![Ngosha Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1736788108870287360/7JK0KzAf_x96.jpg)
Ngosha
@dabassu
Followers
379
Following
3K
Statuses
7K
Entrepreneurs is a risk taker ,but spend the amount that you can afford to lose🤗🤗
Tanzania
Joined January 2015
@angelbellerin02 Sihitaji mvua kabisa mwaka huu Nina gunia 300, mtagawana hizo hizo nchi nzima wanaokosa watakula ugali mvua sitaki kabisa inyeshe
1
0
1
@rollymsouth Wanakupeleka shambani harafu mbolea Bei juu na ukivuna hawakupi nafasi ya kutafuta soko, wanafunga mipaka Ili mazao ule na taifa lako kuzuia mfumko wa Bei bila kujua wewe umelima kutafuta hela ( biashara)
1
2
9