LuhambaI Profile Banner
Luhamba II Profile
Luhamba II

@LuhambaI

Followers
802
Following
25K
Statuses
29K

Your Favorite Lawyer| Member Maujanja Community| Agency freelancer

Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LuhambaI
Luhamba II
9 months
Just published an article about Trademark infringements.
3
5
16
@LuhambaI
Luhamba II
28 minutes
@_thefemalealpha 😂😂😂
0
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
44 minutes
@Fatmasulley_ 😂😂😂
0
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
45 minutes
0
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
Hello, Naitwa Luhamba nawasaidia wamiliki wa Kampuni kama wewe kusajili, Kuhuisha na kubadili taarifa za Kampuni katika mfumo wa kidigitali wa BRELA. Your Favorite Lawyer.
0
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
6. Mfumo utapokea na ku process taarifa zako. Hapa tayari utakua umeingiza Kampuni yako kwenye mfumo wa kidigitali.
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
5. Uta download hii form, Directors na secretary wa Kampuni wata sign form hii Kisha utai - upload. Hapa uta attach any other document kama annual returns, appointment or termination letter.
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
4. Ukimaliza kujaza utabonyeza kitufe Cha "proceed" Mfumo utajaza taarifa zote hizo kwenye form moja hapa nazungumzia "consolidated form"
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
3. Mfumo utakutaka uweze kujaza namba ya usajili ya Kampuni. Utajaza namba ya usajili Kisha utabonyeza kitufe Cha "search" Mfumo utaleta jina la Kampuni. Baada ya hapa utaruhusiwa sasa kujaza taarifa za Kampuni ikiwemo -Directors -secretary -ofisi za Kampuni n.k
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
2. Log in Brela ORS Ukisha log in, utaona mfumo wa ORS kwenye page ya kwanza ume list aina za huduma zilizopo BRELA, Hapa utachagua huduma ya mwisho "Kuwasilisha Mizania Ya Mwaka na Hesabu"
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
1. Tengeneza Akaunti kwenye Brela ORS. Hapa utatakiwa kuingia katika website ya Brela na ujaze taarifa zako ili kutengeneza akaunti hii ndani ya dakika 3. Utajaza taarifa chache tuu ikiwemo -majina yako -email -namba ya simu n.k
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
46 minutes
Kama ulisajili Kampuni yako manually, inalazimika kwa sasa uweze kuweka taarifa za Kampuni yako kwenye mfumo wa kitigitali wa BRELA, ORS. Zifuatazo ni hatua ambazo utazifuata katika processs ya uhuishaji.
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
1 hour
@Fatmasulley_ 😂😂
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
2 hours
@Professionature @Gaspinho15 😂😂
1
0
1
@LuhambaI
Luhamba II
3 hours
@gabyconscious Achana na hao magari ya njano kaka 😂
1
0
0
@LuhambaI
Luhamba II
3 hours
@singidabssc Mmepata kocha?
0
0
1
@LuhambaI
Luhamba II
3 hours
1. Kampuni Haina hela ya kutosha 2. Kampuni haitozi hela ndio ipakie mzigo. Sasa hapa kosa la wafanya biashara ni lipi?
@TOTTechs
#TOTTechs
2 days
@mentor209 La kuwaambia wafanyabiashara walipie Mizigo ili kupata fedha za kutoa kontena pale. Changamoto wengi walilipia na baadhi hawakulipa, kontena moja lina mizigo ya watu 10 (mfano) wamelipa 5 wengine 5 hawajalipia, so what next? Kontena zikikaa Bandarini kwa mda mrefu inakuwaje?
0
0
1