loyal Profile
loyal

@poststormer

Followers
3K
Following
83K
Media
41
Statuses
70K

everyday lifelearner

Kenya
Joined November 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@poststormer
loyal
6 months
Alafu gas ni part ya vyombo chafu. Ukimaliza kuosha vyombo panguza gas. Si kungoja hadi siku ya kurefill 🤦😂.
8
74
230
@poststormer
loyal
17 days
Since mhype pantyline tumebaki wawili tunavaa seamless.
11
79
227
@poststormer
loyal
3 months
Kuna watu ni kama watainama supper kwa sababu yangu and I feel bad about it. Ata ka ni wewe umeachwa kwa duka ya wenyewe unaeza kopesha watu hujui.
6
65
214
@poststormer
loyal
2 months
Btw nakuaga wa tribe yenye ukiwa in a long distance relationship unalala bila wasiwasi😂😂.
10
71
208
@poststormer
loyal
6 months
August trying to outdo July. Unaeza dhani ziko Olympics ya gani baridi zaidi.
6
83
197
@poststormer
loyal
1 month
Jirani ashaamkia telenovela connected kwa woofer.
9
80
198
@poststormer
loyal
22 days
Hata sikukasirika vile nilitoa hiyo geisha kwa karatasi na ikaanguka direct kwa choo juu nilijua mmeniroga nisioge kama nyinyi😂😂.
15
84
191
@poststormer
loyal
19 days
Kupretend siku mbili simuitishi vile huwa mnasema nishaulizwa 'who is replacing me?' staki mambo yenu kabisaa😂.
13
76
190
@poststormer
loyal
12 days
Mi protein ikitajwa akili huona tu nyama na mayai haiezi ona ata legumes.
20
90
191
@poststormer
loyal
7 months
Naambiwa not yet eligible for monetization. Kwani passmark ni gani hizo🙆.
13
56
172
@poststormer
loyal
3 months
Ukizoea bedsitter alafu uende place choo na bafu ziko separate, chances za kususu kwa bafu ziko very high🤦😂.
11
82
178
@poststormer
loyal
9 days
Kama mumedate more than three months na bado hajakununulia dawa ya minyoo huyo hakupendi🤦😂.
12
84
187
@poststormer
loyal
2 months
Kama huendi church anika mattress na ufue bedsheets tafadhali. Na usisahau kufua towel pia😂😂.
12
67
174
@poststormer
loyal
16 days
Siku sina chakula extra ndo watoto wa ploti wanakuja. Now my son has to starve hadi waende ndo nimlishe🤦.
17
78
185
@poststormer
loyal
1 month
Sasa ushago kila mtu akichinja nani atakula kwa jirani.
14
77
180
@poststormer
loyal
2 months
Mnifunze mambo na VPN sasa. Ni kama nimeexhaust budget ya data ya hii mwezi na ata hatujafilka halfway.
5
70
173
@poststormer
loyal
4 months
Sasa juu hamsusu kwa bed hamwezi anika mattress ata siku moja for aeration🙆😂.
15
81
163
@poststormer
loyal
1 month
Kitu nimejifunza hii mwaka is not to kasmuel anybody especially kwa hii App😂.
9
79
166
@poststormer
loyal
3 months
Broke me: Siezi jenga nyumba kubwa juu relatives wanaeza feel hawakufinyi wakatae kurudi kwao🤦😂.
7
74
163
@poststormer
loyal
2 months
Leo nimeona 4 different guys wamedhohofika kiafya wanatenbeza umbwa kubwa zimenona kweli🙆.
8
70
163
@poststormer
loyal
13 days
I'm not thick but nikikalia toilet seat hua almost kuijaza, sasa hawa. ama wacha tu.
15
76
166
@poststormer
loyal
2 months
Najua haiwahusu but my long distance relationship ends today😊.
18
72
162
@poststormer
loyal
5 months
Hua mnasema women like to gossip. Leo nimeamshwa na 'sijakuambia' 🤦😂😂.
5
69
152
@poststormer
loyal
2 months
Deep down not everyone is proud of their lifestyles, especially if influenced by peer pressure.
