 days
RT @WACofficiel: Karibu, Selemani Mwalimu. 🔴🤝⚪️ #DimaWydad
Tweet media one
0
418
0
@soka360tz
Soka360
8 days
RT @WACofficiel: نرحب بالمهاجم التنزاني سليماني عبد الله مواليمو بنادي الوداد الرياضي. ✍️🇹🇿 #DimaWydad
Tweet media one
Tweet media two
0
106
0
@soka360tz
Soka360
8 days
RT @WACofficiel: Hujambo mashabiki wa Tanzania 👋 𝐒𝐞𝐥𝐞𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 amejiunga na klabu yetu .. Karibu katika familia 👐🔴⚪ #DimaWydad https://…
0
289
0
@soka360tz
Soka360
8 days
#LigiKuu | Kibu Denis Ataukosa mchezo wa leo dhidi ya Fountain gates kufuatia majeraha aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Tabora United, Simba watakuwa ugenini leo saa 10:00 jioni dhidi ya Fountain gates uwanja wa Tanzanite Kwaraa.
Tweet media one
2
1
11
@soka360tz
Soka360
9 days
Singida Black Stars itakuwa chini ya kocha David Ouma na Muhibu Kanu wakati huu wa mpito ambao wameondokewa na kocha wake mkuu Hamdi Moulid na msaidizi wake. Muhibu atakuwa msaidizi na Ouma atakuwa kocha mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake mjini Singida.
Tweet media one
0
0
2
@soka360tz
Soka360
9 days
Mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Young Africans hapo jana usiku,Tayari Hamdi Miloud ametua jijini Dar es salaam leo Februari 5,2025 kwa ndege akitokea Dodoma kuanza majukumu mapya ndani ya viunga vya twiga na jangwani.
Tweet media one
0
0
5
@soka360tz
Soka360
9 days
Nyota wa Kenya,John Makwata ameachana na klabu ya Coastal Union baada ya klabu hiyo kushindwa kulipa kwa wakati dau la usajili pamoja na malimbikizi ya mishahara,Ameripoti mwandishi Teya Kelvin 🇰🇪 Alijiunga na wagosi akitokea Kariobang Sharks,mbioni kujiunga na Bandari ya kenya
Tweet media one
0
0
21