shabiki_jr Profile Banner
Shabiki Profile
Shabiki

@shabiki_jr

Followers
15K
Following
15K
Statuses
22K

Story Teller | Movies Analysis | Reviews | Celebrity Stories | Subscribe To My Telegram Channel To Download HD Movies & Series | DM For More Info & Work

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@shabiki_jr
Shabiki
4 months
Series: β€œFROM” (Questions We Have So Far) From the creaters of β€˜LOST’, hawa jamaa wakaamua tena waje na hii, moja kati ya series ambazo zimetrend sana hivi karibuni, zikiwaacha viewers na maswali mengi, baadhi ambayo tutakuwa tunajadiliana hapa
Tweet media one
41
117
1K
@shabiki_jr
Shabiki
15 hours
@lifeofibrahim23 Mwamba hakuchoshi kabisa yaani, movie zake unaweza ukaangalia all day
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
15 hours
@mulansix Yeah, ile uzuri wa movies za James Cameron huwa hazichoshi kabisa yaani, mwamba hata akiamua kuifanya movie iwe na masaa 6 bado utaona inanoga
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
15 hours
@mulansix Yeah ni unyama sana. Ile experience kuipata nyumbani ni ngumu sana, labda kama uweke setup ileile
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@Mozgodz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kabisa kwa kweli
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@kibazange11 Yeah, nitakuja kuelezea hapa siku moja, nakusanya taarifa zaidi
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@iddiguy Yeah huwa ni ndefu, ila kutokana na uzuri uliokuwepo, hauwezi kuona kama ni ndefu
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@Merialism2 Siku zinakimbia sana aisee, mwezi wa 12 kesho kutwa tu hapo
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@kisute13 Zipo 5. So baada ya hii kuna nyingine mbili
0
0
1
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
@innocentxxii Naam πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
0
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
Jack Quaid ambae ameigiza kama Nathan Cane humu ndani, ni mshkaji ambae hasikii maumivu regardless ya kitu chochote kitakachompata whether umchome kisu, agongwe na gari, apigwe na mshale etc πŸ˜‚ Sasa bhana siku moja, manzi yake alikuwa kidnapped, sasa jamaa kwa kutumia hali aliyokuwa nayo, akawa anataka kumkomboa manzi yake Kwanini manzi alitekwa? Je, Nathan alifanikiwa kumuokoa? Majibu haya yote utayapata March 14, 2025
Tweet media one
0
0
1
@shabiki_jr
Shabiki
2 days
Mwonekano wa kwanza wa movie ya β€˜A SIMPLE FAVOR 2’ starring Anna Kendrick na Blake Lively Itaanza kuonekana ifikapo May 1, 2025
Tweet media one
0
0
23
@shabiki_jr
Shabiki
5 days
@raykachila @AFC_Davie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao jamaa hiyo movie walizingua sana
1
0
1
@shabiki_jr
Shabiki
7 days
@KenanJMligo Yeah, wameirudia
0
0
2
@shabiki_jr
Shabiki
7 days
@KenanJMligo Mwaka huu
0
0
1
@shabiki_jr
Shabiki
7 days
Trailer la kwanza la movie ya β€˜FINAL DESTINATION: BLOODLINES’ limetoka Imepangwa kuanza kuonyeshwa kwenye theaters ifikapo May 16, 2025
4
1
27
@shabiki_jr
Shabiki
7 days
Season hii imekuwa set kutoka ifikapo April 2025. Lakini pia kwenye msimu huu wa pili, itafanyika adaptation ya Last Of Us Part II, ambayo kama ilivyo kwenye game, series pia itaanza na matukio baada ya miaka 5 na introduction ya Abby (nafasi inayochezwa na Kaitlyn Dever)
Tweet media one
Tweet media two
0
0
9