![OBBY Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1861085675816132671/BA4VdMXq_x96.jpg)
OBBY
@obby__davinci
Followers
9K
Following
11K
Statuses
9K
Carl Tanzler, mzee akiekula kulaka na hata kufanya mapenzi na maiti iliyooza kabisa. Oktoba 1940, uvumi ulianza kusambaa katika jiji la Florida nchini Marekani. Majirani walidai kuwa walimuona mzee mmoja, Carl Tanzler, akicheza na maiti iliyooza katika mwanga wa dirisha la sebule yake. Wakienda mbali na kusema kwamba maiti hiyo ilikuwa ya Elena De Hoyos. Akiwa amechoshwa na uvumi huo wa kutisha, dada yake Elena, Florinda, aliamua kumfata Tanzler yeye mwenyewe kupata ukweli wa uvumi, hatua iliyosababisha kugunduliwa kwa moja ya visa vya kushtusha sana duniani. Twende sawa ๐งต๐งตโฌ๏ธ
25
19
95
RT @MrCEO001: Tuendelee ku- enjoy life ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ Jifunze zaidi hapo chini kuna kila kitu ni wewe kuchukua hatua! ๐๐๐๐
0
22
0