![Majani🇲🇿 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1873243522863697920/wXViAjGC_x96.jpg)
Majani🇲🇿
@igy_bm23
Followers
4K
Following
8K
Statuses
34K
| Mwakimonya | lobbylist | inspired by nyonyo😋 |chelsea n yanga shabiki lia lia |Mganga wa kienyeji |Dum spiro spero .,While i breath i hope |
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2017
Dah chimbo lina waka @urban_legend16 oya kaka Ulienda kupaaga ?
#VIDEO Baa maarufu ya Pade iliyopo Buza jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto ambao bado chanzo chake hakijajulikana, Jeshi la zimamoto na uokoaji tayari limefika eneo hilo kusaidia kuzima moto huo. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kurasa zetu. #EastAfricaTV
0
0
0
@Elisalinah31 @AyoubChakah Ingekw sio kesho naingia kazin asbh Mngekuja mnitoe bweni dispensary nimepata alcoholic intoxification maana buza kinyonge sana
1
0
1
@AyoubChakah 🤣🤣🤣 kaka leo mngeambiwa tu kuna ndugu yenu kavaa t shirt ya roho mbaya kaokotwa huku bar 🤣🤣
1
0
1
Hii game tutashinda sema kuna goli ya shiza kichuja au said ndemla
1
0
2