jeju_julius Profile Banner
Jeany Profile
Jeany

@jeju_julius

Followers
4K
Following
56K
Statuses
30K

health & Beauty commercial_ model God stand with me and my family's 🙏 love mom & dady and my family ♥️ proudly _ Tanzania🇹🇿 #blackbeuty #wigorginal

Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@jeju_julius
Jeany
5 months
Leo ni siku ambayo naikumbuka daima tarehe 16/9/2022 niliondokewa na mpendwa wangu anaitwa HILARY alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa WA Figo alinipenda Sana alinipa Kila ninachokihitaji kutoka kwake na nilikuwa na simamia miradi yake akuwahi kunieleza kuwa anasumbuliwa na Figo siku Moja napiga Simu inapokelewa na mdogo wake ananieleza kaka anaumwa yupo KAIRUKI HOSPITAL nilivyofika pale Mimi machozi yananitoka Hilary akaniambia usilie jeany sikutaka kukueleza kweli sababu usingenikubali nikamwambia usjari mungu yu pamoja nawe niliondoka kesho ndugu zake wakasema anatakiwa kwenda AFRICA KISINI Kwa ajili ya matibabu nilimuomba Hilary twende wote akanieleza wewe Baki unasimamia miradi ndugu zangu wapo nikwambia sawa walivyoondoka walifika tukawa tunawasiliana kupitia Simu ya mdogo wake siku Moja napigiwa Simu na mdogo wake asubuhi jeany kaka anataka kuongea na wewe nilivyopokea alikuwa ananiambia nimekumis J wangu uku machozi yakimtoka nikamwambia why!! Unalia akasema hapana nakumis Sana akanieleza kunishauri vitu vingi Sana tukaagana ilivyofika saa 10 jioni nilipiga Simu ili nijue Hali anaendeleaje Kwa Simu ya mdogo wake aikupokelewa Simu yake nayo apokei masaa 3 Simu haikupokelewa baada muda kidogo napigiwa Simu na mdogo wake anasema kaka atunaye Tena nilililia Sana zaidi ya Sana vipi taratibu akasema kesho uje airport tunasafirisha kupeleka bukoba nilivyofika airport nikaona mwili wake unashushwa hapo hapo nilipoteza fahamu nilikuja pata fahamu badae Sana tulielekea BUKOBA kwao Kwa ajili ya mazishi tulizika Salama nikarudi Kila kitu kwangu kiriharibika nikaanza Moja Daima sitoacha kukuombea 🙏
193
125
757
@jeju_julius
Jeany
11 minutes
@johanesoutfit75 Live ushaniona me mfupi
0
0
0
@jeju_julius
Jeany
11 minutes
@azory_j46751 Sivutii kabisa
1
0
1
@jeju_julius
Jeany
12 minutes
@maokoto0 Sina tako sasa😩😩😩
0
0
0
@jeju_julius
Jeany
45 minutes
@maokoto0 Ni kweli
0
0
0
@jeju_julius
Jeany
48 minutes
@mduduJnr Hakuna kitu hicho kila mtu maumbile yake
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
49 minutes
@johanesoutfit75 Urefu wa size
1
0
1
@jeju_julius
Jeany
50 minutes
@Eblack1147 @Labella_Mafia95 🤣dawa sana mganga wake fundi
1
0
1
@jeju_julius
Jeany
51 minutes
@mduduJnr Yani Acha tu 😭
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
52 minutes
@mduduJnr Sio humu tu kila app
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
52 minutes
@Mrsdaviee Siamini🥰🤭
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
58 minutes
@Sativa255 Hakuna asieroga mwanamke 🤣
0
0
1
@jeju_julius
Jeany
1 hour
@ChopaWang @SifaMakasi5886 Pole sana sote njia moja💔😭
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
1 hour
RT @ChopaWang: Sote Njia Yetu Ni Moja , Pumzika Kwa Amani Mwanangu Sana @SifaMakasi5886 🫂💔😭
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
0
@jeju_julius
Jeany
1 hour
RT @thickfaah06: Mchezo wa 3,000 watu 10 kupokea wig la thamani ya 150,000 mtu anatoka kila baada ya siku5.
0
4
0
@jeju_julius
Jeany
1 hour
@Mkushiiii Kama sina je natoa wapi! 🤣
1
0
1
@jeju_julius
Jeany
1 hour
Pesa hizi mweeeh!!
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 hour
Aziz ki yuko serious kijana wetu 😂🙏
Tweet media one
1
0
1
@jeju_julius
Jeany
1 hour
@Ugeniaconso Kumekucha
1
0
0
@jeju_julius
Jeany
1 hour
1
0
0