Wizara ya Maliasili na Utalii Profile Banner
Wizara ya Maliasili na Utalii Profile
Wizara ya Maliasili na Utalii

@MNRT_Tanzania

Followers
19,646
Following
33
Media
860
Statuses
897

Ministry of Natural Resources and Tourism in Tanzania is responsible for the Management of Natural Resources,Cultural and Tourism Development

Dodoma, Tanzania
Joined February 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Thank you For The Royal Tour of Tanzania @KamalaHarris @VP
10
23
122
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Get connected with Free WiFI Internet at the Top of Mount Kilimanjaro in Tanzania 🇹🇿🇹🇿
6
33
102
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameweka Kambi katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni mwendelezo wa ushiriki wake kuhakikisha moto unaowaka katika maeneo machache yaliyosalia katika hifadhi ya Mlima huo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
12
94
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 months
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi leo amekutana na kufanya mazungumzo na msanii Kili Paul lengo ikiwa ni kumtumia katika kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
16
89
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 years
"Wizara yetu inaendelea na mazoezi ya kuhamishia baadhi ya wanyamapori ambao kiasili walikuwepo baadae wakatoweka, hivyo napenda kuwatoa hofu wananchi kuwa hili ni zoezi la kawaida na linafanyika sehemu nyingi" Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. @HKigwangalla
Tweet media one
6
11
80
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
5
24
83
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
THE 65 MEETING OF THE UNWTO REGIONAL COMMISSION FOR AFRICA IN ARUSHA, TANZANIA
Tweet media one
1
12
79
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
5
17
75
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
1
3
72
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tanzania hosts the 65 International UNWTO meeting in Arusha! @UNWTO
Tweet media one
0
9
53
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Ni Rais Samia tena, safari hii anakuja na “The Presidential Tour.” Ni nini?imesheheni nini? Basi subra subra subra, ni kesho Jumamosi saa tatu usiku🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
4
20
52
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Pongezi Mhe. @mchengerwa_m
Tweet media one
2
4
50
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tanzania is a room of wildlife, geographical and natural wonders which make African continent a unique and competitive tourism destination worldwide attracting thousands of international tourists every year @UN @UNWTO @ikulumawasliano @TZMsemajiMkuu @MsigwaGerson @ccm_tanzania
Tweet media one
3
17
48
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 month
Mchezaji wa kimataifa wa soka kutoka Morocco anayechezea timu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi ya 400 wenye uhitaji maalum kwenye shule ya Sekondari ya Patandi ya jijini Arusha.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
48
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Hongera kwa Uteuzi
Tweet media one
1
2
46
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Timu ya Wataalam kutoka Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyowasili nchini Tanzania imethibitisha na kuridhishwa namna Serikali ya Tanzania ilivyozingatia haki za Binadamu wakati wa zoezi la wananchi kuhama kwa hiari Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomera
Tweet media one
12
13
46
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
7 months
Meli kubwa ya kifahari duniani, Norwegian Dawn, leo imetia nanga Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na abiria 2,200. Ina urefu wa karibu viwanja vitatu vya mpira,kimo cha zaidi ya nusu uwanja, uwezo wa kuwa na watu jumla 2300 vyumba vya kulala takribani 1,000 na maeneo ya kupumzika.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
8
39
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Mambo ya Kale imeanza mkakati maalum wa kuainisha, kuhifadhi na kuyatangaza maeneo ya kihistoria yanayopatikana katika Jiji la Dodoma kwa lengo la kulifanya Jiji hilo kuwa na vivutio vya utalii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
7
40
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
THE 65 UNWTO Meeting in Arusha - Tanzania
Tweet media one
0
10
39
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Misitu ni Uhai, Tuitunze
Tweet media one
3
8
39
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
This is truly #Tanzaniaunforgetable Happy Easter Monday🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2
12
38
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Shangwe, Nderemo KIA, Staa wa Guiness Record Siobhan Brady kutoka Ireland Akitua Tanzania leo Julai 18, 2023 Kuweka Rekodi ya Duniani Mlima Kilimanjaro.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
36
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 month
Tanzania imeweka rekodi ya Kimataifa kwa miezi ya Januari hadi Machi 2024 kwa kushika nafasi ya 5 kwa nchi ambayo imeweza kuvutia watalii zaidi duniani na nafasi ya kwanza Barani Afrika kwa kuvutia watalii, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
9
35
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
