MuseumTanzania Profile Banner
National Museum of Tanzania Profile
National Museum of Tanzania

@MuseumTanzania

Followers
3K
Following
2K
Statuses
715

Official Account of the National Museum of Tanzania. https://t.co/KooZBMmJnO

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
7 months
Vifahamu Viingilio na huduma za kuongoza wageni wanapotembelea vituo vyote vya Makumbusho ya Taifa la Tanzania. Watanzania / Afrika Mashariki 2,500 Watoto/Wanafunzi 1,000 Foreigners USD 6.00 Foreigners Students USD 3.0
Tweet media one
1
7
7
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
15 hours
ONESHO LA WIKI YA UBUNIFU LA ITALIA LAFUNGULIWA RASMI NA WAZIRI CHANA, MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali wakubwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
1 day
DKT. ABBASI AHIMIZA MALIKALE KIDIJITALI Wadau wa Malikale nchini wametakiwa kujadili marekebisho ya kanuni za Malikale na Makumbusho bila kusahau namna zitakavyowezesha matumizi ya teknolojia ya kisasa ya Mawasiliano katika uhifadhi na kutangaza vivutio vya Malikale/Makumbusho
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
0
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
2 days
Tweet media one
0
0
0
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
4 days
Mkutano wa 11 wa baraza la wafanyakazi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania, umefanyika leo tarehe 07/02/2025 katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
11 days
*Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika uzinduzi wa T 506 USD* Mkurugenzi Mkuu wa Makumbuaho ya Taifa la Tanzania Dt. Noel Lwoga ameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa program ya T 506 utalii tena Tanzania. Hafla hiyo imeandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
11 days
Dkt Noel Lwoga Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania amekutana na Dkt Mohsen Maarefi Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Irani na kujadili mashirikiano baina ya Taasisi zao na Makumbusho za Irani katika maeneo ya tafiti, uhifadhi na maonesho ikiwemo historia ya pamoja.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
0
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
12 days
DKT. HASSAN ABBASI ATOA MWELEKEO WA KUIMARISHA UHIFADHI NA UTALII MALIKALE Dkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii amefanya kikao kazi na uongozi wa Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 30 Januari 2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
14 days
Kahawa na Chai Tumaini TV imeangazia ushiriki wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania kwenye Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Karibu tukuhudumie
Tweet media one
Tweet media two
0
0
3
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
15 days
Burudani kwa wageni kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni #kaributukuhudumie
0
0
0
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
15 days
Banda la Makumbusho ya Taifa la Tanzania ndani ya mkutano wa wakuu wa nchi jijini Dar es Salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
3
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
16 days
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
3
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
16 days
0
0
2
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
16 days
Tweet media one
0
0
3
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
21 days
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania imefanya ziara ya kazi katika Makumbusho ya Taifa ya Mwl. Nyerere na Makazi ya Baba wa Taifa Butiama Tarehe 19 na 20 Januari 2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
22 days
Tweet media one
0
0
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
26 days
MAKUMBUSHO IMEJIPANGA KUPOKEA UGENI WA "MISSION 300"
0
1
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
26 days
*MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA, FURSA UTALII WA HISTORIA MAKUMBUSHO YA TAIFA* Mapema leo Taasisi ya *Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT)* imeshiriki kwenye mahojihano na kituo cha habari cha Star TV.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
1
4
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
27 days
UJENZI WA MAKUMBUSHO YA MARAIS WAENDELEA KUSHIKA KASI Leo tarehe 15/01/2025 Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania imesaini mkataba na M&M Engineering Consultants Ltd ambao unahusu Mradi wa Makumbusho ya Taifa.
Tweet media one
0
2
4
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
1 month
0
0
1
@MuseumTanzania
National Museum of Tanzania
1 month
WAZIRI MHE. BALOZI. DKT PINDI CHANA AIPONGEZA MAKUMBUSHO YA TAIFA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo tarehe 07/01/2025 amefanya ziara katika Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
4