OwmNa Profile Banner
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi

@OwmNa

Followers
1K
Following
4
Statuses
110

Ofisi ya Waziri Mkuu KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU Mji wa Serikali, Mtaa wa Kazi Mtumba, Jijini Dodoma S.L.P 2890 +255262963450 [email protected]

Dodoma, Tanzania
Joined May 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Serikali imejipanga kuendelea kuwapatia Watu wenye Ulemavu mafunzo ya Ujasiriamali ili kuwezesha kundi hilo maalum kujiajiri na kushiriki kikamilifu kwenye shughuli zitakazo wasaidia kujikwamua kiuchumi.
1
2
10
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Serikali imejipanga kuendelea kuwapatia Watu wenye Ulemavu mafunzo ya Ujasiriamali ili kuwezesha kundi hilo maalum kujiajiri na kushiriki kikamilifu kwenye shughuli zitakazo wasaidia kujikwamua kiuchumi.
Tweet media one
1
2
7
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Tweet media one
1
2
6
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Happy Union Day. Kazi Iendelee
Tweet media one
1
1
4
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
MEI MOSI NJEMA
Tweet media one
0
1
7
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM/EIA) uliofanyika Dar es Salaam.
Tweet media one
0
1
6
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Serikali imewahakikishia watu wenye ulemavu kwamba itaendelea kuwawezesha kwa namna mbali mbali ikiwemo kuwapatia elimu ya Usalama na Afya kazini ili wawaze kutoa mchango wao kikamilifu katika maendeleo ya nchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
1
9
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
"Serikali ya Awamu ya Tano imeamua kufufua Viwanda vilivyopotea," JPM
0
1
5
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Uzinduzi wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd
Tweet media one
0
1
2
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Tweet media one
0
1
3
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro International Industries Co. Ltd kilichojengwa katika eneo la Gereza la Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro kwa ubia wa PSSSF na Jeshi la Magereza Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
3
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
MAELFU YA VIJANA WANUFAIKA NA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI INAYORATIBIWA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
1
4
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
#KUMBUKIZI YA MIAKA 21 YA HAYATI MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE Tutaendelea kukuenzi na kukumbuka maono yako katika ujenzi wa Taifa letu na Bara Afrika kwa ujumla.
Tweet media one
0
1
2
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
#TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UPOTOSHAJI KUHUSIANA NA MAFAO YA WAFANYAKAZI
Tweet media one
0
0
2
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Tweet media one
0
3
4
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
#TAARIFA KWA UMMA Kuhusu Ajira za Raia wa Wageni katika Vilabu Vya Mpira wa Miguu Mchini.
Tweet media one
0
1
1
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
1
0
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani na nje ya nchi, kuandaa mikakati ya mauzo ambayo itahakikisha ukuaji wa soko na uuzwaji wa bidhaa zitakazo zalishwa kiwandani hapo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
1
@OwmNa
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi
4 years
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya jitihada kuhakikisha tatizo la usafiri kwa wananchi wa Mafia linakwisha.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2