Big stepper👣 Profile Banner
Big stepper👣 Profile
Big stepper👣

@highcchief

Followers
7,688
Following
4,304
Media
297
Statuses
31,881

GOD above all😎 || a Tupac shakur stan || chelsea fc #coyb || G state warriors #DubNation 🏆

Joined June 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@highcchief
Big stepper👣
2 months
''Naona kuna wageni miongoni mwetu'' still one of the reasons I don't go chruch
93
872
4K
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mwenye ameheartbreak neighbour yangu akuje msikize hizi bongo zenu pamoja
56
733
4K
@highcchief
Big stepper👣
1 month
unashanga mbna dem ako ithaa yako ivo kumbe anaitwa wamaitha
87
644
3K
@highcchief
Big stepper👣
2 months
siku moja wewe na huyo rafiki yako mjinga mtakuja kupigwa ju ya kucheka watu ovyo ovyo😂
85
618
3K
@highcchief
Big stepper👣
1 month
dread locks kiasi mathe asha change locks za milango
43
279
1K
@highcchief
Big stepper👣
20 days
Day nitatoka block nitawaambia grade nilipata ndio msi loose hope
80
321
1K
@highcchief
Big stepper👣
2 months
na wajaluo msisahau stevo simple boy ni wenu
84
249
934
@highcchief
Big stepper👣
1 month
another sign of poverty ni kujua tuchuom twingi😂
65
247
871
@highcchief
Big stepper👣
2 months
highschool heri ungetupa vitabu zingine lkn sahani isikose space kwa locker😂
53
251
826
@highcchief
Big stepper👣
2 months
chrome quarter na kurombosewa ndio mnaita shera😂😂
64
230
728
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mna fake life huku nje hadi mnaogopa kuomba usaidizi
70
220
619
@highcchief
Big stepper👣
1 month
mkenya akikuambia mpatane saa tatu unafaa kutoka kwa nyumba saa ngapi?
94
178
621
@highcchief
Big stepper👣
2 months
nimekumbuka kwetu hakuna mtu ashai cheza golf ikabidii niamke nijitume
60
201
598
@highcchief
Big stepper👣
30 days
hakuna watu wako relaxed siku hizi kama mafans wa Chelsea😂
54
188
586
@highcchief
Big stepper👣
1 month
kupiganiwa na macoductor pale stage inakuanga fun until uguze mfuko😂
34
164
492
@highcchief
Big stepper👣
1 month
sa unafuatilia politics za usa zikusaidie aje sasa😏
46
134
474
@highcchief
Big stepper👣
27 days
manzi yako anaelewa hii stori ya SHA ama yeye ni mrembo
50
145
477
@highcchief
Big stepper👣
2 months
manzi yako sahi anapanga mipango ingine maridadi na mtu wake and guess who won't be finding out
75
172
473
@highcchief
Big stepper👣
2 months
wendawazimu wa siku hizi wnabo sana,si ka wa kitambo walikuwa wanatukimbiza😂
87
196
463
@highcchief
Big stepper👣
2 months
we endelea kukunywa maji kabisa lkn ujue skin hunyoroshwa na pesa ma fren
54
147
453
@highcchief
Big stepper👣
15 days
I wish miezi yote ingekuwa kama October unablink hivi kiasi unaskia holiday
27
157
456
@highcchief
Big stepper👣
1 month
sikuizi kuniona mchana labda ubook an appointment
35
174
451
@highcchief
Big stepper👣
1 month
kwangu kunukia stew after kuku za jirani kupotea ni kitu ya kunishuku shuku
65
178
400
@highcchief
Big stepper👣
1 month
Saturdays are for dressing simple,sio suti kila siku msee😏
58
139
376
@highcchief
Big stepper👣
2 months
pastor akitaka gari anachangiwa na mimi nikitaka naombewa😂🚮
57
168
352
@highcchief
Big stepper👣
2 months
kuna watu huanza kuprepare supper yao sahi alafu kuna sisi wa saa tatu ndio tunafikiria chenye tutapika😂
62
122
304
@highcchief
Big stepper👣
2 months
ulikuwa unaenda driving school uendeshe gari gani?😂
62
143
301
@highcchief
Big stepper👣
1 month
chelsea sahi tunataka combination ya Real Madrid na Bayern Munich na bench yao waeke city
46
123
285
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mkienda locals si hadi mtoe suti mmekuwa nazo kanisa
47
123
285
@highcchief
Big stepper👣
2 months
kuna fresher ananijamia after amenipata class na alinichangia jana kwa wheelchair😂
52
122
273
@highcchief
Big stepper👣
1 month
west ham badala ya aibu ndogo ndogo ya kupigwa bao 7 si watupe hio walk over mara moja
27
94
278
@highcchief
Big stepper👣
1 month
kip was told not to sing but guess what kip did anyway
48
115
254
@highcchief
Big stepper👣
2 months
unasoma vizuri ukifika page 45 unakumbuka unafaa kuelewa
32
104
251
@highcchief
Big stepper👣
1 month
unashanga mbna unashinda ukiheartbrekiwa hivo kumbe ni pesa ya matter heart run ulikula😂
61
139
250
@highcchief
Big stepper👣
1 month
wengine wakienda kanisa wewe uliamua utaset sunday aside ikuwe siku ya kufua😂
22
90
244
@highcchief
Big stepper👣
23 days
mimi bora huyo dereva na makanga hawakufii kwa gari yenye niko,mo niko sawa
58
122
244
@highcchief
Big stepper👣
2 months
chapati nimeweka ya kesho asubuhi hinipei amani😂
52
115
241
@highcchief
Big stepper👣
1 month
wale wasee huita gloves ''glaves'' is everything okay??