4 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki anatarajia kumwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024 jijini Washington DC nchini Marekani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
9
37
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Breaking News: Safari ya kuweka rekodi ya dunia kupiga kinubi juu ya mlima Kilimanjaro (The Highest Harpist Concert), dada yetu Siobhan Brady na team ya watu takribani 92 kwa sasa wako wastani wa meta 4,000 kuelekea Uhuru Peak meta 5,895. Wako salama, morali iko juu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
7
35
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
1
6
34
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Kampuni kubwa ya biashara ya utalii duniani kupitia mtandao, Expedia Group, imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Utalii (TTB), kutangaza na kuleta watalii wengi zaidi nchini Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
35
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Are you in Serengeti? Participate in this photo challenge. Ask your tour guide, visit Makoma Hill now Royal Tour Hill, take a photo in this style and send. We will post you🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
35
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali itahakikisha inaendelea kutumia teknolojia ya kisasa kwa kadri inavyowezekana kudhibiti wanyama wakali na waharibifu hususan tembo ili kupunguza migogoro baina ya binadamu na wanyamapori.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
34
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
#NiSerengetiTena ???? 😀😀🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
0
5
34
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Kila mwananchi anao wajibu wa kuhakikisha maeneo yaliyohifadhiwa yanalindwa kwa nguvu zote kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.
Tweet media one
5
8
31
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
3 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) aliyeko ziarani nchini China ameyashawishi makampuni makubwa ya utalii nchini hapa kuwekeza katika shughuli za utalii nchini Tanzania ikiwemo kuleta watalii. Ameyasema hayo jijini Beijing, China.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
9
33
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
0
1
31
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
WARIZI BALOZI DKT CHANA ATUA KARATU Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Mhe Balozi Dkt Pindi Chana amewasili Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha kukagua shughuli za uhifadhi wa Pori Tengefu la Loliondo.
Tweet media one
13
3
30
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Breaking News: Almost there! Stay tuned for the live event from @mountkilimanjaro for the #harpistconcert #guinessworldrecord ..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
31
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) alipowasili katika viwanja vya Bunge ambapo leo Mei 31,2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
30
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya hafla ya uapisho Ikulu jijini Dar es salaam.
Tweet media one
Tweet media two
0
1
29
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
THE SECOND DAY OF 65th MEETING OF THE UNWTO REGIONAL COMMISSION FOR AFRICA IN ARUSHA, TANZANIA
Tweet media one
1
4
27
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
9 months
Tweet media one
1
5
29
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
Tweet media one
1
3
28
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
HIFADHI YA UDZUNGWA YAZIDI KUNUFAISHA WAKAZI WA MANG'OLA Wakazi wa waishio jirani na Hifadhi ya Taifa Milima Udzungwa Wilaya ya Kilombero wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii Kwa kuboresha usalama wao Kwa kudhibiti Wanyama wakali na Waharibifu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
28
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 na kuwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa kazi zilizokusudiwa za doria na usimamizi wa rasilimali misitu na nyuki.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
28
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
Tweet media one
Tweet media two
0
3
28
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
6
27
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
3 years
Tweet media one
6
4
27
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekutana na wataalam wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Chama cha Wawindaji Wenyeji na kufanya kikao cha kazi kilicholenga kuleta mapinduzi makubwa ya kiutendaji.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
27
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
THE SECOND DAY OF 65 MEETING OF THE UNWTO REGIONAL COMMISSION FOR AFRICA IN ARUSHA, TANZANIA. Minister of Constitution and Legal Affairs Dr.Damas Ndumbaro exchanging views with Deputy Minister for Natural Resources and Tourism, Hon.Mary Masanja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
6
27
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameongozana na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Abdallah Mwaipaya, Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Same kutembelea Hifadhi ya Taifa Mkomazi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
25
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tazama namna MV Seabourn ilivyotia Nanga Dar Kufanya “Royal Tour” na Watalii 715.
