japharykubecha Profile Banner
Japhari Kubecha Profile
Japhari Kubecha

@japharykubecha

Followers
2K
Following
21K
Statuses
445

-District commissioner (DC) Tanga -Ex Dc Lushoto - Former Das Busega - Former Mnec (CCM ) - Former chairman uvccm youth league Mwanga

Kilimanjaro, Tanzania
Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@japharykubecha
Japhari Kubecha
3 months
Leo Tarehe 1 Novemba 2024 ,Nimefunga Mafunzo ya Jeshi la Akiba Wilaya ya Tanga , Ambapo kulikuwa na Wahitimu 76 , - Katika Hafla Hiyo ya Kufunga Nimeelekeza Halmashauri ya Jiji la Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii kuandaa mkakati wa kuwapatia Mkopo kupitia Vikundi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
15
@japharykubecha
Japhari Kubecha
26 days
@festosangatz Happy Birthday Mhe Mbunge @festosangatz
0
0
1
@japharykubecha
Japhari Kubecha
27 days
RT @SuluhuSamia: Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi. Esther Alexander Mahawe, kilicho…
0
247
0
@japharykubecha
Japhari Kubecha
4 months
Leo Tarehe 9 Oktoba, 2024 Mpaka Tarehe 21 Oktoba ,2024 Nitafanya Ziara Rasmi ya Kutembelea Tarafa 4 Pamoja na Kata 27 Katika Kufanya Hamasa ya Wananchi Kushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Tweet media one
0
1
21
@japharykubecha
Japhari Kubecha
5 months
Leo Nimekutana na Bondia Mzawa Wa Tanga na Bondia Mkubwa Afrika Ndugu yangu Hassan Mwakinyo , - Tumebadilishana Mawazo na Fikra Katika Kufufua na Kuibua Vipaji Vipya vya Tanga Kwenye Mchezo wa Masumbwi Lakini Kwenye Kukuza Maendeleo yetu ndani ya Wilaya yetu ya Tanga .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
3
31
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
Leo Tarehe 28 Agosti, 2024 Nimeshiriki kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Tanga Jiji , - Katika Kikao Hicho Niliongozana na Katibu Tawala wa Wilaya Dalmia Mikaya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Tanga .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
7
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
Leo Tarehe 26 Agosti ,2024 Nimekutana na Wakuu wa Taasisi Na Timu ya Wakuu wa Idara Wote wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Ambapo Wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya Pamoja Na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga ,
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
14
92
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
Leo nimeshiriki ziara ya Mhe.Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Suleyman Said Jafo nikimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Balozi Dkt.Batilda Salha Buriani - katika Ziara ya Ukaguzi wa Maendeleo ya Viwanda na Kujionea Viwanda visivyofanyakazi na vile vinavyosuasua .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
9
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Leo tarehe 18 Agosti ,2024 , Nimekabidhi ofisi Kwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mhe Zephania Sumaye - Makabidhiano Hayo Yalishuhudiwa na Katibu Tawala wa Wilaya Ndg Joseph Sura ,Kamati ya Usalama wilaya .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
17
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
Nipende Kumshukuru Mwenyezi Mungu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt SAMIA SULUHU HASSAN @samia_suluhu_hassan kwa Kuendelea kuniamini , Leo tarehe 16 Agosti Nimekabidhiwa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe James Kaji
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
11
76
@japharykubecha
Japhari Kubecha
6 months
USAMBARA TOURISM FESTIVAL 2024 #TANGA IMEFUNGUKA, TWEZETU LUSHOTO KUTALII.
Tweet media one
Tweet media two
7
17
82
@japharykubecha
Japhari Kubecha
7 months
Karibuni sana Tujumuike ndani ya Kipindi cha Jioni ya Leo Pale @EfmTanzania
Tweet media one
1
0
8
@japharykubecha
Japhari Kubecha
8 months
Kliniki Tatua Kero Lushoto
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
11
55
@japharykubecha
Japhari Kubecha
8 months
LUSHOTO KUNA JAMBO GANI ?? KESHO NITAKUWEPO NDANI YA GOOD MORNING WASAFI TV, WASAFI FM .
Tweet media one
8
13
86
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Leo Mei 20,2024 Nimefungua Semina ya Kuzingatia Maadili katika Utoaji wa Huduma Za Afya Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto , Pia Nimewaambia Wataalam wa Afya Maadilu ndio Msingi wa Huduma Bora Tunapoonyesha Uadilifu, Kujituma ,uzalendo , Wasiri na Nidhamu ya kazi .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
16
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Leo Nimekutana na Wadau wa Kilimo na Umwagiliaji wa Wilaya ya Lushoto ambao ni Maafisa Kilimo ,Maafisa Ugani ,Viongozi wa Vyama vya Ushirika na Wadau mbalimbali wa Umwagiliaji , Nimewaelekeza Maafisa Kilimo kuanda Mpango Mkakati wa Kilimo Kwa Miaka 5 Ndani ya Wilaya ya Lushoto.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
7
64
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Wadau wa Sekta ya Kilimo na Umwagiliaji wa Wilaya ya Lushoto karibuni sana .
Tweet media one
1
0
9
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Leo Nimekutana na Wadau wa Utalii Wa Wilaya ya Lushoto ambao ni Watembeza Watalii (Tour Guide) Maafisa Utalii na Wamiliki wa Mahoteli , Nimewaambia Lushoto ni lango la utalii wa Milima ya Usambara, Historia , Utamaduni , Matunda na Mbogamboga .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
2
44
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Wadau wa Sekta ya Utalii wa Wilaya ya Lushoto karibuni sana .
Tweet media one
11
19
73
@japharykubecha
Japhari Kubecha
9 months
Leo Nimefungua program ya Elimu ya Stadi Za Maisha Mradi huu ni Ushirikiano wa SERIKALI na CAMFED ambapo mradi Huu mpaka sasa Umegusa Halmashauri 35 na Lushoto Ikiwepo , pia mradi Huu umehusisha Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wa Walezi na Unasihi .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
3
42