regmengi Profile Banner
Dr Reginald Mengi Profile
Dr Reginald Mengi

@regmengi

Followers
2M
Following
6
Statuses
2K

Account of the late Executive Chairman-IPP LIMITED. Entrepreneur and philanthropist.

Tanzania
Joined January 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
“Urafiki unaotokana na biashara zenu ni bora kuliko biashara itakayozaliwa kutokana na urafiki wenu”Billionea wa zamani wa Marekani John D,Rockefeller”
153
581
3K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.”Kikwete 2009.”
103
313
2K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Tukutane kesho uwanja wa taifa kushuhudia vijana wetu wa Serengeti wakiwachapa Nigeria magoli yasiyopungua matano.
Tweet media one
54
76
1K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Am in lndia to catch up with latest race on stem cell and gene engineering technology. Remember Mwalimu Nyerere once advised us to run while others walked. Pse pray for me to win this race.
174
163
2K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
@Hakingowi Am in lndia to catch up with latest race on stem cell and gene engineering technology. Remember Mwalimu Nyerere once advised us to run while others walked. Pse pray for me to win this race.
5
4
57
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
JNMengi,my sweetheart, I love you more than the sand in all the seas in the whole world. God willing will see you tomorrow xxxxx.
468
210
3K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Happy Anniversary My Sweet love. It has been a very exciting journey full of love and happiness. I love you crazy.
Tweet media one
684
648
9K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RT @NotYetUhuru__: Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde enzi za Rais Mwinyi. Unamkumbuka nani katika picha? @MariaSTsehai
0
54
0
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Ndoto yangu ni kushirikiana na serikali kutokemeza kabisa umasikini Tanzania.
352
261
2K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RT @JNtuyabaliwe: I think it’s about time that airplane manufacturers spend more resources and technology in making air travel safer. Espec…
0
74
0
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
@JNtuyabaliwe Happy Women’s day my Love. You are my everything including the air I breathe. l love you crazy.
133
63
582
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RIP Kibonde. Kuondoka kwako ni pigo lingine kubwa kwa tasnia ya habari na wa Tanzania kwa ujumla. Poleni sana familia ya Kibonde, Poleni sana Clouds. Nitakukumbuka kwa ucheshi wako kwenye kipindi cha Jahazi.
24
68
1K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Habari njema: Mtu aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikizwa vinasaba ( stem cells ).@BBCNews
74
75
888
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Lowasa karudi CCM. Karibu tena nyumbani Mheshimiwa. CCM hoyeee! Magufuli hoyee,,,,,,,,
337
140
2K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RIP Ruge Mutahaba. The Media fraternity is shocked by the very sad news of your untimely departure. You leave behind a huge gap which we shall find very difficult to fill. You were truly a gentleman and pioneer in many aspects of the media. Farewell our Brother.
70
188
2K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RIP Ruge Mutahaba. When you are happily settled in our Lords home, don’t forget your profession. I know and believe you are sufficiently innovative and I am sure you will find a way to communicate with us. Poleni sana familia ya Ruge Mutahaba , wanahabari na watanzania wote.
17
69
777
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
RT @MagufuliJP: Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tas…
0
1K
0
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
“Mtu anayekuchukia hata akikukuta unacheza ndani ya maji,atasema unamtimulia vumbi” Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli.
78
188
1K
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
“Sekta ya uma na sekta binafsi ni mapacha” Mheshimiwa Angella Kariuki, akizungumza na uongozi wa TPSF. Hongera sana waziri kwa kuelimisha Watanzania.
14
18
300
@regmengi
Dr Reginald Mengi
6 years
Tweet media one
16
29
334