Kuna siku nimeamua nijispoil nikapanda ngamia hizi zilikua zinalipishwa 20bob nikiwa nimepanda nimejiseti nikaona ngamia imetema mate,wale wajamaa wanishow labda ni heart burn,after imepiga like 30 steps ikaanza jogging buana kidogo kidogo ndio hiyo speed imefika 40km/h.