gharib_mzinga Profile Banner
Gharib Mzinga Profile
Gharib Mzinga

@gharib_mzinga

Followers
104K
Following
2K
Statuses
2K

Working at @azamtv || Channel Assistant Supervisor & Commentator|| πŸ¦… Badiangwenas

Joined January 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
3 days
BEKI ALIYEIKATAA SIMBA AIKAZIA YANGA, Tembelea 'MZINGA SPORTS' YouTube ufaham kila kitu.
8
11
372
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
3 days
CHIMBO LA UCHAMBUZI WA SOKA LOCAL (AFRICA & NDANI) HILI HAPA. NAWAOMBA TWENDE YOUTUBE TUKA SUBSCRIBE NDUGU ZANGU πŸ™πŸ™
Tweet media one
19
7
191
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
4 days
Round 17 & 18 NBCPL Ilivyowafanya Vigogo. Simba SC - DRAW [R17] Young Africans - WON [R17] Azam FC - LOST [R18] Singida Black Stars - DRAW [R17] TOP 4 IMEFIKIWA.
2
7
234
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
5 days
OPENING IPI YA KILWA FINEST ILIYOKUVUTIA ZAIDI Arusha: Ardhi ya Wameru, Iraqw & Maasai, Welcome to Geniva of Africa... (Ihefu v Yanga) Manyara: Ukitazama ramani utaona Nchi zuri yenye milima na mabonde.... Saitaa Babati. (FG FC v Simba). MKOA GANI MWENGINE UNA STORY NZURI ?
13
4
106
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
8 days
RASMI: Droo ya CAF CL & CC Itafanyika Tarehe 20, Doha Qatar. Saa 11 Jioni Shirikisho, Saa 12 Jioni Ligi ya Mabingwa.
Tweet media one
2
6
156
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
9 days
Kocha wa SINGIDA BLACK STARS ametambulishwa kua Kocha Mpya Yanga SC.
Tweet media one
22
18
668
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
9 days
HII LINK YA KUMPIGIA KURA NYOA WA TANZANIA ANAYECHEZA SAUDI ARABIA CLARA LUVANGA
1
0
4
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
12 days
@tenende_martial Namungo ?
0
0
1
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
12 days
Naamini huu ni moja ya Misimu migumu kwenye NANI Atakua bingwa wa Ligi kuu ya NBC, Simba, Yanga & Azam Zote zipo ON FIRE Zina nafasi kubwa ya Ubingwa, Black Stars anakuja bila kelele.
12
7
228
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
13 days
KWA TANZANIA MKOA GANI HAUJAWAHI KUTOA TIMU INAYO/ILIYOSHIRIKI LIGI KUU YA TANZANIA BARA?
192
21
789
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
14 days
Kuna yale maneno uliyasikia kwenye WIMBO fulani alafu haikua hivyo unakuja kujua TOO LATE Unacheka tu. Mfano Professor jay kwenye Zali la mentali kuna sehemu nilisikia "Nakatiza mitaa ya Samora Nyunyuu" Kumbe ni Samora Avenue.
8
3
80
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
GROUP C' NIGERIA πŸ‡³πŸ‡¬ TUNISIA πŸ‡ΉπŸ‡³ UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ HAPO VIPI TUNATOBOA 16 BORA ?
60
12
195
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
@Suka9995 πŸ‘ŠπŸ™
0
0
1
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
@RommyAugust Welcome
0
0
2
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
@GeorgeKivuyo πŸ™πŸ™πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
0
0
1
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
@kingbape12 πŸ™πŸ™πŸ™
0
0
1
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
@Abduljr44 πŸ™
0
0
0
@gharib_mzinga
Gharib Mzinga
17 days
Breaking News: CHAN 2024 Itapigwa Agosti 2 mpaka 30 Wenyeji ni Tanzania, Kenya na Uganda.
2
8
249