11
78
155
@poststormer
loyal
2 months
Kuna tu watu wakinifollow nafollow back nakurecord mahali juu wueh 😂😂. Siamini.
13
75
154
@poststormer
loyal
2 months
Huyu mkisii nimeishi kujua 2nd name yake ni Apeli. Leo ndo naona kumbe ni 1st name Abel.
5
70
149
@poststormer
loyal
2 months
Lakini kusema ukweli tu mosques na temples huwa zimejengwa smart 😊.
9
63
149
@poststormer
loyal
5 months
Leo nimeenda morning run, nimekimbizwa na bull ya neighbour pale ushago kumbe ni ndoto na ni asubuhi😂.
9
57
144
@poststormer
loyal
4 months
Leo nimetembea bila mtoi and all I can say is "lust is a sin" 🤦😂😂.
8
60
144
@poststormer
loyal
3 months
Muliwacha kuoga eti juu ya baridi alafu mtaanza kucomplain insomnia. Enda oga ulale vizuri😂.
8
68
144
@poststormer
loyal
2 months
Manifesting visiting at least 5 counties in one day and night😂😂.
12
69
144
@poststormer
loyal
4 months
Ndo kupata nafasi ya kuguza simu. Hope you are well.
8
70
142
@poststormer
loyal
7 months
Pastor amefurahia youth vile wanafuatilia bible kwa simu. Mi najua walikua wanarepost😂.
5
51
136
@poststormer
loyal
6 months
Mwanaume ni mtu ata akue broke aje atalewa tu bado🤦.
12
68
138
@poststormer
loyal
1 month
Juu mko kanisa na club na mi nko tu kwa nyumba, I need something to keep me up till midnight. Hello frauds who think I'm their fan.
13
73
144
@poststormer
loyal
3 months
Nikiwa mgeni huku I felt people are stupid juu walikua wanajibu maswali simple sijui aje. Kukaa kaa kidogo nikagundua kumbe mi ndo stupidest 😂😂.
6
63
136
@poststormer
loyal
3 months
Frauds wamejaa hadi kwa gain train mi hungoja tu kufollow back juu hua sifurahii kuunfollow 😂.
6
68
133
@poststormer
loyal
3 months
Kitambi ninayo, hapo kwa kuacha ngano is where I draw a very thick line. I'm addicted 😂.
9
59
137
@poststormer
loyal
5 months
Kitambo nilikua nimejiwekelea standards za kipuzi like singepika ugali lunchtime🤦😂.
11
76
133
@poststormer
loyal
2 months
Maembe za bure zitaniua. By now ni kama nimekula hadi ya February🤦😂.
7
69
136
@poststormer
loyal
3 months
Sikatai umejiconvince mi ni catfish but ukidhani utanifanyisha interrogation, you have a long way to go.
8
60
132
@poststormer
loyal
3 months
Vile siezi judge mtu anatumia drugs ndo vile siezi judge mtu suicidal simply because I don't know what you are going through.
7
70
133
@poststormer
loyal
3 months
Alive and thankful. Hope you are well.
14
63
131
@poststormer
loyal
2 months
Safety na standards haziambatani. Kama mimi bathroom siezi risk na viatu zingine kama si 'akala'. Doesn't slide at all.
4
73
135
@poststormer
loyal
1 month
Mimi landlord akiniuliza kama mtu flani ako my answer is always 'sijui'. Hata kama najua ako ama ametoka.
9
58
135
@poststormer
loyal
2 months
Penye niko hata kunyeshe lazima uoge at least twice so kaeni tu huko juu hampendi kuoga🤦😂.
5
57
135
@poststormer
loyal
18 days
Juu nimekula kula chocolate, valentine's nikieza pewa fried termites(kumbe kumbe) naeza shukuru sana 🤦😂.
11
71
136
@poststormer
loyal
1 month
Mlikataa kunifollow mko sure nikichukuliwa mtasema wanifree. Hata mtaniotice kweli🤔.
17
66
133
@poststormer
loyal
17 days
Mnapanga kuretire from Twitter mkiwa how old😊.
