chibelube Profile Banner
Genious✍️ Profile
Genious✍️

@chibelube

Followers
204K
Following
23K
Statuses
73K

𝗜𝗻𝘀𝗽𝗶𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗧𝗮𝗹𝗸 | 𝗖𝗼𝗻𝘁𝗲𝗻𝘁 𝗰𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿 | 020 𝗟𝗶𝗳£📌

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@chibelube
Genious✍️
7 months
9/7/2024. Inallilah wahinah Lilah Rajiun. My Mama 💔
300
90
1K
@chibelube
Genious✍️
4 hours
@ze_mandevu Kuna Mtu alikua Waziri wa Afya kipindi Fulani Alimtikisa sana, Na Huo ndio Ulikua Mwanzo wa kuanza Kuyumba.
0
0
4
@chibelube
Genious✍️
4 hours
RT @chibelube: Nimewatumia ndugu zako laki tano tano kila mmoja, Wamefurahi sana na kunishukuru, Sasa Nasubiri hapa waje waulize ni nani Al…
0
8
0
@chibelube
Genious✍️
12 hours
Siwezi kuwa mwema kwa kila mtu, Nitakua mwema kwa wale Wanaoijua Thamani yangu.
1
22
150
@chibelube
Genious✍️
12 hours
Leo ninaweza nisiwe mtu bora kwako, Ila ukigundua nilikua mtu muhimu kwenye maisha yako Usinitafute maana Utakua umechelewa Tayari.
4
30
143
@chibelube
Genious✍️
12 hours
RT @chibelube: Utajiri mkubwa sana umejificha kwenye Kusaidia wengine, Hakikisha pale unapo pata nafasi ya kutoa, Basi unatoa kwa wengine h…
0
55
0
@chibelube
Genious✍️
12 hours
Nimewatumia ndugu zako laki tano tano kila mmoja, Wamefurahi sana na kunishukuru, Sasa Nasubiri hapa waje waulize ni nani Aliuza nyumba ya Urithi
1
8
91
@chibelube
Genious✍️
13 hours
Unamuoa Aisha halafu unategemea maisha yako yawe mazuri. ? Maisha=Aisha=Isha- Shaaaaa!!!!
4
10
84
@chibelube
Genious✍️
1 day
Mnapotuombea tufeli kwenye maisha, Basi msiache kuwaombea wale wanao tutegemea Wapate watu wengine wa kuwasaidia.
2
69
346
@chibelube
Genious✍️
1 day
RT @chibelube: Sio kila tatizo linahitaji pesa na sio kila tatizo linahitaji kutatuliwa kwa matendo, Kuna matatizo Mengine Inabidi uyaangal…
0
25
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
Utajiri mkubwa sana umejificha kwenye Kusaidia wengine, Hakikisha pale unapo pata nafasi ya kutoa, Basi unatoa kwa wengine huo ndio utajiri.
8
55
315
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @chibelube: Kwakua Mungu alimsubiri konokono na kobe wafike kwenye safina ya nuhu, Hata wewe bado ujachelewa kwenye kufaulu Maisha.
0
53
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @SadickTusia: Unapotafuta pesa tumia akili, Unapotumia pesa tuliza akili, Pesa ulizonazo kwenye account yako zisikufanye ujione fahari,…
0
36
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @chibelube: Kucha zinapokuwa kubwa huwa hatukati kidole tunakata kucha, Na tatizo linapokua kubwa tunalivunja tatizo ila sio kuvunja Uhu…
0
52
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
@Roma_Mkatoliki Ukitaka kuskia Unyama wa J-Rider Kasikilize Mechi za Ugenini 🙌🙌🙌 Ukitaka kuskia Unyama wa Duke Toucherz Kasikilize Nitabaki Juu🔥🔥🔥
2
0
26
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @chibelube: Kuna watu hawatakupa pesa ila watakuonesha pesa zilipo, Fundi miwani sio Daktari wa Macho ila atakusaidia kuitengeza Miwani…
0
50
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
Kwakua Mungu alimsubiri konokono na kobe wafike kwenye safina ya nuhu, Hata wewe bado ujachelewa kwenye kufaulu Maisha.
4
53
369
@chibelube
Genious✍️
2 days
Kucha zinapokuwa kubwa huwa hatukati kidole tunakata kucha, Na tatizo linapokua kubwa tunalivunja tatizo ila sio kuvunja Uhusiano wetu.
0
52
238
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @chibelube: Kuna dharau Mungu anaweza kuruhusu zikufikie sababu unastahili kudharauliwa, Maana ndio njia pekee itayo kupeleka Kwenye Hes…
0
56
0
@chibelube
Genious✍️
2 days
Kuna watu hawatakupa pesa ila watakuonesha pesa zilipo, Fundi miwani sio Daktari wa Macho ila atakusaidia kuitengeza Miwani yako uendelee kuona vizuri.
4
50
302
@chibelube
Genious✍️
2 days
RT @dauson_official: Hakika
0
1
0