NationalTnbc Profile Banner
Tanzania National Business Council - TNBC Profile
Tanzania National Business Council - TNBC

@NationalTnbc

Followers
6K
Following
225
Statuses
1K

|Public Private Dialogue Platform|Promoting Economic Growth| Sectoral & Business Competitiveness|

Tanzania
Joined November 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
17 days
HAPPY BIRTHDAY MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN, MWENYEKITI WA TNBC.
Tweet media one
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
1 month
HERI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Tweet media one
2
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
1 month
Leo tarehe 10.01.2025, Bal. Dkt. MOSES KUSILUKA, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyeki wa Kamati Tendaji ya TNBC, ameongoza Kikao Maalum cha 45 IKULU Jijini Dar Es Salaam
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
1 month
TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
2 months
MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
2 months
Kheri ya Miaka 63 ya Uhuru
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
3 months
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Bw. Abdallah Mitawi tarehe 15 November 2024 ameongoza Kikao cha Kwanza cha Kikundi Kazi cha Uchumi wa Buluu Jijini Dar es salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
3 months
Dkt. Jim Yonaz, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mazingira ya Biashara, Jana tarehe 5 Novemba 2024 ameongoza Kikao cha Kikundi Kazi kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam
0
1
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
3 months
Dkt. Jim Yonaz, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mazingira ya Biashara, leo tarehe 5 Novemba, 2024 ameongoza kikao cha pili cha Kikundi Kazi katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
5 months
Dkt. Wanga, pamoja na Watumishi wa TNBC wakifurahia TUZO toka kwa Msajili wa Hazina kwa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo ya Kikaguzi inayotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Ilitolewa kwenye Kikao cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
6 months
KIKUNDI KAZI CHA TEHAMA KIMEKETI KWA KIKAO CHA TATU TAREHE 15 AGOSTI, 2024 CHINI YA MWENYEKITI WAKE MOHAMED ABDULLA, KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KATIKA UKUMBI WA TCRA JIJINI DAR ES SALAAM
0
0
3
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
6 months
Heri ya siku ya Wakulima Nane Nane 2024
Tweet media one
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
6 months
Tarehe 5 Agosti, 2024, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mwenyekiti wa Kikundi kazi cha Fedha Dkt. Natu El-Maamry Mwamba ameongoza kikao cha Kikundi Kazi katika Ukumbi wa Hazina ndogo Jijini Dar es salaam.
Tweet media one
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
7 months
Leo tarehe 29 Julai, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TNBC ameongoza Mkutano wa 15 wa TNBC. Sambamba na hilo, amepokea TUZO ya Heshima ya Pro Business Environment Award. Vilevile ametoa TUZO kwa Mikoa iliyofanya vizuri kwenye Mabaraza ya Biashara.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
2
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
7 months
TNBC Meeting; 29 Julai, 2024
Tweet media one
0
1
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
7 months
Heri ya Maadhimisho ya Saba Saba
Tweet media one
0
0
0
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
7 months
Mwenyekiti mstaafu wa TNBC Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea banda la TNBC na kupongeza TNBC kwa kazi nzuri wanayoiona. Kushoto kwake ni Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji.
Tweet media one
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
7 months
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TNBC alipoongozana na mgeni wake Mhe. Felipe Jacinto Nyusi, Rais wa Msumbiji walipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu
Tweet media one
0
0
1
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
8 months
TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA EID-AL-ADHA
Tweet media one
0
0
2
@NationalTnbc
Tanzania National Business Council - TNBC
9 months
Balozi, Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara, leo tarehe 23 Mei, 2024 ameongoza Kikao maalum cha 44 cha Kamati Tendaji katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
3
6