juacaliGenge Profile Banner
JuaCali Profile
JuaCali

@juacaliGenge

Followers
159K
Following
24K
Media
3K
Statuses
50K

For Bookings and Events +254736888800 https://t.co/WyfimWc90g

Nairobi,Kenya
Joined July 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@juacaliGenge
JuaCali
5 days
This past Saturday my former school Jamhuri High School was celebrating 120years of existence and I was privileged to grace the occasion and perform as an Alumnus of the school and it was πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ #kwaheri #babayao #genge
0
1
13
@juacaliGenge
JuaCali
3 months
Eh jamaa!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
222
3K
11K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
The Year is 2008, The Game had just landed in Kenya and there was a press conference at the Norfolk hotel organized by MTV. After the press conference we took photos and as we were leaving one of the guys in The Game’s entourage approached me as I was heading to the parking lot
Tweet media one
397
2K
10K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Around 2004 kuna campaign flani ya Trust ilikua inapangwa so wasanii kadha waka shortlistiwa mimi included, but before you get the gig ilikua lazima uende for an interview. So interview ilikua pale The Chancery Valley road, mimi huyo nikapanda mathree teke teke mpaka tao then.
347
2K
8K
@juacaliGenge
JuaCali
5 months
Happy Birthday πŸŽπŸŽ‰πŸŽŠπŸŽ‚ to me. Thank you Lord for blessing me with another year….
Tweet media one
455
376
6K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Year:2003 Location:Eldoret #TBT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
253
520
6K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Buda unacheza na mafala πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.
@OgadaOlunga
MICHAEL OLUNGA
2 years
⚽️⚽️⚽️
325
3K
6K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
The Year is 2008, Event inaitwa GPange, Venue ni Uhuru Gardens. On that actual day nilikua na corporate gig ingine hapo Carnivore Simba Salon. So the plan was nimalize hii gig halafu ni rush hivyo Uhuru gardens the good thing ilikua tu hapo. Program ilikua inasema na perform just.
285
761
4K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kuna boy wetu flani wa Calif anaitwa Ndoch he used to work for a company which used to shoot documentaries. Hio company ilikua inaitwa Vivid features. So around 2002 Ndoch alitupitia hapo kwa studio akatuambia team ya Vivid wanataka kutumeet sana. Meeting ikapangwa tukaenda.
140
603
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
The Ist time ever we went for a Radio interview ilikua around 2001 morning show ya NationFm Bernard Otieno ndio alikua host we as Calif Records had just released our 1st Single RUKA tulikua mimi, @Noninimgenge2ru na Clemo so Ruka ikachezwa halafu listeners wakaambiwa wapige simu,
Tweet media one
164
451
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
The first time we went to Nigeria it was with KQ, it was like a 5-6 hour flight, Lagos si karibu. Tulikua squad kubwa mimi, Clemo, Nameless, Wahu, ma reps wa MTV na wasee wa media nakumbuka Smitta pia alikua hapo. Flight ilikua sawa, tukaland Lagos fresh, hapo airport tukapitia.
196
485
3K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Nimemeet Faith Kipyegon!! What!!! Niko karibu na GREATNESS!!! We were on the same flight to Eldoret Noma!!! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
76
355
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Nimekua a huge Fan of StandUp comedy as an art form ever since nione the great Richard Pryor kwa ma Video tapes hii ni kitambo. Then Eddie Murphy came along killed it on the standUp stage. Kuna similarities mob but now the difference between Musicians na StandUp comedians ni sisi
Tweet media one
326
439
3K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I started this genre what do you expect? .You have never bought tickets to any of my events so you have been dead to me my whole career πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nimerecord a whole album with this kids. .
@Marvin_Masika
West.
5 years
Manze @juacaliGenge I respected you until you started doingine gengetone with kids. Your game is dead.Your legacy dead too.#gengetone.
193
820
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Niaje watu wangu? .Iam sending Positive vibes from my Fam to yours this Sunday. Najua we are in hard economic times but what is that one thing you are grateful for?
Tweet media one
156
136
3K
@juacaliGenge
JuaCali
11 months
Nataka kuchukua hii moment kuambia God shukran kwa kila kitu…. na feel Blessed kabisa.
