![Father Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1886795001587253249/lR-LrY2b_x96.jpg)
Father
@c_kinwiko
Followers
523
Following
133K
Statuses
5K
💼Science & Technology | Mentor🫂 & Entrepreneur | Christian &God believer.⛪ | Simba sc fan 🦁 & Chelsea.
Moon
Joined September 2022
RT @fatma_karume: Umeme hakuna. Jela zimejaa watu waliyekoseshwa DHAMANA. Majambazi ya kweli wamejaa nje wana-commit kila aina ya makosa ya…
0
77
0
@Ben_ventureBv Hapana! Ila Kuna uwekezaji wa vipande ambao unaruhusu mtu mwenyekipato chochote kuwekeza na kupata FAIDA kwa mwaka ambayo ni zaidi ya inflation rate mfano: UTTAMIS unawajua au ushawahi waskia?
1
0
1
@Ben_ventureBv Kuweka pesa kwenye kibubu Kuna athiriwa na kushuka kwa thamani ya Fedha (Money Inflation) Wataalamu wanasema kila mwaka pesa inashuka thamani kwa rate ya 5%
1
0
1
RT @GillsaInt: Kutuma 2m kutoka bank x kwenda mobile money ni expensive zaidi (Fees 11,500) kuliko kutuma hela yako from bank x to selcom p…
0
62
0
RT @gabyconscious: Hivi hizi NGOs huwa zote zinakuwa Audited kweli kufatiliwa kuwa nini zinafanya,vibali zao na matumizi ya Pesa zao?
0
7
0