maishaniwatu_ Profile Banner
MAISHA NI WATU Profile
MAISHA NI WATU

@maishaniwatu_

Followers
39
Following
150
Statuses
146

Karibu, Tuelimike Pamoja ☘️🧠

Joined January 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
26 days
Adui mkubwa wa Mwanamke ni umri.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
28 days
Wanaume tunatafuta pesa ili familia zetu ziishi maisha bora, wanawake wanatafuta pesa ili wasitawaliwe na wanaume.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
29 days
Watu wengi sio kwamba wanakupenda ila wanapenda msaada wanaopata kutoka kwako.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
1 month
@masoudkipanya Watu wa Dar ukiwa Mkoani wanakwambia ukija Dar tuonane, ukifika Dar hawapokei simu
2
1
22
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Ishi na watu vizuri, Siku hizi Ajira sio kuwa na ufaulu mzuri bali ni watu waliokuzunguka.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Shukrani za dhati zinamstahiki Mwenyezi Mungu kwa kutupa nafasi ya kuiona siku ya leo, Baraka zake zikaangazie kazi zetu tupate PESA.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Kuna siku huwa tunaamka na furaha, pia kuna siku huwa tunaamka na huzuni lakini ipo siku hatutoamka tena. Duniani tunapita tumche Mungu na Tupendane.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Mungu akitaka kukuweka sehemu anatumia Mtu na shetani akitaka kukutoa sehemu anatumia Mtu, Kuwa makini na aina ya baadhi ya Watu.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Kuwa mwaminifu! Unahitaji nini zaidi kutoka kwa Mungu wakati huu? A. Pesa. B. Maisha Marefu. C. Msamaha. D. Hekima.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Ukiona mtu amekupa Fursa ya kazi au pesa mheshimu sana, jiulize amewaacha wangapi.?
0
0
2
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Wanaume, Ukiwa na hela fanya matumizi yako kwa uangalifu sana, ni ngumu mno kupata msaada ukiwa hauna hela, kuwa makini.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Mlango ni mdogo ukilinganisha na nyumba. Kufuli ni dogo ukilinganisha na mlango. Ufunguo ni mdogo kuliko vyote lakini ufunguo unaweza kufungua nyumba nzima. Hivyo basi suluhisho dogo lenye kufikirika linaweza kutatua matatizo makubwa.
0
0
2
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Riziki na kifo ujio wake ni kama ajali, Yawezekana umebakiza siku chache kufa pia yawezekana umebakiza siku chache kufanikiwa.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
@elonmuskADO Here it is, please @elonmuskADO hire me 😒🙏🏽
Tweet media one
0
0
2
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Moyo safi hautakufanya upendwe ila utakufanya utumike, utoaji wako pia hautafanya upendwe kinachopendwa ni kile unachokitoa. Tafakari chukua hatua.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
@elonmuskADO Am I the only one whose my answer is 35 ✅ @elonmuskADO
Tweet media one
771
4
170
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
Dear Men, Mahusiano ni hasara kwa Mwanaume na ni faida kwa Mwanamke.
0
0
1
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
2 months
0
0
0
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
3 months
Haijalishi unacho au hauna, kuamka salama ni jambo la kumshukuru Mungu. Maana kuna Matajiri na Masikini wapo hospitalini muda huu wanapambania uhai.
0
0
2
@maishaniwatu_
MAISHA NI WATU
3 months
Kwenye Maisha hakikisha watu wanaokuzunguka hawakuzunguki.
0
0
1