charlesabel24 Profile Banner
charles abel Profile
charles abel

@charlesabel24

Followers
25K
Following
16K
Statuses
14K

Sports Reporter (Mwananchi Communications Limited). Ndondo Cup 2017 Best Reporter.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@charlesabel24
charles abel
3 years
Sio mbaya Simba wakiwekeza nguvu kubwa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Kombe la Azam Sports na maandalizi ya Ligi Kuu msimu ujao. Kupitwa pointi 10 na Yanga ambayo imeimarika kwa kiasi kikubwa msimu huu, ni pigo kubwa kwao huku zikibakia mechi 17 kwa kila timu
30
19
563
@charlesabel24
charles abel
1 day
@shebi_iggo 😂😂😂
0
0
0
@charlesabel24
charles abel
1 day
Tweet media one
0
0
1
@charlesabel24
charles abel
1 day
@hamzaalbhanj Naaam na Mrisho Ngassa hadi timu yake Enjoy Soccer inawekaga kambi nyumbani kwetu
1
0
0
@charlesabel24
charles abel
1 day
@hamzaalbhanj Me nitakomaa boko. Nyumba ya urithi hakuna kuuzwa 😅😅😅😅
1
0
0
@charlesabel24
charles abel
2 days
@salimosaid Beki wa mpira Abdurahim Bausi. Kitasa cha timu ya taifa ya Beach Soccer
0
0
1
@charlesabel24
charles abel
2 days
@daudi10emmanuel Nakuunga mkono kaka
0
0
1
@charlesabel24
charles abel
2 days
@FKihamu Taifa Stars tunaye mwezi ujao
0
0
3
@charlesabel24
charles abel
2 days
@TriciaAbou Faulo yoyote inayochezwa katika line ni tuta
1
0
2
@charlesabel24
charles abel
2 days
My brother @HimidMao uko mbali sana na nyumbani ukipambania ndoto zako. Kadri wachache wanavyokukejeli, watu wa aina 3 wanapaswa kuwa chachu ya wewe kuvuja jasho ugenini i.Kijana aliye mtaani mwenye kipaji ii. Mwanafamilia wako iii. Yeyote anayekuombea heri
Tweet media one
0
3
32
@charlesabel24
charles abel
3 days
@cag_wa_mtaa @Civil_officer @Jambotv_ Daaaah 😅😅
0
1
1
@charlesabel24
charles abel
3 days
1
0
1
@charlesabel24
charles abel
3 days
@hamzaalbhanj Kawaida ya ombaomba wakishakosaga wanachokitaka wanaweka uadui
0
0
1
@charlesabel24
charles abel
3 days
@hamzaalbhanj Watu wana stress sana
0
0
1
@charlesabel24
charles abel
4 days
@IM_Almas1 So hapo anatakiwa alilishe. Zigo liende saloon bado alipie vicoba viwili hadi vinne vya hilo zigo. Kazi anayo
3
0
25
@charlesabel24
charles abel
4 days
@bonifacejoseph_ 😅😅😅😀
0
0
0
@charlesabel24
charles abel
4 days
@Captainpilo7 Mzee changamoto za maisha tu hizo hazitakiwi kukufanya uanze kuwa na mawazo ya kujiua
0
0
0
@charlesabel24
charles abel
4 days
@Captainpilo7 Mawazo ya kibwege hayo emu ikatae hiyo roho
0
1
4
@charlesabel24
charles abel
4 days
@BKadege Ni mtazamo wangu lakini
0
0
1