![Kampala International University In Tanzania Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1701849603706961921/QrOtVMvG_x96.jpg)
Kampala International University In Tanzania
@kiutanzania
Followers
137
Following
29
Statuses
102
Apply Now for September/October 2024/25 Intakes Certificate | Diploma | Degree | Postgraduate Diploma & Master Degrees Contact us for more information.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2023
Jana ilikuwa siku yenye mafanikio makubwa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIUT) nchini Tanzania wanaosomea kozi ya Utawala wa Umma. Kupitia Mheshimiwa Waziri wa Sanaa, Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ilala, Ndugu Jerry W. Silaa, wanafunzi hao walipata fursa ya kutembelea Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kushuhudia hoja mbalimbali zikijadiliwa. Ziara hii ni sehemu muhimu ya kujifunza kwa vitendo, ikiwawezesha wanafunzi kupata uelewa wa kina kuhusu mifumo ya utawala na utungaji wa sera. Huu ni uzoefu wa thamani ambao utawasaidia wanapohitimu na kuanza kuhudumia jamii kwa weledi na ufanisi. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kielimu na maendeleo ya taaluma yao!
0
0
0
Happy New Month! 💡 To all students out there remember, success isn’t about being the smartest; it’s about being the most consistent. Keep pushing, keep learning, and keep believing in yourself! 📖 Stay focused. Stay disciplined. Stay unstoppable. 🌟 Dream big, work hard, and make this month count! February is yours—go make it amazing! 🚀🔥 #StayInspired #NewMonthNewGoals"
0
0
0
To our students, we sincerely apologize for the date error in the initial poster. Please be informed that classes and the pending CAT exams will resume and commence, respectively, this Wednesday, 29th January 2025. The CAT exams originally scheduled for today and tomorrow have been postponed to next week on Monday. Kindly use these two days to continue your preparations, and feel free to drop a comment if you have any questions. Wishing you all a productive and wonderful week ahead!
0
0
0
The morning procession of Kampala International University in Tanzania's 2024 Graduation Ceremony, celebrating and bidding farewell to the Class of 2024, while also recognizing exceptional students for their achievements throughout their academic journey. #graduation2024 #studentslife #classof2024 #university #kiut #campuslife
0
0
3
Congratulations to Dr. Willbrord M. Kalala, the Associate Dean of the Pharmacy Department at Kampala International University in Tanzania, on his promotion to the rank of Associate Professor. #graduation2024 #university #campuslife #promotion #higherlearning #classof2024
0
1
5
Professor Peter Msolla, the Acting Chancellor of Kampala International University in Tanzania, welcomes and receives the Guest of Honour, Honourable Jerry Silaa, the Minister of ICT and Member of Parliament for Ukonga, at the university's 7th Graduation Ceremony in 2024. Also present are the University's Vice Chancellor, Professor Angwara Kiwara; the Council Chairperson, Professor Yunus Mgaya; and the Deputy Vice Chancellor for Finance and Administration, Professor Martin O’Reilly. Jerry Silaa #graduation2024 #university #campuslife #classof2024 #mgenirasmi #higherlearning #guestofhonour #studentslife #universitylife
1
0
3
Discover what the 16-day campus activism campaign had in store, aimed at educating students on various aspects of gender-based violence. The campaign will conclude with a grand event on Tuesday, 10th December, at the university’s main hall. The opening event on Thursday 28th of November set the stage for pertaining activities throughout the 16 days of campus awareness. All are welcome to attend. Do not miss! #university #studentslife #genderbasedviolence #campuslife #higherlearning #awareness
0
0
1
Mbunge (BMLS) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Nje wa Serikali ya Wanafunzi wa KIUT ametembelea eneo la ajali ya poromoko lililotokea Kariakoo, kwa lengo la kuwapa moyo waokoaji wanaojitahidi kuwaokoa ndugu zetu waliokwama chini ya kifusi hicho. Tuendelee kuwaombea waathirika wote warejee salama na kuendelea na shughuli zao za kila siku.
0
0
0
Ofisi ya makamu mkuu wa Chuo Cha Kimataifa Cha Kampala Nchini Tanzania KIUT Inawatangazia wahitimu na wadau wote kuwa, Sherehe za Mahafali ya Saba ya chuo zitafanyika chuoni Gongo La Mboto siku ya Alhamisi Tarehe 12 Disemba, 2024 Kuanzia Saa 1:30 Asubuhi. Wahitimu wote mnakumbushwa kuja chuoni kuanzia Tarehe 10 - 11 Disemba 2024, kwa ajili ya “Rehearsals” Wahitimu wote mnakumbushwa kuwa, Kadi za Mwaliko na Majoho Ya Mahafali vitaanza kutolewa kuanzia Jumatatu Tarehe 25 Novemba 2024 hadi Jumatano Tarehe 11 Disemba 2024 - Ofisi za Students Affairs kuanzia Saa 08:00 Asubuhi Hadi Saa 11:00 Jioni. Mnahimizwa kufanya malipo mapema ili kuepusha usumbufu Kwa maelezo zaidi kuona majina ya wanaotegemewa kuhitimu mwaka huu tembelea tovuti yetu ya au kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram , X, YouTube na LinkedIn kiutanzania Wote Mnakaribishwa
0
0
1
Ofisi ya makamu mkuu wa Chuo Cha Kimataifa Cha Kampala Nchini Tanzania KIUT Inawatangazia wahitimu na wadau wote kuwa, Sherehe za Mahafali ya Saba ya chuo zitafanyika chuoni Gongo La Mboto siku ya Alhamisi Tarehe 12 Disemba, 2024 Kuanzia Saa 1:30 Asubuhi. Wahitimu wote mnakumbushwa kuja chuoni kuanzia Tarehe 10 - 11 Disemba 2024, kwa ajili ya “Rehearsals” Wahitimu wote mnakumbushwa kuwa, Kadi za Mwaliko na Majoho Ya Mahafali vitaanza kutolewa kuanzia Jumatatu Tarehe 25 Novemba 2024 hadi Jumatano Tarehe 11 Disemba 2024 - Ofisi za Students Affairs kuanzia Saa 08:00 Asubuhi Hadi Saa 11:00 Jioni. Mnahimizwa kufanya malipo mapema ili kuepusha usumbufu Kwa maelezo zaidi kuona majina ya wanaotegemewa kuhitimu mwaka huu tembelea tovuti yetu ya au kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram , X, YouTube na LinkedIn kiutanzania Wote Mnakaribishwa
0
0
1
The Office of the Deputy Vice Chancellor of Kampala International University in Tanzania (KIUT) wishes to inform all graduates and stakeholders that the 7th Graduation Ceremony will take place at the university campus in Gongo La Mboto on Thursday, 12th December 2024, starting at 7:30 AM. All graduates are reminded to attend rehearsals at the university from 10th to 11th December 2024. Graduates are further reminded that invitation cards and graduation gowns will be issued starting Monday, 25th November 2024, until Wednesday, 11th December 2024, at the Students Affairs Office between 8:00 AM and 5:00 PM. You are encouraged to make payments early to avoid inconveniences. For more information, including the list of expected graduates, please visit our website at or follow us on our social media platforms @kiutanzania. All are warmly welcome!
0
0
3
Best wishes to humanities students in your CAT 1 exams that start this Monday - 25th November 2024. #campuslife #assessmenttests #university #students #evaluation #higherlearning
0
0
1