![WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/983945094351945728/I98jdhDJ_x96.jpg)
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
@gcumod
Followers
17K
Following
47
Statuses
305
Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dodoma , Tanzania
Joined April 2018
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe @DrTaxs (Mb) tarehe 23 Desemba 2024, amezindua Jengo la Tiba za Masikio na Koo (ENT) pamoja na Jengo la Kantini litakayotumiwa na Wanafunzi wa Diploma ya Clinical Medicine wanaosoma katika Hospitali ya Jeshi Kanda ya Mwanza.
1
2
27
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe @DrTaxs tarehe 21 Desemba 2024, ameungana na Viongozi wa Mkoa Mwanza katika mapokezi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Uwanja wa ndege mkoani Mwanza alipowasili kwa ziara ya Kikazi.
1
1
11