21
74
135
@poststormer
loyal
11 days
Hiyo 14th bora mtoi ako na diaper na uji I'm good😂.
14
74
135
@poststormer
loyal
2 months
Najihurumia siezi afford kuchange hairstyle regularly kama flani alafu naskia ako na deni salons sita.
7
64
130
@poststormer
loyal
2 months
Tumerudi ploti tunauliza ruto amesema nini hakuna mwenye anajua juu hakuna mwenye ameskiza sasa tuko tu.
9
61
129
@poststormer
loyal
1 month
Kama haukula chapo jana usijali, pia mi sikula.
14
65
130
@poststormer
loyal
2 months
Nimekaa nikakumbuka kuna family nazijua. They are well off but don't go to church. Then there's me😭😂.
6
63
130
@poststormer
loyal
4 months
Heri nikule mrenda ama nderema badala ya cabbage😂😂.
15
69
123
@poststormer
loyal
6 months
My son ako lucky naeza msaidia homework ya maths ya primary. Ikifika high school itabidi aende boarding. Staki aibu😂.
6
55
121
@poststormer
loyal
3 months
Before joining this App nilikua najua tu maswara ni antelopes😂😂.
8
50
122
@poststormer
loyal
24 days
Including older women in my circle imenisaidia sana kimaisha.
12
63
131
@poststormer
loyal
5 months
Daawat tradional basmati rice(blue)>>>>>. Kabla pombe iishe kwa akili, mwambie alikupromise iyo. Thank me later.
7
57
124
@poststormer
loyal
2 months
Introverts wa coast wanakapitia juu nyumba haitaki ufunge mlango wala kueka curtains especially usiku.
8
59
127
@poststormer
loyal
4 months
Mnunulie wapoa wenyu samaki kubwa ndo aenjoy. Ndogo ni mateso tu juu imejaa bones. Kama pesa haitoshi nunua skuma tu😂.
4
66
123
@poststormer
loyal
5 months
Mlisema brand gani ya mchele ndo the best, kesho nimwambie alinipromise ataninunulia🤦😂😂.
8
44
124
@poststormer
loyal
20 days
Nguvu ya kupost mtu akiwa kwa downfall na mwenye amejiua mnatoa wapi🥺.
6
67
131
@poststormer
loyal
1 month
Hua mnakunywa kahawa jioni ama usiku willingly.
14
57
128
@poststormer
loyal
3 months
Watu wa Kilifi kindly explain vile maembe inaeza ivia kwa miti kando ya barabara 🤔😂😂.
8
59
123
@poststormer
loyal
7 months
Haya, bigwigs wanaanzia wapi juu naeza kua naengage bigwig nikidhani ni smallwig 🙆.
18
41
119
@poststormer
loyal
3 months
Kunipoteza kama loyal ni ngumu. Labda tu uanzishe huo mchezo 🤦.
12
70
120
@poststormer
loyal
2 months
Hua mnapata aje posts za mtu mwenyewe among those millions reposts. Kuna watu I owe them.
6
63
124
@poststormer
loyal
4 months
Kumbe kuna maandamano. May God protect you all.
4
62
119
@poststormer
loyal
2 months
Kiburi ya leo is sponsored by 2 guys kuniambia sikai kua na mtoi na nimembeba alafu sasa skin care ni arimis😊.
6
47
124
@poststormer
loyal
5 months
Asking a grade 4 girl Kama amepeana panty ioshwe does not sit well with me. My mom angepata umepea maid panty akuoshee ungeona vita mbaya.
6
51
113
@poststormer
loyal
5 months
Leo ndo ile siku ya kupromisiwa the whole world. Love and alcohol mixture is a beautiful thing 😂.
6
44
118
@poststormer
loyal
5 months
Na kwani tatoo si uchungu juu Kuna mtu 80% ya mwili yake iko tattooed.
8
62
117
@poststormer
loyal
6 months
Nashangaa kwani followers wangu wote wameenda sherehe, kumbe niko following part ya tl😭.