2
10
25
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA RAIS WA BARAZA LA UTALII DUNIANI, WAJADILI KUKUZA UTALII NCHINI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
3
25
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
UTEUZI Bodi ya Tanapa. Kazi iendelee🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
2
7
25
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
Ujumbe wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani Septemba 27,2023.
2
6
25
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
WAZIRI MCHENGERWA , DKT.ABBASI WAANZA KAZI KWA KUWEKA MALENGO MAKUBWA YA UTALII Wafanya ziara ya kwanza Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA), Morogoro.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
2
24
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
7 months
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aanika rekodi za mafanikio sekta ya utalii mwaka 2023 akitaka wadau “kukaza buti zaidi.”
0
9
24
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Mikumi National Park: Leo Disemba 17, 2023, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameanza ziara ya ukaguzi Miradi ya Regrow/Utalii Kusini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
24
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ameendelea kuweka wazi fursa mbalimbali zilizoko kwenye Sekta ya Utalii na kuhamasisha wawekezaji wa Kitaifa na Kimataifa kuwekeza katika Sekta hiyo ili kuongeza mapato yatokanayo na Utalii .
Tweet media one
0
2
23
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kukamilisha ujenzi Jengo jipya la Ofisi lililopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, na kuruhusu sasa Jengo hilo kutumika rasmi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
23
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
3 months
Makumbusho ya Taifa ya China na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika kubadilishana uzoefu, teknolojia na kuwa na maonesho ya pamoja kwa lengo la kuhakikisha kuwa huduma za makumbusho zinakuwa na faida kwa pande zote mbili za nchi hizo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
5
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
3 years
ARUSHA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro leo tarehe 7 April 2021 amewasili wilayani Longido kwa lengo la kukagua Kambi ya Uwindaji kwenye  Kitalu cha Lake Natron GCA - East kilichokuwa kikimilikiwa na Kampuni ya Green Mile kabla ya kufutiwa umiliki mwaka 2019
Tweet media one
4
4
23
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Misitu ni Uhai, Tuitunze
Tweet media one
2
2
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
1
2
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 months
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na matumizi ya fedha za mradi wa UVIKO-19 za kuboresha miundombinu ya utalii katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi uliogharimu takribani shilingi milioni 579.1.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
5 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi tamasha la Utalii Same huku akihamasisha mikoa na wilaya zote nchini kuibua matamasha ya utalii na kutangaza fursa za uwekezaji katika maeneo yenye vivutio vya utalii lengo ikiwa ni kukuza utalii nchini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
7
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
Tweet media one
3
1
23
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali itaendelea kutatua migogoro mbalimbali ya Sekta ya Maliasili na Utalii ikiwemo iliyo katika maeneo ya hifadhi kwa maslahi mapana ya Taifa na wananchi kwa ujumla.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
4
1
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 months
Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
7
22
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
4 months
Mafanikio ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia.
2
3
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
65 UNWTO International Meeting in Arusha
Tweet media one
0
4
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
UKAGUZI WA WAKALA WA HUDUMA ZA UTALII MCHINI
Tweet media one
3
6
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
9 months
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Makao makuu ya NCAA zinazojengwa Karatu Mkoani Arusha. Ujenzi huo ambao ni awamu ya unahusisha Jengo la Utawala na Nyumba 3 za Makaazi kwa ajili ya Kamishna wa Uhifadhi na Manaibu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imelipa kiasi cha shilingi milioni 40 ikiwa ni kifuta jasho/machozi kwa wananchi 198 wa Vijiji vya Chemchem, Tungufu, Tampori, Mulua na Iyoli wilayani Kondoa kutokana na kupata madhara yaliyosababishwa na wanyamapori.
Tweet media one
2
2
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
0
1
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana ametoa wito kwa wadau wa ndani na nje ya nchi wawekeze kwenye Sekta ya Misitu kwa kuwa sekta hiyo inakuwa kwa kasi kutokana na mahitaji yake kuwa makubwa katika jamii.
