![Simusolar Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/788705157278302208/swm2k-eV_x96.jpg)
Simusolar
@simusolarTZ
Followers
126
Following
99
Statuses
77
Simusolar improves livelihoods in rural Tanzania by providing productive, financed, solar-powered products and energy-efficient equipment.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2016
Timu yetu ikifunga pampu tayari kwa kuanza kuvuta maji eneo la Chanika- Dsm. Kwa mahitaji ya pampu tupigie simu bure katika namba hii 0800 11 0036 tukuhudumie #Simusolar
0
0
4
Kutembelea wateja ndio jadi yetu, timu yetu ikiwa imemtembelea mmoja kati ya wateja wetu ili kujua changamoto anazopata na tuweze kuzitatua.#Simusolar
0
0
2
Jana ndio ilikuwa siku ya mwisho ya maadhimisho ya sikukuu ya nanenane, Asanteni sana wadau wetu kwa kufika na kuona namna ambavyo pampu zetu zinafanya kazi #Simusolar #nanenane
0
0
4
Baadhi ya wahudhuriaji katika maonesho ya nanenane mkoani Simiyu wakipata maelezo namna pampu zinavyofanya kazi #Simusolar #NaneNane2020
0
0
2
Maonesho ya nanenane bado yanaendelea, wahudhuriaji wakipata maelezo na kujionea namna pampu zinavyofanya kazi mkoani Mbeya #Simusolar #nanenane
0
1
2
Maonesho ya nanenane bado yanaendelea, karibu uweze kujionea namna pampu mbalimbali zinavyofanya kazi #Simusolar #NaneNane2020
0
0
1
Mkuu wa wilaya ya Iringa akipata maelezo kuhusu pampu zetu alipotembelea banda letu katika maonesho ya nanenane #Simusolar #nanenane
0
1
3
Tupo katika maonesho ya nanenae mkoani Arusha , kama upo karibu usisite kusogea katika banda letu. #Simusolar #nanenane
0
0
3
Deputy minister of Water visited our Simusolar booth and was very impressed with our product because it’s environmental friendly and also farmer’s friendly #Simusolar #nanenane
0
1
2
Tupo kwenye maonesho ya nanenane hapa Dodoma, kama upo karibu usisite kusogea uweze kujua mambo mbalimbali. #Simusolar #nanenane
0
0
2
Tupo katika maonesho ya nanenae mkoani Morogoro, kama upo karibu usisite kusogea katika banda letu. #Simusolar #nanenane
0
0
1
Tupo Mbeya pia kwa ajili ya nanenane, kama upo karibu sogea kwenye banda letu uweze kujua namna pampu zinavyofanya kazi. #Simusolar #nanenane
1
0
1
Tupo tayari kwa ajili ya maonesho ya nanenane, kama upo Simiyu sogea katika banda letu uweze kujionea pampu mbalimbali na kujua namna zinafanya kazi. #Simusolar #nanenane
0
0
0