Tweet media one
72
131
3K
@juacaliGenge
JuaCali
6 years
Vijana tuache Mihadarati!!!! Noma!!!!!
102
649
3K
@juacaliGenge
JuaCali
4 years
Covid has pushed me to the edge, Iam done with this music thing!!! Wacha nitafute hustle ingine damn!!!!
Tweet media one
308
401
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kuna time nilikua nimeenda @CapitalFMKenya for an interview around 2006 @evedsouza ndio alikua presenter, kwanza kabla niendele I have to give Eve her flowers, she really pushed Genge roho safi. So before the interview started akaniambia β€œI have a new song here ebu listen to it
Tweet media one
116
293
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kuna joint moja kitambo hapo Calif mtaani ya kula chipo ilikua inaitwa Msoro, kila jioni after studio sessions tulikua tunaenda hapo me na Clemo kukula chipo. Kuna hii siku moja sitawai sahau around 7 usiku tunadish tu pole pole tukipiga ma story, Msoro walikua wameweka KissFm.
116
481
3K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
Oya!!! Watu wangu natafuta huyu FemaleMc vibaya sana!!. Kama unamjua mwambie anitafute. 'Kila mtu apate slice hii mkate si Boflo' πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
117
1K
3K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Njugush ni boy wangu but πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna comedian hapo not funny at all!!!!.
@EManyikah
Eric Manyikah
2 years
Hii kitu inaitwa stand up comedy si mchezo, I remember my pal @juacaliGenge on one of those arguments alisema hawa majamaa zao ni drama si comedy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
491
909
3K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
On a day like this 44years ago at exactly 8:20pm a Star was born. Iam grateful to God for the gift of life. Happy birthday to me.
Tweet media one
169
164
3K
@juacaliGenge
JuaCali
7 months
Niko shocked!!!!! I thought huyu jamaa yukona kichwa fiti damn!!! Huyu ni Fala Maalim not Farah Maalim anymore SMH
117
1K
2K
@juacaliGenge
JuaCali
7 months
TAG politicians wote unajua!!! Lazima wafeel hii PAIN!!!
147
2K
2K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
People always ask 'Beef ya Calif na Ogopa ilikua aje?' I always tell them the only beef we had with Ogopa was releasing Monster Hits 'Wanatoa sisi tunatoa' (Highly competitive).
59
450
2K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
As a Veteran in the game my job has been spreading love to the young creatives and giving them valuable info about the industry. I have always been sending and spreading Positive vibes through out my career, with that being said nataka kuambia @BlessedNjugush pole sana wewe ni.
330
347
2K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Jua imetoka poa leo toka nje enjoy!!!
Tweet media one
108
98
2K
@juacaliGenge
JuaCali
3 years
New Video Alert!!! JuaCali - TOKEMA.
9
81
2K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ilikua funny still funny today.
@Heis_enberg_
QWERTY Tarantino
2 years
@juacaliGenge Hatujasahau mziki yako Jua Cali!
44
388
2K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Why should I take advice from a boy called Nyadida?.
@Nyadish
Nyadida
2 years
@juacaliGenge Jua Cali it is high time sasa uwachane na umama mingi. Wacha kushuka nywele. You're a disgrace to the boychild.
145
397
2K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Weather safi toka nje mtu wangu enjoy some Jua Cali he he he…
Tweet media one
90
102
2K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kuna rap group flani wanaitwa Kenyanna walinipangia show flani huko Busia kitambo early 2000s, so sisi hao kwa Eldoret express mpaka Busia hizo siku hii barabara ya Nakuru ilikua mbaya by the time unafika mahali unaenda umechoka mbaya!! Tulifika Busia majioni good thing rooms.
69
251
2K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
@bennyjohnson King Leopold of Belgium killed over 15M people in the Congo… now that’s Shocking!!.
115
61
1K
@juacaliGenge
JuaCali
9 months
SHOWTIME!!!!
Tweet media one
58
91
1K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
Yo!!! Kuna Video ya Animation nataka kufanya kama unajua jamaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kwa animation mshtue anitafute kuna KAZI!!! DM itaweza. .
113
309
1K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
Tonite we are going LIVE in a big way!!!!! 9.45pm!!! Nikubaya!!!