47
114
239
@highcchief
Big stepper👣
15 days
Even blood is thicker,what's your excuse siz
53
118
231
@highcchief
Big stepper👣
26 days
unamtumia Goodnight text nani amekuambia analala😂💀
49
108
226
@highcchief
Big stepper👣
2 years
c mnifikishe 500 before midnight wadau ifb immediately
Tweet media one
46
28
192
@highcchief
Big stepper👣
1 month
Do you guys pray for your fellow tweeps?kuna mtu ashai niombea huku kweli?
79
128
224
@highcchief
Big stepper👣
1 month
naona weather for two inataka kuanza,hope this time hutapatwa off guard😂
60
134
225
@highcchief
Big stepper👣
11 days
ata mimi nikienda kwa aunty yangu leo na stima zipote nitakuwa nimekosea mtu kweli?
29
87
212
@highcchief
Big stepper👣
2 months
the last time nilambiwa 'I love you' ilikuwa 2015 na ilikuwa wrong number😭😂
36
95
210
@highcchief
Big stepper👣
2 months
ukambani ukionekana ukikojoa unaulizwa kwenye umetoa maji😂
65
118
204
@highcchief
Big stepper👣
2 months
kuna shoe game alafu kuna hizo zako mandula😂😂
22
80
206
@highcchief
Big stepper👣
1 month
zoea kuingia mat na pesa fixed to avoid unnecessary conflicts na makanga
46
119
204
@highcchief
Big stepper👣
1 month
pastor anaona huanguki after amekuwekelea mikono,anaamua kukuokota sweeper😂😂
25
83
200
@highcchief
Big stepper👣
2 months
inama nikumalizie nyuma,,huyu kinyozi ananiweka wasiwasi wajameni
48
103
197
@highcchief
Big stepper👣
1 month
unasiagiwa na sio mahindi😂
65
111
194
@highcchief
Big stepper👣
2 months
btw thermos huitwa aje kwa kiswahili?🤔
62
99
190
@highcchief
Big stepper👣
2 months
most relationships are controlled by friends,ukiona utakwi jua committee imekata😂
44
95
189
@highcchief
Big stepper👣
1 month
signs za kugongewa ni kama gani
62
82
180
@highcchief
Big stepper👣
2 months
unashanga mbna dem haivi kumbe anaitwa ivy😂
15
81
180
@highcchief
Big stepper👣
1 month
kumbe ukirusha ''hey'' bila dollar haifiki hio pande ingine
30
96
180
@highcchief
Big stepper👣
1 year
ati unaenda wapi brathe?ebu nione venye Google map inasema😂😂
Tweet media one
16
51
165
@highcchief
Big stepper👣
1 month
Do you guys check on your hommies??
