![𝙻𝚘𝚛é𝚗𝚣𝚘 🔆 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1876490831722409984/RMbIDK6d_x96.jpg)
𝙻𝚘𝚛é𝚗𝚣𝚘 🔆
@PharmLaurent
Followers
626
Following
19K
Statuses
10K
The future of healthcare in Curly braces{}
Africa
Joined December 2016
@DanieShemdoe @dicksonjosiah64 Ntacheka kwa vituo vituo kijana. Anyway, utakuja kujua siku ukipata lesen 😅
1
0
0
@sirtuddy Kaka. Nilienda Tanga mheza. Tulikuwa wengi kama 200hvi, hotel zikajaa, nikaamua kwenye kulala hotel ya kifahari, nikakopa ile pesa. Aaah weeee mm sitasahau na sitarudia kukopa tena 😅😅😅
1
0
0
@DanieShemdoe @dicksonjosiah64 Amini kwamba, watu tunadaiwa milion kama 48 hvi na hatuna hata 100 mfukoni 😅😅
2
0
0
@DanieShemdoe @dicksonjosiah64 Mkopo haukupi maisha mazuri. Unakupa stress. Nenda utaelewa hili neno 😆
1
0
0
@DanieShemdoe @dicksonjosiah64 Michache mbona. Mingi kwa kuhesabu. Ukianza kusoma wala sio mingi
1
0
0
@DanieShemdoe @dicksonjosiah64 Ooh, piga QT huu mwaka sasa mwakan urudi shule. Usikubali kukata tamaa
1
0
0