RITATanzania Profile Banner
RITA Tanzania Profile
RITA Tanzania

@RITATanzania

Followers
2K
Following
0
Statuses
2K

Dhima ya RITA ni kusimamia haki kwa usimamizi wenye ufanisi wa kumbukumbu muhimu za maisha ya binadamu, ufilisi na udhamini.

Joined March 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Je, ni huduma gani unayohitaji kuifahamu kutoka RITA siku ya leo?. Karibu tukufahamishe mdau. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu ya bika malipo; 0800117482 au tembelea tovuti yetu ya
146
4
38
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
WATOTO ZAIDI YA MILIONI TATU WAMEPATIWA VYETI VYA KUZALIWA BILA YA MALIPO Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umefanikiwa kusajili Watoto milioni tatu na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo kupitia...
7
0
9
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Tunawatakia wanawake wote Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Karibu RITA tukuhudumie!
2
1
10
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge akitoa maagizo kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri pamoja na wataalam kutoka idara mbalimbali katika semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo viongozi...
0
0
5
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe.Dkt Rehema Nchimbi akitoa maagizo kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri pamoja na wataalam kutoka idara mbalimbali wakati wa semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo...
2
0
3
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Waziri Mkuu atembelea banda la RITA Dodoma na kukabidhi vyeti vya kuzaliwa kwa watoto katika mkutano mkuu wa mwaka wa kiutendaji wa Maafisa wa Ustawi wa Jamii unaofanyika jijini Dodoma .
2
0
5
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU WA RITA AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi.Emmy Hudson leo alikutana na Balozi wa Italia nchini,...
0
0
5
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
RITA YAPEWA TUZO KWA KUWASILISHA TAARIFA ZA KIFEZA ZENYE KIWANGO BORA CHA KITAIFA NA KIMATAIFA. Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhiwa tuzo kwa kuwa Taasisi katika kundi la Wakala bora ya...
1
0
4
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Kwa wale ambao hawajui mahali ofisi za Rita zipo kwa hapa Dar es Salaam; -Ofisi zetu za Makao Makuu zipo katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club...
1
1
4
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mhe Sophia Mfaume ambaye amemuakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christina Mndeme akitoa maagizo kwa waratibu elimu kata na viongozi wote wa Mkoa huo kuwa wazalendo na kutanguliza...
1
1
2
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
0
0
2
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
0
0
2
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Mtu huyu ni tapeli mtahadhari naye
0
0
1
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
WIZARA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BODI YA USHAURI Wizara ya Katiba na Sheria Imeridhishwa na utendaji kazi wa Bodi ya Ushauri ya Wizara hiyo anayomaliza muda wake kwa kufanikiwa kusimamia na kutekeleza...
1
1
1
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
PONGEZI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe, Dkt. Rehema Nchimbi akimpongeza Mwajiriwa Mpya wa RITA Wilaya ya Singida Bi Clarencia Milwano kwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ndani ya kipindi cha miezi mitatu ambapo...
2
1
1
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
"CHETI CHA KUZALIWA NI UFUNGUO WA FURSA ZA ELIMU NA AJIRA" # Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe, Dkt Rehema Nchimbi ameagiza Wanafunzi wote wa Shule za Msingi na Sekondari Mkoani humo kusajiliwa na kupatiwa vyeti vya...
0
2
5
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
I posted a new video to Facebook
0
0
2
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akitoa maagizo kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri pamoja na wataalam kutoka idara mbalimbali wakati wa semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo...
1
1
2
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO KUPATIWA VYETI VYA KUZALIWA BILA YA MALIPO MKOANI KAGERA NA KIGOMA Mikoa ya Kagera na Kigoma kwa pamoja inatarajiwa kutekeleza mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya...
0
1
4
@RITATanzania
RITA Tanzania
6 years
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wamekutana hii leo katika Ofisi za RITA Makao Makuu kwa lengo la kujadili kuhusiana na masuala ya Usajili.
1
1
6