![Niajiri Platform Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1694690233944518657/6Nr7wRFQ_x96.jpg)
Niajiri Platform
@niajiriplatform
Followers
3K
Following
1K
Statuses
1K
Unlocking income opportunities for talent through skilling. Join our employability platform now and increase your chances at the marketplace.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2017
Niajiri Joins the #Think_Like_an_Investor_program ▶️ Our Managing Director, @lilliansecelela proudly represented Niajiri at the first catch-up meeting of the Think Like an Investor program in Nairobi, Kenya! 🚀 ▶️ This initiative, under the African Union (AU) @_AfricanUnion in collaboration with key global partners, is a strategic effort to enhance data governance, economic growth, and digital cooperation across Africa. Supported by the EU and its Member States, the program aligns with the AU Digital Transformation Strategy and the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) to build a sustainable and human-centric digital economy. ▶️ The discussions in Nairobi marked the beginning of a series of physical and online engagements—workshops and meetings aimed at driving impactful data-driven policies, cross-border digital solutions, and investments in secure digital infrastructure. ▶️ We are excited to be part of this transformative journey! 🌟 Stay tuned for more updates! Cc @_AfricanUnion @EUinTZ @mfaftja
@BelgiumMFA @francediplo_EN @francediplo
#D4DataGOV #DataGovernanceAfrica #TeamEurope #GlobaGateway #D4Hub #Niajiritz
0
3
13
Jamaa anahisi soko la ajira Tanzania 🇹🇿🇹🇿 haliko fair kabisa Vipi unakubaliana na jamaa au anachukulia poa field za watu 🤷♂️ #Niajiritz #Niajirimovement
0
0
1
February hii hakikisha haupitwi ndani ya Niajiri platform kwani mambo mazuri kibao yapo kwa ajili yako kuanzia michongo ya kazi kila siku mpaka kozi mbalimbali za kujifunza Hebu mtag rafiki yako ambaye unatamani February hii asipitwe na full shangwee kutoka Niajiri #Niajiritz #Niajirimovement #February #Michongo
0
2
0
@MsomiKhan18 Safi kabisa😅 iyo ndo thamani yako kutokana na tafiti yako, naona walishindwa kuafford ndo mana hawajakurudia
0
0
3
We’re looking for two dynamic professionals to be based in Dar es Salaam, with opportunities to travel. 🌍 💼 What we need: ✅ A Bachelor’s degree in a relevant field ✅ 4–5 years of experience in sales, preferably in the construction, paint, or coating industries ✅ Strong communication and negotiation skills If you meet the requirements apply now at Apply now or tag someone who might be the perfect fit! #SalesJobs #HiringNow #Niajiritz #recruitment #Jobs
0
0
2
Suala la CV kwetu sio tatizo kabisa kwani ukiwa ndani ya Niajiri platform unaweza kutengeneza CV yako kwenye format inayokubalika popote pale ndani ya dakika chache tu Unachotakiwa kufanya ni ✅ Tuwekee au Upload CV yako unayoitumia kwa sasa kisha ✅ Hakiki taarifa zako kila kipengele kwani Ai ndani ya Niajiri itakusadia kuweka taarifa zako kwenye kila kipengele ✅ Baada ya kuhakiki kila kipengele unaweza kuchagua muonekano unatoka CV yako iwe kwani tuna CV zenye mionekano tofauti tofauti Kisha pakua/download CV yako Usihangaike tena mtu akatengenezee CV Bali tumia mfumo wa Niajiri ukusaidie bure na kukupa kilicho Bora🏆 #Niajiritz #Cvwriting #Niajirimovement #CV
0
3
4
We are looking for a proactive individual with a minimum of 3 years of experience to manage the Epic platform, drive business growth, and handle key operations to ensure success. Apply now via the link below: #Niajiritz #Niajirimovement #Hiring #Jobs #recruitment
0
1
2
Niajiri Platform is looking for a dedicated Learning and Talent Acquisition Officer to join our Talent Department. ✅ The role involves organizing and delivering training sessions, managing recruitment processes, and supporting other key responsibilities. ✅ Learn more about the position and apply here: [ #NiajiriTZ #NiajiriMovement #TalentManagement #TalentAcquisition
0
2
3
Ndio! Kama unahitaji michongo hakikisha umejiunga Niajiri Platform kwani huku Kuna michongo mipya kila siku. Kama wewe ni mhitimu wa hivi karibuni tembelea kipengele Cha ▶️Open positions ◀️ Kuna nafasi kibao kwa ajili yako lakini pia kama unahitaji michongo zaidi tembelea kipengele cheti Cha Michongo kujionea🔥 Ingia sasa kupitia #Niajiritz #Niajirimovement #Michongo
0
2
4
Nafasi za kazi kwa wahitimu wa vyuo wa mwaka 2023-2024 👇📢📢 1️⃣ Technical Sales Representatives. Apply here: 2️⃣ Process Controller (Biochemistry or Microbiology) Apply here: 3️⃣ Laboratory Technician. Apply here: 4️⃣ Quality Assurance. Apply here: 5️⃣ Supply Chain. Apply here: 👉 Eligibility: Open to 2023-2024 graduates. #Niajiritz #Niajirimovement #Jobs #opportunity
0
0
1
Fursa kwa wahitimu wote wa vyuo waliomaliza na kuhitimu mwaka 2024📢📢 1️⃣ Mechanical Engineering. Apply here: 2️⃣ Electrical Engineering. Apply here: 3️⃣ Marketing & Sales. Apply here: 4️⃣ Business Administration. Apply here: 5️⃣ Accounting. Apply here: Eligibility: Open to 2024 graduates only. #Niajiritz #Niajirimovement #Jobs #Graduates #Internship
0
4
4
New Vacant‼️ New Vacant ‼️ New Vacant ‼️ We are looking for a visionary Business Development Manager to lead operations, foster partnerships, drive community programs, and ensure sustainability through innovative fundraising. With 5+ years’ experience, they’ll excel in leadership, creativity, and startup ecosystem engagement. Apply now at:
0
5
10
Hii January Michongo inapatikana Niajiri Platform, ingia sasa kupitia kuona Michongo yote #Niajiritz #Niajirimovement
0
2
9