dzagamba Profile Banner
Dzagamba Profile
Dzagamba

@dzagamba

Followers
316
Following
33K
Statuses
11K

Who passes the sentence should swing the sword | YangaSC....Fino Alla Fine | In the beginning, the POWERFUL ONES created heaven and earth

Joined June 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@dzagamba
Dzagamba
18 minutes
@WemaKako I don't think so
0
0
0
@dzagamba
Dzagamba
3 hours
RT @MarioNawfal: 🚨ASSANGE ON USAID: ‘CIVIL SOCIETY IS A FABLE’ Assange exposed how NGOs have been co-opted into political weapons, arguing…
0
4K
0
@dzagamba
Dzagamba
3 hours
@WemaKako Mtoto wake mkubwa wa kiume alikutana na propaganda za wokeism akabadilisha jinsia na as of now yeye na baba ake haziivi kabisaa. Wanasema ni kitu kinamuuma sana Elon ndio maana yuko overprotective na hako kabwana mdogo
0
0
1
@dzagamba
Dzagamba
11 hours
RT @ForzaJuveEN: Federico Gatti appreciation post. One of the most hard working players in squad. Plays every 72 hours.. Makes himself ava…
0
29
0
@dzagamba
Dzagamba
12 hours
Muda mrefu sana sijaiona Bianconeri ikiubonda uwanjani kwa dedication kubwa kama leo #ForzaBianconeri #ForzaRagazzi
0
0
0
@dzagamba
Dzagamba
15 hours
RT @MariaSTsehai: Nimepewa taarifa na msamaria mwema kuwa Razack yuko kituo cha Chang’ombe “amehifadhiwa” na kuna mpango kumhamisha Sitakis…
0
84
0
@dzagamba
Dzagamba
18 hours
@claramogul Hatuna kocha hapa Mara mia team angepewa yule Technical Director kuliko huyu muhabeshi
0
0
0
@dzagamba
Dzagamba
24 hours
RT @MariaSTsehai: Let the picture do the talking CCM - Chama cha Ma—— #TutaelewanaTu
Tweet media one
Tweet media two
0
92
0
@dzagamba
Dzagamba
1 day
@MarekaMalili Kwa namna tumecheza ile game ya jana, kama ndio mafunzo yake huyu jamaa, basi kazi ipo
1
0
3
@dzagamba
Dzagamba
2 days
RT @JohnNgutiCDM: Deusdedith Soka na Wenzake wapo HAI na wanashikiliwa kwenye moja ya kituo DSM, Kelele zetu za mitandaoni zimesaidia sana…
0
363
0
@dzagamba
Dzagamba
2 days
RT @salimosaid: Yanga played with no intensity. The high press was nowhere to be seen. It was like Ramovic took his intensity with him to A…
0
24
0
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@YoungAfricansSC Tumecheza hovyo kabisa leo Subs, ukiacha ya Max, nyingine zote ziikua za kipuuzi Unamtoaje Pacome aingie Msonda kwa team iliyopark bus? Unamtoaje Mzize unamuacha Dube?
2
0
4
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@MarekaMalili Jua bado ni kali kwani?
0
0
2
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@YoungAfricansEN @keddomuzo Kati ya Dube na Mzize nani alitakiwa kwenda bench?
1
0
0
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@FrankNestory @MarekaMalili Team haichezi kwa tempo yake kabisa, tujiandae na matokeo yoyote leo
0
0
0
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@MarekaMalili Ni kweli, jua na joto nikali sana lakini muda utaongea
0
0
2
@dzagamba
Dzagamba
2 days
@Liberatus80 S.A wameshakua na maraisi wanne weusi Mandela, Mbeki, Zuma na Ramaphosa. Miaka yote hii matatizo yao wanayaona kwa wazungu na fellow Africans, na waafrika wenzao ndio wameonja joto ya jiwe huko S.A Matatizo yao ni makubwa kuliko hao white farmers. Remember Zimbabwe
4
1
6
@dzagamba
Dzagamba
2 days
RT @SABCNews: [WATCH] "There was a collective project of entangling us," says EFF Member Dr. Mbuyiseni Ndlozi.
0
119
0