Tweet media one
63
298
1K
@juacaliGenge
JuaCali
6 years
At exactly 8.20Pm, 39yrs ago on a Wednesday like this, YoursTruly was Born. #mybirthday
Tweet media one
131
225
1K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
@Morara__
Ψ΅Ω…ΩˆΨ¦ΩŠΩ„
5 years
Ukipatana na msee kama huyu Event inabidi uzunde simu kwa rasa.
Tweet media one
37
297
1K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Dubai by night….
Tweet media one
20
45
1K
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
R.I.Power Ally B. A huge loss for the music industry.
Tweet media one
56
158
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
When we proposed GENGE as the name for the Kenyan urban sound, many short sighted artists thought we Calif wanted them to switch up and sound like us but NO, when we suggested GENGE we clearly knew everyone is doing his/her thing, so the whole idea was every Kenyan artist be
Tweet media one
38
124
1K
@juacaliGenge
JuaCali
6 months
17 years later and this song still hits hard!!!! #kwaheri @blanketsandwine @Sanaipei_Tande πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
51
269
1K
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
A few months back I approached one of the OGz in the game(I will not name names) we do a #Verzus zile excuses nilipata 'oh we have to get the money right' 'oh not sure how people will react' 'oh I have to consult with my people" .DAMN!!!! Smh. .
94
277
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
When we first started off kuna mixtapes tulimake but we did not release most of the songs, that time bado tulikua tunajidiscover experimenting a lot and trying new sounds. Evolution ya msanii ni almost similar ukianza, most of the time subject matter hukua rapping about other.
51
212
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Unaeza niita fala but leo ndio nimeona Tesla for the 1st time… πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
65
125
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
This is London a few weeks back, wewe unajua ata London iko side gani?
@Shiko_tyras
Shiko Tyras
2 years
You and trashy music, sit yah ass out!!.
139
272
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Watu wangu nimeskia kilio cha haki, working on a Podcast and visuals, niwalete hizi stories live and direct. πŸ”₯.
65
193
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
So every time nikienda kuperform mahali kuna fan lazima aniulize β€˜kwa nini hamkushoot video ya VILETAFANYA? which is always a good question coz the song is HUGE and a classic to this day. So kitu ilihappen ni hii tulianza kupanga video ya VileTafanya mimi, @AMB_Prezzo ,.
67
162
1K
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kwa wale hawajui Kapuka was never a Genre, kapuka was a diss name coined by KSouth making fun of the way beats za club usound β€˜ka-pu-ka ka-pu-ka’ he he he if you dont know now you know….
42
352
1K
@juacaliGenge
JuaCali
6 months
BABA YAO!!!
Tweet media one
56
85
983
@juacaliGenge
JuaCali
8 months
Rest easy mtu wangu πŸ•ŠοΈ
Tweet media one
12
33
933
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
Game recognize Game #tbt
Tweet media one
35
160
886
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Calif X Ogopa #TuskerOktobafest πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Tweet media one
45
128
898
@juacaliGenge
JuaCali
4 years
Iam really really saddened to hear the passing of Lorna Irungu. She is one who opened the Corporate doors for me. Lorna Irungu gave me my 1st ever endorsement 'Motorolla Brand Ambassador' .Very Sad day today. Rest with the Angels #RIP 😒😒😒😒😒
Tweet media one
15
132
878
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
The Calm before the Storm. At exactly 3PM today!!!! Video moja πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ inaDrop!!! Set your reminders nikubaya!!!! Genge meets GengeTone!!!! #genge #gengetone #walemangaa #maliyaumma @swat_mtoto_wa_eunice @odi_wa_muranga @vdj_jones
Tweet media one
49
258
842
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Bernie Mac!!! One of the best to ever do it!!! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
84
208
858
@juacaliGenge
JuaCali
7 months
Have you taken your Sertraline meds za jioni? coz kidogo kichwa hauko sawa.
@MutahiNgunyi
Mutahi Ngunyi
7 months
Dear GoonZ: You do NOT know manRuto. His Father was in the Nandi Resistance against the COLONIZERS. You think you can SCARE a Nandi out of State House by SHOUTING "Ruto Must Go"? The SAMOEI in him is just being NICE. Give up. Or you can dialogue if you have a point.
