![Tanzania Embassy in Jakarta Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1602276952261492736/2IM-ANnt_x96.jpg)
Tanzania Embassy in Jakarta
@TZEmbInJakarta
Followers
117
Following
29
Statuses
11
Welcome to the official Twitter account of the Embassy of the United Republic of Tanzania in Indonesia. Karibu Sana.
Jakarta, Indonesia
Joined December 2022
RT @mfa_tanzania: Today, February 6, 2025, Tanzania hosted a meeting of Senior officials of the Double Troika from the Southern Africa Deve…
0
5
0
Pembezoni mwa Mkutano wa mataifa 20 tajiri duniani (G20) unaoendelea huko Brazil, Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia amekutana na Rais mpya wa Indonesia Mhe. @prabowo kwa minajili ya kufahamiana na kujadili namna ya kuimarisha zaidi mahusiano yetu. *Picha kwa hisani ya Ikulu Indonesia
0
7
17
Swahili International Tourism Expo (SITE 2023). Tour operators in #Indonesia are invited to attend and learn myriads of tourist attractions available in Tanzania. The Tanzania Tourist Board @TzTouristBoard will cover travel and living expenses for two operators from Indonesia
0
2
3
RT @tzparks: Serengeti National Park, third World Best Nature Destination 2023 , this highest recognition is presented annually to those bu…
0
63
0
Msimu wa maombi ya fursa za masomo zinazogharamiwa (fully -funded scholarships) na serikali ya Indonesia kwa wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea ikiwemo #Tanzania umefunguliwa rasmi. Shime vijana wa kitanzania tuchangamkie fursa hizi kwa wingi. Scan QR code kwa taarifa zaidi
0
12
15
Balozi @mactembele na Bw. Suleiman Saleh (Kulia), katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya-Indonesia, Bal. Galma Boru. Kama #Tanzania , Kenya pia imefungua Ubalozi wa kwanza hapa Indonesia, ikiwa ni moja ya vielelezo vya kuongezeka kwa umuhimu kiuchumi wa eneo la Asia duniani
0
5
13