![Alex 2.0 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1885217112261627904/iR8fov2h_x96.jpg)
Alex 2.0
@Real_Bantus
Followers
771
Following
2K
Statuses
2K
owner: #passion fitness gym🥊 | 💻programmer: python . 📈Data science student.🎙voice-over artist #Disrupting | photographer📸 | Baker
Tanzania
Joined January 2020
@Abbymexahnk @TOTTechs kwa mimi pendant movie, Shazam naipendea ile floating icon, nkipenda wimbo any time na tap to bila kuhangaika
1
0
0
@iam_mobam vikundi ni bahati nasibu. niliingia shida ya kuwalipia wanakikundi wenzangu waliotoroka. hizi pesa sina hamu nazo. kwa mtu mmoja mmoja ni nzuri zaidi
1
0
1
@Neville983 @chax255 wali na ugali havina shida vikiliwa kwa kiwango. soda ni shida. calories unazopata kwa kula asubuh mchana na jioni zote unabugia kwenye soda chupa moja tu
1
0
2
@chax255 Kuna energy drinks na pepsi, tumeshaweka mazoea unaanza nayo asubuhi mpka jioni. sugar addiction is real
1
0
0
@chax255 nligundua hicho kitu nkaapa ntapunguza sukari. kweli natetemeka kabisa. Yan saa 4 asubuh tu tayri nmekunywa kitu chenye sukari apo kwa siku ni mara 3 mapka 4
2
0
3
@cristensen_ @Kiganyi_ nmeshazoeq sites za Bure. nlilipia Netflix mwezi mmoja silipii tena. I get all my shows free
0
0
0