konyagiofficial Profile Banner
Konyagi Tanzania Profile
Konyagi Tanzania

@konyagiofficial

Followers
493
Following
313
Statuses
577

Kurasa rasmi ya Konyagi ni ya kuwashirikisha wenye umri 18+ tu. Kunywa kistaarabu.

Tanzania
Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
4 days
Wikiendi ni za ku #WashaCheche na marafiki tuu. Tupe location na tag marafiki tuungane! #Konyagi #WashaCheche #Jibapa
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
10 days
Tuambie kwenye captions ratiba zako za mwezi Februari zimekaaje #Februari #Valentines #Jibapa #WashaCheche
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
18 days
Anza wikiendi yako na vibe la Konyagi! Tag mshkaji unaetaka akupe ofa ya jibapa leo na sisi tukusaidie kufikisha ujumbe! #WashaCheche🔥 #Jibapa #TheSpiritOfTheNation
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
24 days
Unamuambia nini yule mshkaji wako ambae ameshakupa ofa ya Konyagi January hii na mkashare pamoja na kuenjoy! #WashaCheche🔥 #TheSpiritOfTheNation
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
27 days
Tufahamiane kwenye comment, wale ambao January sio tatizo tunaendelea ku #WashaCheche 🔥🔥🔥tu! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #Jibapa
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
29 days
Tunaendelea kuweka mipango ya 2025 sawa tukiwa na Jibapa! Embu tupe plans zako za 2025 kwenye comment. #WashaCheche🔥 #TheSpiritOfTheNation
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
1 month
Mchanganyiko wa Konyagi ukiongeza na ndimu ladha yake inakupa uhalisia wa kinywaji halisi cha ki Tanzania. Watag marafiki zako watatu ambao unaenda ku #WashaCheche🔥na kufurahia kuumaliza mwaka pamoja. #TheSpiritOfTheNation
0
0
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
1 month
Comment na utuambie kabla ya ku #WashaCheche🔥 ungependa kuanza na chakula gani!? #TheSpiritOfTheNation #Jibapa
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Mwanza tunazima zote halafu tuna #WashaCheche🔥na @officialnandy na @ChinoKiddTz kwenye end of year party, tarehe 31st December pale @MalaikaBeach Hii si ya kukosa.Kama upo maeneo hayo mtag na mkumbushe rafiki yako muje tuenjoy na ku #WashaCheche🔥 #EndOfYearParty
0
2
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Dar es Salaam! Tunaenda kufunga mwaka kwa ku #WashaCheche🔥jumamosi hii pale @micasalounge na Moshi kiwanja ni kimoja tu @mombasahighwaylounge Mtag na mfahamishe rafiki yako kuanzia saa 12:00 na kuendeleaaaa! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #DarEsSalaam #Moshi
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Heri ya sikukuu ya chrismas🎄, siku ya leo unasheherekea kwa ku #WashaCheche🔥 ukiwa wapi? #TheSpiritOfTheNation #xmass
0
0
2
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Watag marafiki zako na utuambie mnasherehekea sikukuu kwa ku #WashaCheche🔥 mkiwa wapi? #TheSpiritOfTheNation #Jibapa
0
0
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Wadau wa jibapa unaweza kuenjoy holiday yako kwa ku #WashaCheche🔥 ukiwa hata nje ya nchi. Tuambie ni gani umeshawahi kuenjoy kinywaji chenye ladha pekee ya citrus? #TheSpiritOfTheNation #Jibapa
0
0
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Wale wa kuhesabiwa mtakua mshafika Moshi, sasa mchongo ni kwamba Jumamosi hii tunakutana wote pale DIDBAR, kuanzia saa 12:00 jioni ku #WashaCheche🔥 Usikoseeee!! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #Moshi
0
0
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Dar es salaam tunaendelea ku #WashaCheche🔥, ijumaa hii tunakutana ndani ya @unclestz kuanzia saa 12:00 jioni. Lengo ni moja tu ku #WashaCheche 🔥 Kama upo karibu mstue rafiki yako na msikose kuja kuenjoy pamoja! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #DarEsSalaam
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Raha ya ku #WashaCheche🔥 ni pale unapoungana na marafiki Mtag rafiki yako ambae unaenda kuenjoy nae cocktails🍹 za Konyagi msimu huu wa sikukuu #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #Cocktails #Holiday
0
0
1
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Moshi, msimu wa sikukuu kwetu unaanza mapema kabisa! Jumapili hii tunakutana @mkulimabar kwa ajili ya ku #WashaCheche🔥 Mtag na mfahamishe rafiki yako kuwa tunakutana kuanzia saa 12:00 na kuendeleaaaa! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #Moshi
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Dar es Salaam! Leo jumamosi tunakutana @cc_clubmsasani kwa ajili ya ku #WashaCheche🔥 Mtag na mfahamishe rafiki yako kuwa tunakutana kuanzia saa 12:00 na kuendeleaaaa! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #DarEsSalaam
0
0
0
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Msimu huu wa sikukuu, ni muda wa ku #WashaCheche🔥 kushare na marafiki naaaaa.......? Ongeza ya tatu kwenye comment #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation
0
0
2
@konyagiofficial
Konyagi Tanzania
2 months
Long wikiendi ya ku #WashaCheche🔥na cocktails🍹za Konyagi ndo hii sasa. Tuambie kwenye comment kati ya ijumaa, jumamosi, jumapili na jumatatu ipi ni siku yako nzuri ya kuenjoy kinywaji chenye mchanganyiko wenye ladha pekee ya citrus ? #WashaCheche #Cocktails
1
0
1