![Mozzart Bet Kenya Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1545112643924631557/MPXpyigm_x96.jpg)
Mozzart Bet Kenya
@mozzartbetkenya
Followers
16K
Following
6K
Statuses
30K
Register: sms WIN to 29990 Deposit: Mpesa PayBill 290059 Call us: 0709168000 WhatsApp: 0713665355 Strictly 18+ Play responsibly.
Kenya
Joined November 2017
RT @FcHomeboyz: π₯ | Fourth and counting . What an incredible run. Keep on keeping Masaka ππ #AbanaBeingo
0
1
0
RT @FcHomeboyz: π· | ππ ππ πππππππ Ulinzi Stars 0-0 Kakamega Homeboyz #AbanaBeingo
0
6
0
RT @FcHomeboyz: π₯ | Francis Omondi literally turned up yesterday against his former side. That was a high performance steel Dimoreπ #Abanβ¦
0
2
0
Mikel Arteta anataka kuwapiga shoka baada ya wachezaji kwenye kikosi cha Arsenal ili kusuka kikosi bora kwenye dirisha lijalo la usajili. Wachezaji hawa ni; β
Raheem Sterling β
Oleksandr Zinchenko β
Kieran Tierney β
Thomas Partey β
Jorginho β
Jakub Kiwior β
Neto Hawa waende ama kocha ndio aende?
0
0
0
Hii ni mara ya 3 mfululizo Liverpool wanabanduliwa nje ya michuano ya FA Cup. Walibanduliwa na Plymouth ambayo inavuta mkia Championship. #FACup
0
0
0
Kakamega Homeboyz wamepiga sara ya kutofungana ugenini dhidi ya Ulinzi Stars. Wako nafasi ya 8 na alama 27. #FKFPremierLeague
0
0
0
Kocha Sammy Pamzo Omollo ameipiga klabu yake ya zamani Shabana FC magoli 2 kwa 1. πΈ Kwa hisani #FKFPremierLeague
0
0
0
@AKUMUOTIEN36566 Hello ,kindly note that players who correctly predict 10,11,12, 13,14 and 15 pairs will be entitled to a cash prize which is also divided/shared equally between the number of winners. Your bet should be settled soon.
0
0
1
Liverpool aliizima ndoto ya Tottenham ya kufuzu fainali baada ya kuwapa kichapo cha 4-0 kwenye nusu fainali ya pili ya Carabao. Sasa ni rasmi Liverpool watamenyana na Newcastle kwenye fainali π₯. (AGG Tottenham 1-4 Liverpool) #CarabaoCup
1
0
3
Shughuli baba yao π₯. Maji ni uhai na kila jamii inahitaji maji safi ya kunywa. Tupatane Namgoi Secondary School, Kapsabet kaunti ya Nandi Kutapendeza sana. #SociallyResponsible
0
0
1