56
96
173
@highcchief
Big stepper👣
2 years
nikiona mse amenifollow me following back...fff💪💪
Tweet media one
22
51
165
@highcchief
Big stepper👣
1 month
we ni mtu mkubwa sasa wacha kutembea ukijiangalia kwa vioo za wenyewe😂
33
83
172
@highcchief
Big stepper👣
2 months
judgement day ukiitwa alafu mbogi huko hell waanze kushout ''kiongooos''😂
49
107
167
@highcchief
Big stepper👣
2 months
fresher anashanga kuona 4th year akikatakata kitungu na ID😂
13
65
165
@highcchief
Big stepper👣
2 months
Goodmorning fam🌄remember to dress well and smell nice✌
43
82
166
@highcchief
Big stepper👣
1 year
me following back nikiona mse amenifollow
Tweet media one
40
38
149
@highcchief
Big stepper👣
2 months
hizi stori zinakuanga kwa mat zinaweza fanya usiwahi nunua gari😂
35
85
161
@highcchief
Big stepper👣
2 months
unakaa ugly hivo na ukona 19 yrs na sa ukifika 64years utakaa aje😂
50
88
161
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mamako husema venye anchukia watu huvuta bangi na venye anakupenda😂
52
99
161
@highcchief
Big stepper👣
23 days
nikikumbuka venye nilipiga nduru after wameapishwa naitisha tu jug ingine
43
78
163
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mko sure tukiweza shikana sisi wote tuombe pamoja shetani hawezi okoka
43
89
155
@highcchief
Big stepper👣
2 months
kama unaweza shuka bed from both sides wewe ni tajiri,the rest tia bidii kiasi😂
50
87
148
@highcchief
Big stepper👣
2 months
karibu nimtext nikakumbuka text ya mwisho ilikuwa yangu bado😂😂💔
51
96
149
@highcchief
Big stepper👣
1 year
hizo ni nini zuchu anaimbanga na mnaskiza?watu wa bongo mnakuanga na nguvu walai😂
14
40
138
@highcchief
Big stepper👣
2 years
rada ya hawa waarabu wamenifollow sana, nimeanza kushuku sasa😂
Tweet media one
30
18
124
@highcchief
Big stepper👣
2 months
ukitaka kujua true colours za mtu wait until alewe💀
35
72
144
@highcchief
Big stepper👣
14 days
nakuambia niko sawa unarudisha chakula,kwn hujui lugha ya wageni
32
84
142
@highcchief
Big stepper👣
25 days
ukienda kwa wenyewe usikule tena sana,sahani tatu zimetosha
38
82
143
@highcchief
Big stepper👣
2 months
Homa nayo siwezi gonjeka pekee yangu,lazima uskie venye naskia mafrend
41
80
139
@highcchief
Big stepper👣
2 months
unaambia mkisii happy birthday anareply happy birthday birthday too😂😂
48
89
137
@highcchief
Big stepper👣
2 months
unajiita gangster na unakimbia ukivuka barabara😏
55
86
136
@highcchief
Big stepper👣
2 months
ukikula skuma just be very careful na venye unacheka in public
54
98
136
@highcchief
Big stepper👣
15 days
na tukipatana kwa barabara we niite jina yangu,mambo ya ''mkuu'' na ''kiongos'' wacha
24
75
134
@highcchief
Big stepper👣
15 days
unapatia mwanaume heshima alafu unapata.....?
37
72
129
@highcchief
Big stepper👣
2 months
na mkuje kanisa pastor hajafurahia ata kidogo
54
79
128
@highcchief
Big stepper👣
2 months
na waluhya mkipewa mabawa siku ya mwisho msizikule😂😂
50
86
125
@highcchief
Big stepper👣
16 days
do you even pray for your partner ama kazi ni kumdishi tu😂💀
38
57
131
@highcchief
Big stepper👣
1 year
it's better to be an outspoken atheist than a hypocrite🖕🖕🖕
4
15
120
@highcchief
Big stepper👣
14 days
zoea kutemea watu mate ukiona unaloose an argument😂
26
76
127
@highcchief
Big stepper👣
2 months
There's no such thing like inner beauty,kama imekata imekataa😂
49
75
124
@highcchief
Big stepper👣
2 months
Bado kidogo sasa nianze kuitisha mtoto report card
43
78
124
@highcchief
Big stepper👣
2 years
@cynthia02UK mbna unaexpose nyumba zetu?😂
1
1
121
@highcchief
Big stepper👣
2 months
ukihamishwa kwa formation pale exam room ndio ulikuwa unajua shule umeenda pekee yako😂
43
74
119
@highcchief
Big stepper👣
2 months
mkenya lazima umuelezee mbna anafaa kukulipa deni yako ili akuskilie huruma akulipe
44
77
117
@highcchief
Big stepper👣
2 months
hata wa kuniuliza kama nimevaa sweater hakuna,mwenye ananiroga aniachilie bana
45
79
112
@highcchief
Big stepper👣
1 month
ata mlevi hakunywi pombe design unaikunywa😂😂
22
66
116
@highcchief
Big stepper👣
2 months
hawa wasee hulock choo zao na kufuli hudhani tunataka kuthegi mefii yao ama😂😂
59
78
113
@highcchief
Big stepper👣
11 months
nimepata njia Ingine ya kuoga bila maji majamaa mnaitaka ama?
8
33
109
@highcchief
Big stepper👣
2 months
hio utamu mnataftanga kwa tropicals mimi nilizaliwa nayo
45
78
112
@highcchief
Big stepper👣
1 month
Manchester United vs Tottenham, your honest prediction
36
62
115
@highcchief
Big stepper👣
2 months
naonaga dem mali safi nakumbuka sio mimi wa kwanza kumuona naachana na yeye
9
46
109