29
289
874
@juacaliGenge
JuaCali
11 months
Hii ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ buda!!! @mvnu_rt πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
34
193
872
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
With the Squad putting the final touches to the 1st episode of my new Podcast The Cali Cast.
Tweet media one
33
70
848
@juacaliGenge
JuaCali
4 years
My Flow stands out,that is why I have been in the game for 20 years. #flowNaChrome .#paidpartnershipwithdiageo
Tweet media one
24
48
796
@juacaliGenge
JuaCali
11 months
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
17
92
850
@juacaliGenge
JuaCali
2 months
24 years STRONG!!! All thanks to the Most HIGH
Tweet media one
105
64
830
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Mandugu Digi.Hii beat noma mzee.Nairobi, (Bonge la Track au sio) Kampala, Bongo.Eeeeh.Naskia sauti yangu fiti manzee.Hehe eeeeh.Gengee. Verse 1.Nani amekunoki zaidi kunishinda.Ukiniita kila siku naitika.Unakumbuka pahali nilikuona mara ya kwanza.Nilikuwa five years hapa kejani na
89
262
815
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Watu wangu my team and I are currently putting a studio together ndio to shoot visuals πŸ”₯πŸ”₯ for my new Podcast THE CALI CAST, but in the meantime hii audio iko aje?
Tweet media one
66
178
775
@juacaliGenge
JuaCali
6 years
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.
@OsamaOtero
Sir-Rap-alot
6 years
system ishakubali hawa watoi kina ethics and ochungulo. nigeria music haiko mtaani siku hizi. sikumbuki lini niliskiza Davido.
5
310
691
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Ngeli bado ni ya GENGE!!!!! Mama we MADE IT!!!! #grammyawards πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Tweet media one
25
258
734
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Kufika miaka kumi si mchezo!!!! Watu wangu boy wangu anaturn 10 years leo help me wish him a Happy bday birthday au sio!!! πŸŽ‚πŸŽ‰ 🍰
Tweet media one
55
28
729
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naskia hawa sychelles kuna game walipigwa 9-0 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
@MurangiriK1
Mk1
1 year
Leo Amepata Mafala wengine🀣🀣.
47
174
726
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
FIRE!!!!!!!.
@Noninimgenge2ru
Nonini πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡²
2 years
Big Shout out to everyone who believed in us from day Uno! We are about to turn another chapter of this story #GENGE #Grammys2024 @juacaliGenge @matwanaculture πŸ”₯πŸ’―πŸ‡°πŸ‡ͺ
Tweet media one
14
62
721
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Normalize loving your native language Swahili.
@malaika_julius
Malaika Julius
2 years
@juacaliGenge Normalise typing in English.
14
193
699
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Watuuuuuuuuu!!! Hii Collabo icome thru?
Tweet media one
34
31
671
@juacaliGenge
JuaCali
9 days
God have mercy upon us, si mchezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
74
338
714
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
My NEW Podcast The Cali Cast by JuaCali .1st Episode, Genesis - Kabla Jua ikue Cali!!! .Going LIVE today on my Youtube Channel juacaligenge at exactly 10am weka reminder au sio?? #calicast #newpodcast . Spotify Link -
Tweet media one
41
173
679
@juacaliGenge
JuaCali
5 years
T.I is not in his prime now but still kama kawaida Kenyan Artists kill it on stage. F.Y.I Artist wengi wa nje ni ma con artists sh sh sh usiambie mtu nilisema hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
@mikewachira
Drops Mike 🎀
5 years
So yesterday Kali killed it and T.I just walked around the stage like an invigilator for 45 minutes. Zero energy πŸ™„. International acts should be opening for Kenyan artists.
26
276
628
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
So Dday, hio Sato β€˜ROAD TO MAMAS FINALE’ ilianza poa. Nilikua na ma interviews kadha hio siku, uzuri zote zilikua hapo kwa hoteli. Hapo kwa Lobby place ya interview tukakutana na DBanj, everytime tunameet alikua anachangamka mbaya sana!! A few weeks back tulikua na yeye show.
