![MARIA ZION Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1834208964537356288/WIPumNCC_x96.jpg)
MARIA ZION
@mariaziontz
Followers
3K
Following
14K
Statuses
14K
Forex is my Life//Miss of the Kingdom. A virgin Queen 👑//Big Brain 🧠// Father's Legacy//@LFC//@YoungAfricansSc// Funny
WORLD WIDE
Joined April 2024
Utabiri wa October usio na mihemko ya kisiasa. Mwaka huu bila kujali uimara wa vyama vya siasa. Wapinzani wake atawashinda kwa ujuzi zingatia ujuzi. Rais atatoka CCM. Namaanisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia Ataongoza tena kwa kura na ujuzi.
Mwezi wa pili nitaleta utabiri juu ya Kiti cha Urais wa Tanzania. Kuwa ni nani atashika hatamu ya kuiongoza nchi. Je ataendelea Mama Samia ? Au Upinzani utachukua nchi? February tutajua sote ili tuende October tukijua kabisa nani ataibuka mshindi.
8
8
10
@frediejustine @EKaungo Binafsi naungana naye kwa asilimia mia moja. Mfano: Ughaibuni kuruhusiwa kufanya shughuli ambazo wazungu wanazifanya huko kwetu Afrika ni ngumu sana na huwezi kufanikiwa kukubaliwa ila kwetu wanajichukulia tu
0
0
0
@ChopaWang @SifaMakasi5886 Watoto katika umri mdogo kabisa wanaondoka kwenda kuanza maisha mengine nje ya dunia hii ya macho mawili
1
0
0