![KASUKU🦜 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1882594225042116608/v-nY-h_X_x96.jpg)
KASUKU🦜
@esterka_su_ku
Followers
2K
Following
0
Statuses
22K
RT @MudiMabiriani: Biashara inaweza ikakufanya ukawa BROKE sometime sababu sio mchezo wa faida peke yake kuna hasara pia
0
6
0
@ladyVee_Ve @slimshadejr Hao wa kuzaliwa nao wawalaumu wazazi tuu hakuna namna,pia ukiona partner anarukaruka mkabidhi condom na pep
1
0
1
@ladyVee_Ve @slimshadejr Oohoo hapana ukimwi ukiupata ni uzembe tu,pia cancer inategemea ipo hatua ipi,vilevile moyo kupona au kuondoka muda mfupi ujao.
2
0
0
@ladyVee_Ve @slimshadejr Wote nimewaona kabla mwenye HIV aitwe mgonjwa itapita miaka kadhaa ya kuspend eti,sasa ukutwena tatzo la moyo au Cancer utakuwa na amani?.
1
0
2