
noreen💸
@NoreenWitn20658
Followers
549
Following
3K
Media
70
Statuses
2K
manchester united❤, Simba sports club❤, Commerce✊,
njombee Tanzania🇹🇿,
Joined July 2024
Tunahangaika,Tunatafuta ili watoto wetu na familiar zetu wale vizuri maan hawana wakuwategemea ila sisi ko msisite kutu support tunapojaribu😒😒
4
6
15
Kuna mambo tunapitia yanatufunza sanaa, pale unapotamani kuanzia wakati huna mtaji ukimpa mtu wazo usiku, asubuhi yeye anaanza kile kile ulichowaza wewe usiku na kumshirikisha . wengi wana mitaji ila hawajui wafanye nini, na wengi wana idea za kuanza ila hawana mitaji....
2
1
10
Kujiamini kunaweza kusiwe na uhakika wa mafanikio, lakini hutupa moyo wa kukabiliana na changamoto yoyote.📌
30
60
68
Katika Ukomo Wa Maisha Ya Mwanadamu Ni Mauti Itakayomkuta Mahali Popote Pale..
0
8
22
Tunapanga mipango mingi sana katika maisha yetu ila Mungu ndo atakayeamua sisi tuishi vipi
3
13
42
Usiku ukishakua mwema lala tu achakuwasumbua watu wenye mahusiano ya furaha
7
13
21
Hakuna Mtu Anaejua Kesho Ataishi Na Nani Kwenye Maisha Yake Isipokua Tabia Za Leo Ni Somo La Kesho📌
4
14
27
Hello madam ! Can I talk to you about why we should fall deeply in love 🥰 😚
4
3
6
PICHA MAARUFU DUNIANI YENYE SITORI YA KUHUZUNISHA Moja kati ya picha maarufu kabisa duniani, ukiachilia mbali ile ya Mona Lisa iliyokuwa imeibiwa mwaka 1911 kabla ya kurejeshwa miaka miwili baadaye, ni picha ya mtoto mdogo anayelia picha yenye visa vyake vya kipekee Thread 🧵
19
38
126
Mlinzi wa Shule Aliyeshuhudia wachawi wakiwasili shuleni: Usiku Ambapo Shule Ililia kwa Damu 🥤Usiku mmoja wa mwezi wa 3, mwaka 2022, mlinzi wa shule ya msingi, Akiwa kwenye Majukumu yake ya ulizi aligundua jambo ambalo la miujiza sana. Alikuwa na sim, redio, tochi na Rungu.
40
90
793
Kabla ya kupost hii Movie Naomba nitoe Credit zoote! Kwa Simu kitaa na SNS 🙌 Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15) Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini. Inaitwa "The Goat Life" Enjoy.. Video kwa Comments 👇
21
68
667
Ushawahi mkutanisha Rafiki yako mmoja na Rafiki yako mwingine wakatengeneza Urafiki mkubwa kiasi kwamba we wakakuweka pembeni? 😂😂😂💔
56
62
1K
Picha za Mazishi: Siri ya Kamera man na macho ya marehemu. 🥤Mwaka 2022,nilikuwa nafanya kazi kama camera man, nilipata kazi ya kupiga picha msibani. Familia moja ilinipigia simu na kuniomba nifike mapema saa tatu asubuhi kwa ajili ya picha za maandalizi ya mazishi. Marehemu
38
65
553
Hakuna hela iliyopotea bali ukarabati ulisitishwa baada ya mvua na joto kali kuwa kikwazo kwa wakandarasi. Watanzania msiwe na hofu hata zanzibar ni Tanzania
0
1
1
Kutafuta Ni Juu Yako,Kupata Muachie Mungu! Good morning Fam🌤✊🏾
52
99
1K