![Lulu Hassan Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1532235886708113414/oWJT_kxq_x96.jpg)
Lulu Hassan
@LuluHassan
Followers
546K
Following
5K
Statuses
29K
BA @DownyKenya : CEO @Jiffypictures
Nairobi, Kenya
Joined September 2010
Fatma Athman alilia haki baada ya kudai kupigwa na mumewe kwa zaidi ya saa nne katika eneo la Frere Town #NipasheWikendi
0
0
4
Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua kutoa taarifa kuhusu chama chake cha siasa 2027 #NipasheWikendi
5
9
48
Mawaidha na Bi Msafwari Swali: Mwanamke Hupenda Nini Katika Ndoa? #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
0
0
4
Raila Odinga aitembelea familia ya marehemu Mambo Mbotela. #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
0
0
9
Walimu wakuu wa shule za Sekondari za umma walia fedha zilizosambazwa na serikali hazitoshi. #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
0
0
1
Vipande vya mwili vyapatikana Likoni Vipande hivyo viliwekwa kwenye magunia mawili Wakazi wanadai mwili ulitupwa eneo hilo #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
1
0
0
Hasira za wakazi Embu: Jamaa aliyekatwa sehemu za siri azungumza. Mshukiwa aliyemkata mwenzake sehemu nyeti anasakwa Wakazi wa Embu waharibu mali ya mshukiwa #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
0
0
0
Marais washinikiza mazungumzo ya amani DRC. Rais Tshisekedi araiwa kuzungumza na M23 Ruto: Suluhu ya kijeshi haitasaidia DRC Marais wa EAC na SADC wakutana Dar es Salaam #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
3
3
11
Polisi wawahoji wasimamizi na wagonjwa. Wagonjwa waagizwa kusalia hospitalini kuandika taarifa. #NipasheWikendi @RashidAbdalla @citizentvkenya
0
0
7