69
119
648
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
When we speak of Genge we always mention the artists who pushed and still push the genre and we always forget to celebrate this one person who was really an integral part of the journey na huyo mtu anaitwa Luche of Luch Productions. Luch ndio alikua anshoot video zetu zote za.
23
125
641
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
I want to send a special shout-out to the late BigKev of True Blaq, my 1st ever interview at @CapitalFMKenya was in his show, show ilikua on Sunday jioni called African fusion(I stand to be corrected) around 2001, I had just released my 1st single RUKA. Fast forward to 2006.
24
116
640
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
See you soon Mum safe ✈️
Tweet media one
11
23
618
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Started work on my 6th Official Genge Album Godwilling itatoka early 2024.
Tweet media one
36
51
604
@juacaliGenge
JuaCali
6 years
Watu wangu I have a NEW song out here is the LINK.
36
184
573
@juacaliGenge
JuaCali
9 months
4AM in this Adelaide, Australia πŸ‡¦πŸ‡Ί streets #naskiaraha πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
42
86
583
@juacaliGenge
JuaCali
9 months
Landed πŸ›¬ safely in Perth
Tweet media one
24
33
582
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Hapa ni Kisumu a few years back, .I Spotted this SuperFan kwa crowd akiimba songs zangu zote word for word, ikabidi nimwite kwa stage ni perform na yeye NIIMBIE #niimbie #genge #live #safaricomTwawezaLive #GRAMMYs
25
115
585
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Very excited to meet again with my Legends Mama Kayai na Judge-Vioja Mahakamani after a long time πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ @jkia
Tweet media one
18
37
572
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Oya!!! Wajuaji hapa ni wapi?
Tweet media one
162
59
543
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
I want to take this opportunity to bigup watu walibelieve in GENGE from day 1 @JimmiGathu @ThaQueenBeehold @evedsouza Bernardotieno @danoloo .The late Bruce Odhiambo, ShoeKiratu(Kameme) .DjPinye kabla akue mbleina, Mathree zote, DJ Amatuer, djkaydee, @theinsyder Phatmagazine, .Na.
76
123
559
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Fans wangu!!! Dont be fooled na hawa haters trying to push a certain narrative πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Landscape ya music indusrry imechange currently my 1st single β€˜WAJAKOYA’ is BIG(Trending)on TikTok na Tiktok sai ndio kusema Youtube is just part of the ecosystem
Tweet media one
35
88
549
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Tweet media one
39
32
544
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
It’s my birthday today as I turn a year older I want to give thanks to the most HIGH and Iam always grateful for the gift of life. What are you most grateful for?
Tweet media one
59
32
527
@juacaliGenge
JuaCali
9 months
JuaCali is short for Jua California.
@JimmyMaina_
jimmy Maina
9 months
@juacaliGenge BTW how did you come up with that name.
27
137
524
@juacaliGenge
JuaCali
5 months
Watu wangu wa Kitale niko njiani mbaya sana!!!! @ogaobinna
Tweet media one
27
41
523
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
Happy New Year!!! May all your endeavors be a Success this Year. πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Tweet media one
30
29
470
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Social media isikudanganye sana real love na likes ziko kwa ground stay away from social media mara moja moja and enjoy life…. UTU UZIMA the 5th Album available on all streaming platforms…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
104
442
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
And we are LIVE watu wangu THE CALI CAST EPISODE 1 - Genesis KABLA JUA IKUE CALI!!!.Youtube Link…
43
121
454
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
So Fresh So Clean.
Tweet media one
46
19
445
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Madaraka Day poa watu wangu… ningeandika Happy Madaraka day but is there anything to be Happy about?
Tweet media one
38
29
429
@juacaliGenge
JuaCali
2 years
Yesterday I met some tourists who had just landed from India and they requested for a photo, I guess it is safe to say Genge iko worldwide #gengetotheWorld #genge #GRAMMYs
Tweet media one
12
25
437
@juacaliGenge
JuaCali
1 year
WaKenya hamchelewi!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbavu inaniuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Tweet media one
12
64
431
@juacaliGenge
JuaCali
6 months
Am a Humble African……
Tweet media one
33
27
431
@juacaliGenge
JuaCali
8 months
Nairobi mambo vipi?
Tweet media one
31
25
429