Mkanaani_ Profile Banner
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@Mkanaani_

Followers
21K
Following
125K
Statuses
78K

Saved by the blood of Jesus|| I'M king in Zion || Bible Knowledge || Zone Fleet Technician French West Africa ||Psalms 119:173-176

Kayenze, Mwanza
Joined January 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 month
03-01-2025 ๐Ÿ‘‡ Matendo ya Mitume 2:42 [42]Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
0
2
25
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @fifikraft: Hatumwombi Mungu ili atutimizie haja zetu. Tunaomba ili kushawishi mioyo yetu kwamba alishatutimizia haja zetu miaka 2000+ iโ€ฆ
0
1
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
@KamigakikuMbise angekuwa Mourinho dunia inge. zizima kwa habari zake
@CFC_dennoh
Dennoh
19 hours
Incase you missed the Manchester City vs Real Madrid game, here's everything that happened. Featuring all goals, reactions and Pep Guardiola losing his mind ๐Ÿ˜‚ Open the thread ๐Ÿงต
Tweet media one
1
0
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @HildaNewton21: โ€œTunaposema bila Mabadiliko ya mfumo hakuna Uchaguzi tunaamnisha kwamba hatutasusia Uchaguzi ila tutafanya kila lililo nโ€ฆ
0
105
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @godbless_lema: Changia ku-support harakati CHADEMA.Jina litasema M-Pesa CHADEMA HQ: 0744-446969
Tweet media one
0
413
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @godbless_lema: CBC5GP2L29P Imethibitishwa Tsh20,000.00 imetumwa kwa 255744446969 - CHADEMA DEMOKRASIA HQ Tarehe 12/2/25 saa 6:18 PM Jumโ€ฆ
0
86
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @EliabuDanford: Ukiona spidi imepungua ujue adui anakupinga, kaingiza au kapandikiza kitu ndani yako, ule uchungu ni silaha ya adui, ukiโ€ฆ
0
2
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @KamigakikuMbise: @EliabuDanford Juzi tu Mwl Mwakasege alikua na semina Mbeya anafundisha โ€œMbinu za kushinda vita vya kifikra vinavyokujโ€ฆ
0
1
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 hours
RT @SamsonErnest_: Kwa ushuhuda huu ukusaidie kutambua vile Neno la Mungu lina nguvu, hili ndio lengo la kupiga kelele kila wakati watu wasโ€ฆ
0
6
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 hours
Kitabu cha Danieli ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
0
0
3
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 hours
Waebrania 1:1-4 [1]Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, [2]mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu. ๐Ÿ”น๏ธWaebrania inatuambia agano la kale Mungu alisema na baba zetu wakiwemo makuhani, manabii, wafalme, waobaji kuwajulisha kwa njia nyingi. ๐Ÿ”น๏ธLakini mwisho wa siku hizi yaani agano jipya anasema na sisi kupitia Yesu Kristo amemweka mkono wake wa kuume. Roho Mtakatifu anatujulisha kupita kitabu cha Waebrania ya kwamba sasa hivi ukitaka kupokea ujumbe usihangike na hao wote walioajwa agano la kale wala hizi madhabahu zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu wala chochote hangaika na Yesu. - Hivyo wote walio na Roho Mtakatifu Mungu atawajulisha kupitia Roho Mtakatifu, ikiwa huna uhusiano na Mungu siyo rahisi kujua kinachokuja au kumsikia Mungu akikujulisha au kukutahadharisha hatari iliyo mbele yako.
0
0
3
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
12 hours
Uchungu unapunguza spidi yako ya kufanya kitu
1
34
141
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
@MtumwaWaYesu Waaminifu wa Mungu hao
1
0
1
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
@JoseWaImani
Ngao Ya Imani (Shield of Faith)
21 hours
@MtumwaWaYesu Shalom mtumishi navoona hawa watatu Nuhu, Danieli na Ayubu walikuwa ni waaaminifu sana mbele za MUNGU na wenye kutembea katika haki kiasi kuupendeza sana moyo wa MUNGU Nuhu Biblia inamtaja kama mtu mwenye neema machoni pa BWANA na mtu wa haki na mkamilifu
0
0
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
Kuna njia mbili unaweza kuondoa dhambi zako 1. Kwa kusamehewa bila kulipa gharama yeyote, njia ya rehema. 2. Kwa haki yaani kwa wewe kuadhibiwa kwa kosa husika ndipo inaondoka.
1
5
52
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
RT @rahma_hassani: Mafanikio huja pale unapoacha kuogopa.
0
6
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
Bibilia ndiyo inayosema siyo sisi.
1
1
12
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
RT @KamigakikuMbise: Mwangaza Wa Siku. โ›… Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi. โ€˜2 Thesalonike 1:6 SUVโ€™
0
6
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
15 hours
RT @SamsonErnest_: Namshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine tena. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa๐Ÿ™
Tweet media one
0
34
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 hours
@GodismyFortune
Gerald of Rivia ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
1 day
@EliabuDanford levels matter
1
0
0
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
RT @GodismyFortune: @EliabuDanford levels matter
0
1
0