Tweet media one
2
2
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
0
2
21
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema ushirikiano katika Sekta ya Utalii na Uhifadhi kati ya nchi ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China utazifaidisha nchi hizo kwa kukuza utalii pamoja na kuimarisha uhifadhi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua Maonesho ya pamoja ya mahusiano baina ya Tanzania na India katika kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es salaam leo Januari 26,2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
10 months
Tanzania kupitia Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa @angellah_kairuki imeshiriki maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utalii Duniani yaliyofanyika jijini Riyadh, Saudi Arabia leo!
Tweet media one
Tweet media two
1
5
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 month
C’est la vie: Top @psg player and Morroco international @achrafhakimi is in @serengeti_national_park in Tanzania with friends as part of his pre-season royal tour. Tanzania is ready to welcome the world to #AmazingTanzania and the land of #royaltourtanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imepongezwa kwa juhudi inazochukua za kukabiliana na changamoto mbalimbali na kuimarisha mifumo ya utendaji kazi, usimamizi wa rasilimali na ukusanyaji wa mapato ya Serikali.
Tweet media one
3
5
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania kujipambanua ili kuhakikisha inatekeleza majukumu yake ipasavyo na kukua katika utangazaji utalii. Ameyasema hayo leo Desemba 13,2023 jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
1
1
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Kampuni ya Kina Will Smith, Beyonce, Asap Rocky Kushirikiana na Tanzania Kutangaza Utalii Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
1
3
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
TEAM YA JAHAZI YATUA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI. Team ya Wanahabari wa Kipindi Maarufu Cha JAHAZI cha clouds Media, imesha wasili Hifadhi ya Taifa Mikumi, Kwa lengo la Kuangazia Vivutio vya Kanda ya Kusini, ili kuhamasisha Utalii hususani wa ndani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
2
20
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
6 months
Dkt. Abbasi: Rais Samia Aenziwe kwa Maono Yake ya Royal Tour Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema maono, kujitoa na nia njema kwa Taifa lake aliouonesha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hadi kushiriki Filamu ya “Tanzania: The Royal Tour”.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Ukweli wadhihirika, Serikali yathibitisha hakuna mwananchi aliyenyanyaswa wala mifugo iliyoporwa katika sakata la Mbarali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
1
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
“I’m going to tell my friends at home, pack your bags and go to visit Tanzania,” a jubilant Israel tourist declares en route back home from a #royaltourtanzania 👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽🙏🏽 #tanzaniaunforgettable 🇹🇿
0
8
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
*MHE. MCHENGERWA ATOA MIEZI MIWILI KUKAMILISHA MKAKATI ACHIA SHOKA KAMATA MZINGA, AZINDUA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA HIFADHI ZA NYUKI*
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
2
3
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ametangaza matokeo ya sensa ya wanyamapori iliyofanyika mwezi Septemba hadi Oktoba 2021 kwenye mfumo Ikolojia wa Katavi – Rukwa na Ruaha-Rungwa ambapo Tanzania inaongoza kwa idadi kubwa ya nyati Barani Barani Afrika
Tweet media one
0
4
19
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
7 months
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetia saini mikataba 6 ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas - SWICA) yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 278.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
3
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Tweet media one
2
2
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
4 months
Tweet media one
1
0
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitembelea mabanda ya Maonesho ya Wizara ya Maliasili na Utalii yenye lengo la kuelimisha Wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi wa maliasili na uendelezaji utalii yanayofanyika katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
12
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
4 months
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) wamehudhuria Mkutano wa 15, Kikao cha Kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Aprili 2,2024 jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
2
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
1 year
Ni muhimu kuwa na mizinga ya nyuki yenye vipimo sahihi, kwa ubora na wingi wa uvunaji wa asali. Documentary kutoka TFS kwa ufadhili wa Mfuko wa Misitu. #mnrt #fuganyukikwafaida #msimuwakutundikamizingayanyuki #elimukwaumma
0
9
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
2 years
Naibu Waziri Mkuu wa Mauritius Mhe. Louis Steven Obeegadoo amewasili nchini Tanzania kuhudhuria Mkutano wa 65 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UNWTO) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho Oktoba 5 hadi 7, 2022 jijini Arusha.
Tweet media one
1
3
18
@MNRT_Tanzania
Wizara ya Maliasili na Utalii
8 months
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
4
18