6
44
113
@poststormer
loyal
23 days
Leo naeka special prayers kwa the bitter na wenye wivu. Kama we ni mmoja wao usijali, I got you covered😊.
5
66
126
@poststormer
loyal
4 months
Mko karibu kuanza kutweet 'mlango yangu haina nyumba'😂.
4
64
117
@poststormer
loyal
2 months
Leo niliota ninashindwa kupumua then kushtuka napata both nostrils zimeblock wueh.
10
69
119
@poststormer
loyal
6 months
Nyota yangu ya roman numerals ilizimia 30(XXX).
6
44
113
@poststormer
loyal
2 months
What you eat determines if you can get help. Huyu ameambiwa ' unaniomba mia na huwa unakulakula nyama, mimi hata hio ya nyama sina'.
7
58
120
@poststormer
loyal
12 days
Me every morning when I realize I'm still breathing: Good morning God, you are the best.
13
63
121
@poststormer
loyal
5 months
Nikiwa mgeni huku nilikua naogopa psychosins. Nowadays nawaogopa nyinyi wote 😂😂.
7
62
108
@poststormer
loyal
2 months
Born to catch flights forced to board matatus.
5
60
120
@poststormer
loyal
6 months
Kila kitu ni kurisk but munafanya hii ya kulipia badge inakaa too risky 🤦.
12
44
109
@poststormer
loyal
4 months
Unafake lifestyle alafu mtoto akifukuzwa shule inabidi umtume kwa auntie na hata hakuna mtu atakuuliza.
2
52
110
@poststormer
loyal
5 months
Kama huna pesa za kulipia damages don't drink and drive. Ignore kama uko nazo😂.
8
55
105
@poststormer
loyal
3 months
Just overhead some women claim their pastor anaeza kuombea so you don't have to use contraceptives then ukiwa ready he prays again to unlock the womb🙆😭😭.
6
57
115
@poststormer
loyal
6 months
Ndo nimeona. Ukishaambiwa unusual activities kwa account. Hiyo ndo time ya wizi. Just happened rn.
6
49
107
@poststormer
loyal
3 months
Ukichange relationship, change pia mattress basi😂😂.
11
48
111
@poststormer
loyal
2 months
Watu huskiza gospel throughout ama kuwatch mahubiri pekee huwa brainwashed vibaya sana. No offense.
7
65
114
@poststormer
loyal
5 months
Kuna kitu sielewi. Kwani nyinyi wote mko na kazi FPL🤦.
8
49
107
@poststormer
loyal
16 days
Leo special prayers ni kwa wale wako na chuki na wengine huku na mwenye anachukiwa hata hana habari.
7
50
117
@poststormer
loyal
3 months
Stress ya kuanika panty kwa wenyewe haishindi ya kudispose used pads na hakuna pit latrine.
9
57
114
@poststormer
loyal
3 months
Hii mapengele imefanya nikumbuke mkianzaga kuongelea amapiano nilikua nadhani ni musician.
4
56
111
@poststormer
loyal
3 months
Sisemi kuna shida ama ni mbaya but siezi vaa nguo mpya Christmas. Labda a day or two after.
7
55
110
@poststormer
loyal
7 months
Hii nayo nimeifeel😭
Tweet media one
5
34
102
@poststormer
loyal
5 months
Ndo mtu akusalimie kwa radio, anakualert utegee ama anaassume we pia huskiza iyo radio station 🤔.
7
49
105
@poststormer
loyal
6 months
Vitu loyals hufanya niretweet huku namalizanga kama nimesema," forgive me Lord"😂😂.
16
55
103
@poststormer
loyal
5 months
Watupee sasa holiday ya kupunguza miti juu hii baridi imekua excess 😊.
5
68
107
@poststormer
loyal
6 months
Tumebaki wawili wenye bado tunaoga daily. Guys we need numbers😂.
10
49
105
@poststormer
loyal
3 months
Thought mlikua mnajoke mambo ya hide and seek. These kids wamedecide to play that game alafu from nowhere mothers/ househelps wametokea na kila mmoja akaambia mtoto wa kwao aingie kwa nyumba😂😂.
4
64
109