UmojaWaMataifa Profile Banner
Umoja wa Mataifa Profile
Umoja wa Mataifa

@UmojaWaMataifa

Followers
30K
Following
10K
Statuses
35K

Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.

New York, NY
Joined August 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
1 month
Vita sio jawabu. Tunahitaji amani. Amani kwa ulimwengu. Amani sasa.
Tweet media one
4
10
30
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
5 hours
Tofauti kati ya 1.5°C na 4.5°C ya ongezeko la joto duniani humaanisha hali tofauti sana za siku zijazo. Hatutaweza kuhimili na kuishi na joto kali iwapo hatutachukua hatua sasa. #ActNow.
Tweet media one
0
0
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
1 day
RT @UN_HRC: DRC: Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa @UmojaWaMataifa leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza la Haki za Binadamu am…
0
4
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
1 day
🌊 Je, wajua? Bahari yetu ni shujaa mkubwa duniani, kwa kuwa inafyonza 23% ya hewa chafu ya CO2, na 90% ya ongezeko la joto. Lakini... tunakaribia kupoteza nguvu hii kwa sababu ya uchafuzi. Ni wakati wa kutenda! I #SaveOurOcean
Tweet media one
1
3
4
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
2 days
DRC: "Mapigano yamezidisha hali mbaya zaidi ya kibinadamu iliyokuwepo, ambayo ni matokeo ya ukiukwaji wa haki za binadamu sugu." - @VolkerTurk, Kamishna Mkuu wa @UNHumanrights akitoa wito wa haraka wa kusitisha mapigano:
Tweet media one
1
3
8
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
2 days
RT @HabarizaUN: Mgogoro wa kibinadamu unazidi kuongezeka nchini #Haiti huku makundi yenye silaha yakiendelea kutekeleza ukatili wa kutisha…
0
1
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
2 days
RT @unwomentanzania: Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga #Ukeketaji kwa wanawake na wasichana! #Ukeketaji ni ukiukaji wa haki za binadamu…
0
5
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
2 days
Kwa miaka karibu 80 sasa, Umoja wa Mataifa umekuwa nguzo muhimu katika: 🇺🇳Kulisha wenye njaa 🇺🇳Kuwasaidia wakimbizi 🇺🇳Kutoa chanjo kwa watoto 🇺🇳Kutetea haki za binadamu 🇺🇳Kulinda mazingira yetu 🇺🇳Kusaidia wakati wa majanga na dharura #UN80
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
1
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
3 days
#FBF kwenda 1961. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Umoja wa Mataifa jijini New York. Hapa alikuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika ambayo ilikuwa bado haijapata uhuru. Kwa picha zingine tembelea maktaba yetu hapa:
Tweet media one
2
40
120
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
3 days
RT @HabarizaUN: Majimbo ya #Kordofan Kusini na #BlueNile nchini #Sudan yako ukingoni mwa janga kubwa la kibinadamu huku ghasia zikiendelea…
0
2
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
3 days
Wasichana zaidi ya milioni 27 wamo hatarini kukeketwa miaka 5 ijayo. @UNFPA na @UNICEF wanaongoza mapambano kupitia ushirikiano wao wa kimataifa, wakifanya kazi na jamii, serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali. Kila sauti, kila hatua ni muhimu.
0
2
4
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
3 days
Kuwekeza katika elimu ni kuwekeza katika mustakbali bora wa nchi. Upatikanaji wa elimu bora kwa wote unaondoa matabaka, na kuwezesha jamii kustawi na kuendelea. #GlobalGoas inalenga elimu sawa na bora kwa wote.
Tweet media one
0
2
3
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
4 days
Wasichana milioni 2 wanapitia maumivu ya ukeketaji kabla ya miaka 5. Hakuna mtoto anayepaswa kuumizwa hivi. Jifunze. Paza sauti. Taka hatua za kulinda wasichana. Pamoja tunaweza Alhamisi siku ya #EndFGM. Zaidi na @UNICEF:
Tweet media one
0
2
1
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
4 days
TAARIFA MUHIMU: Uganda yazindua jaribio la kwanza duniani la chanjo dhidi ya virusi vya #Ebola aina ya Sudan! WHO na washirika wamejipanga haraka kukabiliana na mlipuko. Matumaini mapya katika vita dhidi ya ugonjwa huu hatari.
0
3
2
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
5 days
RT @HabarizaUN: Mkurugenzi Mkuu wa shirika la @UmojaWaMataifa la Afya duniani, @WHO @DrTedros Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo h…
0
3
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
5 days
@kipkenyan Asante kwa mchango wako!
0
0
0
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
6 days
Jumanne ni Siku ya Undugu wa Kibinadamu! Siku hii inatukumbusha kwamba pamoja na tofauti zetu za dini na imani, sote ni familia moja ya kibinadamu. Tunahitaji kuelewana na kushirikiana zaidi kuliko wakati mwingine wowote. I #HumanFraternityDay!
Tweet media one
1
1
5
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
6 days
“Ubaguzi unaua. Ingawa unatisha na kuchukiza, unavuma kila mahali. Ni lazima tuilaani bila kusita, bila kukawia, bila kupotoka” - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa @‌antonioguterres #FightRacism
Tweet media one
0
1
2
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
7 days
@rwabudugu @WHO Asante na wewe kwa maoni yako, na kwa kutufuatilia!
1
1
1
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
7 days
Hata katika vita, kuna sheria. Kutoka Gaza hadi Sudan, DRC, Myanmar, Syria, Ukraine na kwingineko, tunaona kushindwa kwa ulimwengu kulinda raia wakati wa vita. Ulinzi wa raia ni lazima. #NotATarget v @‌UNGeneva
Tweet media one
0
1
3