MWAGITO
@Mkuruzenzi
Followers
60K
Following
192K
Media
7K
Statuses
112K
🤓 Techie at heart 💻 | Innovating my way through life 🛠️ | Football fanatic ⚽️ | Funny moments keep me going 😅 | A dude you might know
View my catalog
Joined July 2019
Hii taarifa kwa UMMA ya Simba nahisi kaandika @Sativa255 maana alivyomtaja RC direct ni kama anavyomtaja Mafwele 😂😂😂
54
76
1K
Imenichukia muda mwingi sana kutweet hii kitu ila natweet nikiwa wazi kabisa kuwa Bro umenikosea heshima sana, nilikuheshimu ila umejivunjia heshima. @ZaynSalma1 ni PARODY na inamilikiwa na bro ambae nlimuheshimu sana. Sitamtaja kwa sasa ila asiponichek tuyamalize ntamuanika.🤒
226
40
812
Mimi nani hadi nisiongee kingereza, narudia kuanzia sasa mimi ni kingereza tu antilii yu stei outisaid 😢. Tuheshimiane 🕵. #Mkuruzenzi
252
63
813
Amkeni amkeniiiiiii. Na mi si nimedaka haka kazawadi kutoka @Pepsi_TZ sasa chakufanya ni kidogo tu wanangu, nachotaka ni #Likes tu ili niweze kupata hii zawadi chap! . Support kwa MKURUNZENZI wenu niondoke na hii zawadi. #PepsiTz #LiveForNowTz #MkubwaWao #XmasNaPepsi. Pls RT
34
168
796
Huna kitambulisho cha NIDA, Huna cheti cha kuzaliwa, huna passport, huna gari, huna simu nzuri, huna nyumba, huna hata pisi kali 🤔. Sasa tofauti yako wewe na mbuzi ni nini? 🤓😂. #MorningFAM.
145
32
732
Mwambieni @moodewji kwamba #Mkuruzenzi anatamani Logo mpya ya Simba iwe namna hii. #NguvuMoja. #Mkuruzenzi
93
110
637
#WapwaTuinuane. Dondosha handle yako hapo chini kisha follow kila ataeLike na kuRetweet tweet hii. Haya twende sasa chaaap kabla watu hawajalala
240
51
506
Haya leo ngoja tuinuane 🤓. Kama una followers chini ya 1000 weka handle yako na umfollow kila ataeLike na kuRetweet hii tweet. Anza na kumfollow @JWandil.
234
52
502